Search results

  1. Tonga

    Mama Terri!

    Tanzania bwana, likija suala la kugusa interest na starehe za watu unaweza kuzimwa kama kibatari! Ni aibu kumpoteza activist kama Mama Terri alikuwa anaielimsha jamii kwa kiasi kikubwa sana. Tukumbuke kuwa jamii yetu haina utamaduni wa kuwaeleza watoto ukweli kuhusu maisha, mahusiano na...
  2. Tonga

    Rest In Peace Prof Leonard Shayo

    [I]Nakuunga mkono Philemon , Inashangaza kuona ni vitu gani huwa vinapewa kipaumbele na watz, vitu kama UDAKU vinachukua muda sana kuhamishwa au kufungwa. I'ts all good, Taifa letu halijawahi kuipa elimu kipaumbele hivyo sishangai pale watu wasipowatambua wasomi hata wale wenye mchango...
  3. Tonga

    Rest In Peace Prof Leonard Shayo

    OMG, Rest in Peace my dear Brother- In -Law. Its so hard to believe I won't see you again! I wish I was there to pay the last respect.To the family, Words seem indequate to express the sadness i feel about this loss. We just have to remember; When someone you LOVE becomes a memory, the memory...
  4. Tonga

    Tulichosema kuhusu Kigamboni kimetimia: Tukimbilie wapi?

    Tanzania kinachotumaliza ni ubinafsi na ile tabia ya 'kuchukua chako mapema' kwakweli nchi inapoelekea ni pabaya kuliko tunavyofikiria viongozi wetu kwa kushirikiana na wenye pesa wachache kutwa kucha hawalali wakifikiria ni kwa jinsi gani watazidi kumnyonya na kummaliza kabisa mtanzania wa...
  5. Tonga

    Bongo kunakera!

    I like this Naima..hii ndio dawa ya watu wenye dharau ambao wana-judge kitabu kwa kuangalia jalada itabidi niige huu mfano wako unafaa sana kuwakomesha wafanyabiashara wa Bongo wenye cutomer service zero. Nimesoma hii mifano mbalimbali ya kero za Bongo jasho linanitoka manake nyumbani ni...
  6. Tonga

    Romantic

    Sitaki, naona hapa kuna kutwanga maji kwenye gunia!!! mi yangu macho na masikio ... we have a looooong way to go that's all I can say.
  7. Tonga

    Nawezaje kutoka kwenye ndoa hii?

    Unataka kujua sheria za ndoa za wapi? Tanzania au nchi gani?
  8. Tonga

    Romantic

    Wanaume wa wapi hawa unaowapa ushauri huu?? Just curious
  9. Tonga

    Mramba, Mrisho, Mgonja, et al.. chunguni?

    Just curious, ni ndoa ya namna gani hiyo ambayo kila mtu anaishi kivyake? au yuko huku kuandaa makao? You never know!
  10. Tonga

    Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia

    Jamani niliburudika sana na hadithi za mtunzi huyu mahiri wa Tanzania..hivi alikuwa anaendelea kuandika?Wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki poleni sana kwa msiba, Mungu ampumzishe kwa amani.
  11. Tonga

    Miriam Makeba has died

    Rest in Peace DIVA, You will be missed forever!
  12. Tonga

    Je Ukizaa Mtoto Wa Jinsia Mbili Utafanyaje?

    Nakuelewa katika hili, ila swali lako hapo chini limenifanya nifikirie sana ni swali zuri ila sio rahisi sana kulijibu ukizingatia mila zetu za kiafrika ambazo mwanamke ndio mhimili wa ndoa japokuwa mara nyingi hana sauti katika maamuzi muhimu yaihusuyo ndoa hiyo (is too sad). Kwa mimi binafsi...
  13. Tonga

    'Chelle- Isn't she lovely?

    That's not underarm hair, some women have darker armpits especially black women so what you see am sure is not hair...she can do better than that.
  14. Tonga

    EPA na mambo yake

    Kina Chaula na Martha Nderimo wameishia wapi? au wameonekana hawana makosa? just curious
  15. Tonga

    Ni nini kiashirio kwamba kabila fulani ni wakabila?

    So you were looking for me, may I ask why?
  16. Tonga

    Kiswahili: Kutoka kwa wakenya

    Cha kushangaza zaidi hawa wakenya ndio wafundishaji wakubwa wa kiswahili nchini Marekani, ilhali kiswahili chao ndio hicho kimekaa upande. Watanzania tuna nafasi kubwa ya kuendeleza hii lugha nje ya mipaka yetu kwa kasi ya ajabu; kinachotakiwa tu ni umakini na kujua ni kitu gani tunacho kama...
  17. Tonga

    Rais Mteule Barack H. Obama!

    He can kick ass, damn he is a great dancer too....Americans got this one right....congratulations.
Back
Top Bottom