Search results

  1. Chachu Ombara

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  2. Chachu Ombara

    Mwigulu Nchemba: Tanzania ni mfano mzuri wa kuigwa duniani kwa huduma bora za barabara, maji na umeme

    Hii ni kauli ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. ---- Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imekuwa ikichukuliwa kama nchi ya mfano Duniani ukilinganisha na mataifa mengine Barani Afrika kutokana na hatua kubwa na ya haraka iliyopiga kwenye sekta...
  3. Chachu Ombara

    SI KWELI Naibu Rais Kenya adai kusalitiwa na Rais Ruto baada ya kukutana na Odinga nchini Uganda

    Video hii kwenye Facebook imeeleza kuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amesema kuwa Rais William Ruto alimsaliti kwa kukutana na kinara wa upinzani Raila Odinga nchini Uganda. Video hiyo ilikuwa na ujumbe kuwa “Ruto amenisaliti! DP Gachagua anazungumza baada ya Ruto na Raila kukutana...
  4. Chachu Ombara

    Mzee Cheyo: Uchaguzi wa sasa ni mnada, kama huna pesa hupati

    Katika mjadala rika uliokutanisha wadau mbalimbali wa siasa, Mzee Cheyo akichangia amewaasa vijana kuhakikisha wanapigania sheria nzuri za uchaguzi kwani sasa tumepewa tafsiri mbovu ya uongozi kuwa ni pesa. Amesema kama sasa hivi vijana wanataka kufirisika katika maisha yao basi waende kwenye...
  5. Chachu Ombara

    Serikali isimamie na kutilia mkazo sheria ya kuzuia ulaji wa KASA ili kuepusha vifo

    Salaam wakuu, Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe. Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
  6. Chachu Ombara

    Padre Godfrey Jackson Mwasekaga ateuliwa kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la Mbeya

    Baba Mtakatifu Fransisko amemteua mheshimiwa sana Padre Godfrey Jackson Mwasekaga wa Jimbo Kuu katoliki la Mbeya kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Mbeya , leo tarehe 09.03.2024 Mhashamu Askofu mteule Godfrey Jackson Mwasekaga alizaliwa Machi 17 mwaka 1976 Kyela, jimbo kuu Katoliki la Mbeya...
  7. Chachu Ombara

    Nimeokota kitambulisho cha NIDA

    Kuna jamaa aliwahi okota simu ya mtu ikamponza, akataka irudisha kwa nia nzuri lakini ikamponza. Kitambulisho nachoweza kuokota na nikatoa taarifa ni cha ndugu yangu. Vingine napotezea hapo hapo, sitaki usumbufu na vyombo vya dola.
  8. Chachu Ombara

    Msaada: Anayefahamu tiba ya huu utando utando kwenye ngozi za watoto

    Mwanangu vilimtokea vingi zaidi ya hivyo uso mzima, tulihangaika sana kupata tiba na havikuisha. Nikajiongeza kuwa itakuwa minyoo. Baada ya kumpatia ya minyoo vikaisha ndani ya wiki, tokea siku hiyo naheshimu sana kumpatia dawa ya minyoo kila baada ya miezi mitatu. Jaribu kumpatia dawa, endapo...
  9. Chachu Ombara

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  10. Chachu Ombara

    Kuelekea Uchaguzi 2024 na 2025: Umesikia kauli gani kutoka kwa viongozi ukaona zinahatarisha Ustawi wa Demokrasia?

    Jokate: Wanawake ifike mwisho kuwapigia kura wanaume Hayati Magufuli: Mkimchagua mpinzani hatutaleta maendeleo Hayati Lowassa; Sasa ni zamu ya kuwa na Rais Mlutherani Katambi; Msimchague mwanamke (Salome Makamba) anaingia siku zake .... Rais Samia; Hata ukipigia kura kwingine, CCM itaunda...
  11. Chachu Ombara

    SI KWELI Mzazi akipata mimba wakati bado ananyonyesha hudhoofisha afya ya mtoto anayenyonya

    Mimi ni mmoja wa watoto waliotungwa mimba wakati mzazi bado ananyonyesha, bahati mbaya aliyenitangulia alifariki dunia kabla sijazaliwa. Hivyo wakati nakua niliambiwa na majirani kuwa kutungwa kwangu mimba kulisababisha afya ya dadangu kudhoofu na kupelekea kifo. Hili suala ni kweli au vihoja...
  12. Chachu Ombara

    Mtaalamu wa Akili Mnemba (AI) atoa onyo la 'ukoloni wa kidijitali' barani Afrika

    Bwana Ndiaye akizungumza na UN News kuhusu mazingira yajayo, akijenga juu ya uzoefu wake wa kusaidia kukuza mageuzi ya kidijitali nchini Senegal katika elimu ya juu, kutoa huduma kama mtaalam kwa Umoja wa Afrika katika kutunga Mkakati wa Pan-Afriican kuhusu akili mnemba, na kuchangia kwenye...
  13. Chachu Ombara

    Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Binafsi ninahitaji hizi idara mbili zije kuniweka sawa Moja ni Mamlaka ya maji - Maji sasa hivi ni anasa, vilio vinazidi mtaani. Mtaani kwangu mwezi wa tatu hatujui maji ya DAWASA. Idara ya Tanesco; Hawa nimechoka na ahadi zao, nina biashara yangu inayohitaji uhakika wa umeme lakini nashindwa...
  14. Chachu Ombara

    TANZIA Kiongozi wa Upinzani Urusi na mkosoaji mkubwa wa Rais Putin, Alexei Navalny afariki dunia akiwa gerezani

    Mamlaka zimesema kuwa kiongozi wa upinzani nchini Urusi, Alexei Navalny, amefariki ndani ya gerezani la Arctic. Akionekana kama mkosoaji mkubwa wa Rais Vladimir Putin, Navalny alikuwa akitumikia kifungo cha miaka 19 kwa makosa yanayochukuliwa kwa kiasi kikubwa kuwa ya kisiasa. Alihamishiwa...
  15. Chachu Ombara

    Mbinu gani inaweza kutumika kumbadilisha mtoto anayeanza kuandika kutumia mkono wa kushoto?

    Kuna shida kwani mtoto kutumia mkono wa kushoto? Mimi nakuashauri achana na mawazo hayo. Mwanangu anatumia kushoto na saaafi kabisa.
  16. Chachu Ombara

    Neymar Jr alipelekea FIFA kubadilisha sheria ya upigaji penati

    Takwimu huwa hazidanganyi na zinambeba Neymar dhidi ya Gaucho. https://www.youtube.com/watch?v=WOCqZYJXpVo
Back
Top Bottom