Search results

  1. C

    Mtwara: CUF wamtosa Murji na kumlinda Membe

    Bado hainiingii akilini kuwa mbunge amekamatwa kwa uchochezi wakati yeye yupo upande huohuo wa serikali na hata walivyozindua kiwanda cha saruji kauli za mbunge huyu huyu zilionesha wazi kua yupo upande wa serikali,kukamatwa kwake kwa mtazamo wangu wanataka kuwafariji wananchi kuwa sio viongozi...
  2. C

    Bernard Membe: Ndoto zake za urais zimejaa Fitna, Visasi na Mbeleko

    Ninamfahamu membe kama schoolmate wangu,sio ndugu wa kuzaliwa na kikwete kwasababu baba yake membe alikua anaitwa mzee kamilius wa pale chiponda rondo(lindi) na ni mmwera pure kwa maana wazazi wake wote ni wamwera,hayo mengine sipendi kuchangia but in general ninaichukia ccm.
  3. C

    Mbunge Mtwara atoa msimamo

    Huyu bado sio mwakilishi bali ni mtu kati ili biashara zake ziende,ushauri tukome kuwachagua watu wa aina ya murji lakini pili haitakua vibaya kama ungefanyika mkutano wa hadhara alafu waulize kama wanavyouliza bungeni"wanaounga mkono bajeti waseme ndiyo................na wasiounga waseme...
  4. C

    Pinda: Wawekezaji 45 waomba kuwekeza Mtwara

    hivi kwenye mradi wa songosongo to dar lindi tuliahidiwa nini vile!!na vimetekelezwa baada ya ule mradi kukamilishwa kufika dar????ni swali la msingi kujiuliza sisi watanzania hivi ni lazima kuwadangaya wananchi???lazima ifike hatua serikali itambue kuwa watu wa kusini wa kipindi kile ni tofauti...
  5. C

    Zitto: Suala la Mtwara ni zaidi ya Gesi asilia - Kutumia nguvu ya dola sio njia pekee ya Amani

    hivi ahadi za kwenye mradi wa SONGOSONGO ZINA UTOFAUTI NA HUU MRADI WA MTWARA TO DAR??KAMA AHADI NI ZILEZILE TUWAULIZE WANALINDI WAMENUFAIKAJE NA HUU MRADI THEN WATU WA MTWARA WAJIFUNZE KUTOKA LINDI KWA SABABU MIRADI NI ILE ILE UTOFAUTI UKUBWA WA MABOMBA YATAKAYOTUMIKA.
  6. C

    CCM walaani vikali vurugu zilizotokea Mtwara .

    Na nitaumia sana kama hawa ccm watapata kura za hawa ambao hawataki kiwasikiliza madai yao na badala yake wanatumia nguvu nyingi kuwagombanisha na watanzania wenzao kwa kusema kuwa watu wa kusini ni wabinafsi sasa huu sijui sio uchochezi!!!!!
  7. C

    Hatimaye hotuba ya bajeti ya wizara ya nishati na madini yapita, kamati teule yaundwa na spika.

    na huko kinyelezi kinaenda kujengwa nini kama tayari miundombinu ipo tayari???kama hizo gharama za kujenga bomba wangetumia kujenga viwanda mtwara kungekua na dhambi gani??? Na ni watanzania wangapi wanamiliki viwanda dar??
  8. C

    CCM walaani vikali vurugu zilizotokea Mtwara .

    na mungewalaani pia wale waliosababisha wananchi wasilipwe pesa zao za korosho kama wanavyostahili na wale wanaosafirisha twiga na vyura kwenda ulaya na kwingineko kwa manufaa yao binafsi bila kuwasahau wanaccm wenzenu walioficha pesa uswis ambazo ni haki za watanzania wote.
  9. C

    Hatimaye hotuba ya bajeti ya wizara ya nishati na madini yapita, kamati teule yaundwa na spika.

    na wewe inabidi ufikirie vilevile madini yaliyochimbwa huko kahama,na kwingineko wananchi wa kahama wamenufaika na nini??na umewahi kujiuliza kuwa tayari bomba la gesi lilijengwa kutoka songosongo lindi hadi dar na lindi wamenufaika na nii??hizi nguvu ambazo wanazitumia serikali kulazimisha...
  10. C

    Tbc;serikali imepeleka watu kusomea utaalam wa gesi chuo cha veta lindi.

