Search results

  1. Chachu Ombara

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  2. Chachu Ombara

    Mwigulu Nchemba: Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa duniani kwa huduma bora za barabara, maji na umeme

    Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. ---- Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
  3. Chachu Ombara

    SI KWELI Naibu Rais Kenya adai kusalitiwa na Rais Ruto baada ya kukutana na Odinga nchini Uganda

    Video hii kwenye Facebook imeeleza kuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amesema kuwa Rais William Ruto alimsaliti kwa kukutana na kinara wa upinzani Raila Odinga nchini Uganda. Video hiyo ilikuwa na ujumbe kuwa “Ruto amenisaliti! DP Gachagua anazungumza baada ya Ruto na Raila kukutana...
  4. Chachu Ombara

    Mzee Cheyo: Uchaguzi wa sasa ni mnada, kama huna pesa hupati

    Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi kuwa ni pesa. Amesema kama sasa hivi vijana wanataka kufirisika katika maisha yao basi waende kwenye...
  5. Chachu Ombara

    Serikali isimamie na kutilia mkazo sheria ya kuzuia ulaji wa KASA ili kuepusha vifo

    Salaam wakuu, Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe. Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
  6. Chachu Ombara

    Padre Godfrey Jackson Mwasekaga ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Mbeya

    Baba Mtakatifu Fransisko amemteua mheshimiwa sana Padre Godfrey Jackson Mwasekaga wa Jimbo Kuu katoliki la Mbeya kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Mbeya , leo tarehe 09.03.2024 Mhashamu Askofu mteule Godfrey Jackson Mwasekaga alizaliwa Machi 17 mwaka 1976 Kyela, jimbo kuu Katoliki la Mbeya...
  7. Chachu Ombara

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  8. Chachu Ombara

    SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  9. Chachu Ombara

    Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  10. Chachu Ombara

    TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa. Alihamishiwa...
  11. Chachu Ombara

    TANZIA Balozi Dkt. Deodorus Kamala afariki dunia

    Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024) -- Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu hospitali ya Mzena Jijini Dar es Salaam Dkt. Buberwa amewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nkenge...
  12. Chachu Ombara

    Neymar Jr alipelekea FIFA kubadilisha sheria ya upigaji penati

    Namkubali sana Neymar Jr kwenye kuchezea mpira, sijapata kushuhudia mchezaji mpira anayejua kuchezea mpira atakavyo kama huyu kijana. Kuna watu wanasema Ronaldinho alikuwa fundi wa mpira, ila kwangu huyu kijana alikuwa hatari zaidi yake. Tukirudi kwenye mada, Neymar Jr alikuwa na upigaji penati...
  13. Chachu Ombara

    Tujitahidi kufanya mapenzi kila siku kwa dakika nne ili tupunguze hatari ya kupata Saratani?

    Mwaka jana Desemba niliwatembelea ndugu zangu jirani, katika mazungumzo waliniambia kwa Kinyankole ila nitasema kwa Kiswahili 'Vijana wengi wa huku kwetu wanafanya mapenzi na wake zao kila siku walau kwa dakika nne ili kupunguza hatari ya kupata ugonjwa wa saratani', na wamekuwa wakifanya...
  14. Chachu Ombara

    Barabara ya Kerai, Mbezi Jogoo ni korofi miaka na mikaka. TARURA kwanini hamuiboreshi?

    Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya Ndumbwi ambapo sasa imepanda hadhi hadi kutoa huduma ya kujifungua kwa wajawazito. Pia kuna shule...
  15. Chachu Ombara

    Basi la Mwendokasi lateketea kwa moto Kibamba

    Basi la Mwendokasi limeteketea kwa moto usiku huu eneo la Kibamba mkoani Dar es Salaam.
  16. Chachu Ombara

    Mume atuhumiwa kumuua mkewe na kumfukia kwenye kinyesi cha ng'ombe

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Salome Nko (pichani kulia) ambaye ni Mkazi wa Seele Singisi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha ameuawa na kufukiwa kwenye kinyesi cha ng’ombe na Mtu anayedaiwa kuwa ni Mume wake baada ya kutengana kutokana na kugombana na kila mmoja kuishi sehemu yake. Mkuu...
  17. Chachu Ombara

    Mafuriko yaua takriban watu 170 tokea Novemba 2023

    Mafuriko nchini Kenya yamesababisha vifo vya watu 170 na wengine zaidi ya 600,000 kuyahama makazi yao tangu kuanza kwa mvua kubwa mwezi Novemba. ---- Floods in Kenya have killed at least 170 and displaced more than 600,000 since the onset of heavy rains in November. Tens of thousands of...
  18. Chachu Ombara

    Tamu au chungu kesi ya Halima Mdee na wenzake kujulikana kesho Desemba 14

    Mahakama Kuu kesho inatarajia kutoa uamuzi wa kesi ya kina Halima Mdee ambao ni wabunge wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Uamuzi huo unatarajiwa kutolewa kesho Alhamisi Desemba 14, na Jaji Cyprian Mkeha aliyesikiliza kesi hiyo. Mdee...
  19. Chachu Ombara

    Hakimu: Usipompa pesa mkeo akapendeza ni 'ukatili wa kiuchumi'

    Hiyo ni kauli ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, aliyoitoa katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na kueleza kuwa upo ukatili wa kiuchumi kwa mwanamke ambao hauzungumzwi sana. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba...
  20. Chachu Ombara

    Video: Mvua kubwa ilivyosababisha athari mitaa ya Mwanza, leo Desemba 10, 2023

    Hizi ni video zinaonesha hali ilivyokuwa asubuhi ya Desemba 10, 2023 katika Mitaa ya Uhuru na Liberty Jijini Mwanza ambapo mvua kubwa iliyonyesha maeneo tofauti imesababisha uharibifu wa baadhi ya vitu na miundombinu.
Back
Top Bottom