Search results

  1. M

    From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)

    Ndugu tangu, lini na wapi niliomba uteuzi kwa Magufuli? Tuache chuki na ghiliba ndugu zangu.
  2. M

    Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

    Mwalimu amefariki miaka 21 iliyopita. Kaacha madaraka tangu 1985 mmeshindwa nini muda wote huo kuziba makorongo aliyoacha? Mtaendelea kulaumu hadi lini? Rwanda mwaka 1994 walichinjana, lakini leo mbona wako mbali? Tuache lawama. tushiriki kujenga nchi yetu.
  3. M

    Wito wangu kwa vijana, wazee

    Asante sana mkuu. Nashukuru
  4. M

    Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Jamani leo ndiyo nimeingia JF baada ya kupotea kitambo. Naona mtifuano wa hali ya juu. Mimi ni verified user. Sina user name nyingine. Kwa hiyo post yangu utasomeka kwa jina langu. Asanteni sana Mwamba naona umeamua kuvaa mabomu. Hahahahaaaa
  5. M

    Wito wangu kwa vijana, wazee

    Ndugu zangu, kitambo sasa sijashiriki mijadala mingi kwenye uwanja wetu mwanana wa JF. Nilikuwa masomoni. Kwa mapenzi yake Mola nimehitimu vema Shahada ya Uzamili katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) nikiwa nimechukua kozi ya Mass Communication. Nimeona niandike haya ili kuwatia...
  6. M

    Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Jamani leo ndiyo nimeingia JF baada ya kupotea kitambo. Naona mtifuano wa hali ya juu. Mimi ni verified user. Sina user name nyingine. Kwa hiyo post yangu utasomeka kwa jina langu. Asanteni sana
  7. M

    Dotto Biteko ni janga lingine, Rais Samia chukua hatua jamaa ataimaliza nchi

    Afadhali umemjibu huyu mpika majungu. Ukiona hivyo ujue kuna genge limejipa assignment kuhakikisha Dotto anaondoka. JF sharti iwalinde watu wanaoshambuliwa bila ushahidi.
  8. M

    Dotto Biteko ni janga lingine, Rais Samia chukua hatua jamaa ataimaliza nchi

    Ndugu yangu, haya majungu tu unapiga humu. Dotto unaweza kumsema kwa mengine, lakini si haya ya kwamba anashiriki kutorosha madini nje ya nchi. Tambua kwanza kazi kubwa aliyoifanya tangu akabidhiwe wizara hiyo. Wezi na waporaji tanzanite mnawajua sana, lakini kwa sababu mnataka Dotto...
  9. M

    Unafiki wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Mnapolaumu vyombo vya habari hamna budi muangalie mazingira ya kazi. Mjue kuna sheria mbalimbali ambazo si rafiki wa vyombo hivyo. Mtalaumu lakini ukweli ni kwamba mazingira ya leo ya utendaji kazi si ya zama zile.
  10. M

    Kimeumana! Gambo amshukia kama mwewe mkurugenzi wa jiji la Arusha

    Uongo ni kipaji. Alichaguliwa na wananchi gani? Yeye alipokuwa RC mbona alitesa watu vibaya sana? Mbona aliwanyanyasa walio chini yake kwa kigezo cha yeye kuwasiliana na Rais moja kwa moja? Mbona aliweka checkpoint ili kuwajua wanaoenda kuwasilimia alioshiriki kuwaweka rumande? kwenye uongozi...
  11. M

    Kuna siri gani iliyojificha kwenye namba 13?

    It is all about superstitions
  12. M

    Tunaposhangilia tamu, tukubali na chungu za Rais Samia

    Rais Samia amezungumza juu ya hatima ya Katiba. Rais akaomba apewe muda 'asimamishe nchi' kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala ya Katiba. Jibu la Rais Samia limewakera baadhi ya watu. Mijadala kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni imekuwa mingi. Wanalalama kwanini hataki kuleta Katiba mpya...
  13. M

    Kuajiri ama kutoajiri ndugu wa karibu katika biashara zenu. Upi ni uamuzi sahihi na wenye manufaa (tija) zaidi?

    Mkuu salama? Hii hoja yako imenigusa sana. Naomba tuwasiliane. Manyerere 0735133332
  14. M

    Ipi njia nzuri ya kufanya 'stock' dukani kwa mfanyakazi?

    MKuu, salaam. Naweza kupata mawasiliano yako? Manyerere 0735 133332
  15. M

    Utoroshaji Tanzanite umenikumbusha maneno ya mchimbaji huyu

    Mnapomjadili CDF kuweni na kiasi. huyo siyo mgambo mlizoea kuwasema mtakavyo. Jadilini kwa staha bila kumhusisha. Ni ushauri tu
  16. M

    Rais wangu Samia Suluhu, tusiguse Hifadhi

    Watanzania na walimwengu wamemsikiliza vema Rais Mama Samia hii leo. Amezungumza mengi yenye tija kwa nchi na wananchi wa Tanzania. Mwanzo wake ni mzuri. Hatuna budi kumuunga mkono. Pamoja na utamu wote wa hotuba, naomba kwa taadhima kubwa nimpe hadhari kwenye msimamo wake wa kuchimba madini...
  17. M

    Tasnia ya habari hamumpendi mkuu wenu wa nchi? Mbona mnatia aibu?

    Ni rahisi sana kuzungumza au kushika keyboard na kuandika.
  18. M

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Ameomba aulizwe maswali ajibu, sasa ninyi mmekomaa na 'misuto'. Wakati mwingine tumuulize kwa staha, huenda kuna mamho anataka kuyatolea ufafanuzi. Sidhani kwa staili hii ya mashambulizi anaweza kuwa kwenye nafasi nzuri kujibu. Lakini pia tutambue kuwa siasa ni mabadiliko. Hakuna aliyedhani...
  19. M

    Matumizi mabaya ya Ofisi na ubadhilifu ndani ya Ngorongoro

    Fitna zinaandaliwa. Hapa anatafutwa Dokta Manongi tu. Ukaguzi unapofanywa na wakaguzi wa nje unakuwa na tija. Pili, askari wanyamapori kabla ya kuajiriwa lazima ithibitike kuwa afya zao ni njema. Kuumia mazoezini ni jambo la kawaida. Kumbuka Jeshi Usu ni Jeshi. Huwezi kuwa na 'wanajeshi'...
  20. M

    Kanuni mpya za usajili wa laini za simu: Masuala muhimu ya kujua

    Vyovyote iwavyo, kusajili hizi simu kwa kitambulisho cha NIDA ni mpango mzuri. Utasaidia kupunguza (si kumaliza) uhuni mwingi uliotendwa nchini.
Back
Top Bottom