    Wawaoneshe hao wanafunzi wanaosomea hayo mambo ya gesi ili wawathibitishie wananchi kama wanasoma hizo kozi zinazohusu gesi(kama ni veta ya lindi niliyaona matangazo pale lindi yanawataka wakazi wachangamkie kwenda kusomea udereva,welding na ushonaji sasa hayo mafunzo yanayohusu gesi wanayatoa...
  11. C

    Sakata La Gesi Mtwara: Tuache Unafiki na Woga, Tuchambue Mchele na Pumba

    wanajua ila ni wanafiki sana hawa viongozi walioko madarakani na wanaishi kimazoea kuwa wananchi hawaelewi lolote kwa viongozi wa serikali "UZALENDO NI KUKUBALI KILA WANALOLIHITAJI VIONGOZI WALIOKO MADARAKANI NA KUKAA KIMYA WANAVYOFANYA MAMBO YAO KWA SABABU WAO NDIO MIUNGU WA WATANZANIA NA KAMWE...
  12. C

    Uchambuzi Wa Habari: Goma Wanalilia Amani, Sisi Tumechoka Kuihubiri!

    tatizo ni kwamba viongozi walioko madarakani wanaona kuwa mawazo yao ndiyo sahihi na sio mawazo ya watu wa hali ya chini na wakati huo huo wanawahimiza watu kuwa wazalendo,sasa tuwe wazalendo katika lipi kama wananchi wakitoa mawazo yao wanaonekana ni wajinga ambao hawajui kitu na wanajitahidi...
  13. C

    Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Wanahangaika sana kuwahusisha vyama pinzani so what?!mkiacha unafiki nyie mlioko madarakani na kuyatekeleza yale ambayo wananchi wanayahitaji tusingeweza kifika hapa tulipofikia ambapo raia askari wanapoteza maisha eti tu kushinikiza kile kinachowajia akilini mwao huu sio uzalendo ambao...
  14. C

    Viongozi wa serikali acheni dharau kwa wana Mtwara

    Wananikera viongozi wa serikali!alafu mdai tuwe wazalendo kwa manufaa yapi sasa wanafiki.........
  15. C

    Mh JK na wanasiasa tunawapa masaa24 tuu ya kutoa tamko la gesi Mtwara!!!!!

    Hua ninaumia saana na haya yanayotokea hasa mauaji ya raia na nguvu kazi kwa ujumla mpaka nimefikia kuona kuwa uhai wa watanzania hauna thamani mbele ya mali asili kama nishati na madini na viongozi wenye dhamana wanafarijika na wanafurahi sana wanavyoona na kusikia kuwa watu wanauwana kwa...
  16. C

    Wabunge wa CCM jifunzeni namna ya kuchangia hoja bungeni

    Ni kweli ikiwezekana wawaulize wanaojua jinsi ya kuchangia kwa sababu wanatia aibu sana kwa sababu siku hizi watu wanajua vitu vingi sana sio kama enzi hizo za nyuma
  17. C

    Inside Mtwara: GESI ISITOKE - LOWASSA

    waongezee kuwa na ruangwa wameonesha cheche na huu ni mwendelezo hakuna kudanganywa na mtu yeyote kuhusu hili na tusikubali gesi na barabara kiwe ni kigezo cha mtu kuingia madarakani hizo zimeshapitwa na wakati big up ma ppo of south...
  18. C

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    hata kama yakichelewa sio mbaya ali mradi mabadiliko yawepo ili kizazi kijacho kifaidike na sio mfumo wa wachache unaopendwa na watu wa aina yako.
  19. C

    HOTUBA ya Kambi ya Upinzani Bungeni, Maliasili na Utalii na Peter Msigwa (FULL TEXT)

    acha umwinyi ww tunahitaji mabadiliko ya kiutendaji na sio kujifanya mkongwe......unaweza ukawa mkongwe kiumri lakini ni mtoto kimawazo,siri ya mwenge inaisaidia nini tz au wananchi wanafaidikaje???hatuhitaji saaana siri tunataka mambo yawekwe wazi.......nakushauri ukaisome hotuba...
Back
Top Bottom