Search results

  1. Laface77

    Utendaji Mbovu Baraza la Mitihani

    Kuanzia saa 11.15 asubuhi leo tarehe 31.01.2020 mfanyakazi katika ofisi namba 15 wanaposhughulikia upotevu wa vyeti kaaga na mpaka saa hizi, saa 7.20 bado hajarudi. Kwa kweli hii si haki kabisa ukichukulia kuwa watu wana shughuli zingine zaidi ya kushinda hapa kumsubiri mtu mmoja aje...
  2. Laface77

    Mfalme aliyekuwa anapenda kutolewa unabii mwema wakati wote

    Kwa wale wakristo na wasomi wa Biblia wanaweza kua wamewahi kusoma kisa hiki kinachopatikana katika kitabu cha 1 Wafalme 22 ambapo mfalme wa Israel alikua akihitaji msaada wa mfalme wa Yuda (Yehoshafati) ili aende vitani dhini Ramoth-Gileadi lakini kabla ya kuingia vitani mfalme wa Yuda...
  3. Laface77

    Benki Kuu ya Tanzania, liangalieni Hili la D9 Club, Rwanda wamepigwa Marufuku

    Jana nimesoma memo ya Benki Kuu ya Rwanda wakipiga marufuku utapeli wa kimtandao unaokwenda kwa jina la D9 Club kwa sababu wameeleza ni Pyramid Scheme/Ponzi Scheme ambapo wale waliotangulia huwa wananufaika kwa gharama ya wale watakaoingia kwa kuchelewa. Kwa kweli naipongeza sana Benki Kuu ya...
  4. Laface77

    Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ?

    KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na ukweli halisia. Wanafalsafa wa kale walinena...
  5. Laface77

    Jinsi ya Kutayarisha Mdahalo

    Hivi ndivyo mwanafunz wa form 4 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili! Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO. Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi......1.Unauchukua mdahalo wako unauosha vizuri2.Hakikisha Mdahalo wakohaujakomaa3.Bandika sufuria yako jikoni4.Weka mdahalo...
Back
Top Bottom