Search results

  1. C

    Dr. Shayo wa UK si bingwa wa uchumi

    Hii hoja imekaa kama inamlenga mtu na siyo hoja zake. Ni ile wanasalsafa wanaita ad hominem (attacking the person instead of attacking his argument).
  2. C

    Mwitikio wa serikali na wananchi kusaidia wahanga wa milipuko ya Mbagala

    Lukuvi hana lolote. Zamani kidogo miaka ya 90 nilikuwa nafanya kazi na dada mmoja ambaye aliwahi kusoma chuo cha uhazili Tabora. Akawa anashangaa kwamba Lukuvi alikuwa amejipenyeza na kukubalika kwenye siasa. Kwa mujibu wa huyo dada Lukuvi alikuwa ni jamaa aliyekuwa kuwa anafahamika sana...
  3. C

    Wabunge 27 hawajawahi kuuliza swali miaka mitatu,yumo Prof Sarungi wa Rorya

    Watu wengine waacheni wajifie salama. Wamekwishagundua wakati wao bungeni umekwisha. Lakini utashangaa mtu kama Mungai bado anagombea ubunge na kushinda!
  4. C

    How safe is Dar?

    Dar hapafai. Nadhani njaa nyingi. Juzijuzi nilipata janga la kuporwa na vibaka wenye mapanga mapema ya saa moja jioni. Nilipoenda kituo cha polisi nikaambiwa hawakuwa na umeme hivyo niende asubuhi yake. Cha ajabu walisema, tena hata bila wasiwasi, kuwa hawakuwa na mafuta kwa ajili ya kufanya...
  5. C

    Watanzania wapuputika

    Vipi 'kupuputika' maana yake ni nini? Kiswahili kinanipiga chenga, jamani.
  6. C

    DC Bukoba aamuru walimu wachapwe mboko!

    Kuna mtu mmoja muhimu anasahaulika katika mjadala huu - yule askari aliyetekeleza hiyo adhabu. Mimi si askari na najua askari wanapaswa kutii amri. Lakini kuna anayeweza kunihakikishia kwa hakika kuwa aliyetekeleza amri ya DC 'mwenye matatizo ya akili' kama huyo wa Bukoba kwa vipi anakuwa safe...
  7. C

    Mzumbe: Je hawa Wahadhiri wafukuzwe kazi?

    Ukisoma kwa makini hiyo taarifa ya Nkunya utagundua kuwa yeye mwenyewe hajui ni hatua gani za kuwachukulia hao madaktari wa Mzumbe. Hoja yake ni kuwa TCU haina meno kisheria. Lakini labda tuseme hao jamaa ni miongoni mwa watanzania wengi (wakiwemo hata viongozi wa serikali) ambao wamekuwa...
  8. C

    Mpiga debe wa Kichina stendi ya Ubungo

    Naungana na wachangiaji mbalimbali ambao wamekuwa wazi kuwakubali hao mabwana kufanya kazi ya 'kupiga debe'. Hoja yangu hasa ni kipengele cha usawa katika utandawazi. Ikiwa wewe ukienda nchi za wengine unapewa kazi kwa nini mchina au raia wa nchi nyingine akija Tanzania asipewe? Na tumeelezwa...
  9. C

    Kapt. Mkuchika na Maagizo yake!

    Wanataaluma ndiyo waandishi wazuri wa habari kuliko hata waandishi wasio na taaluma nyingine zaidi ya uandishi wa habari, nionavyo mimi. Hoja ya msingi hapa ni kuwa na programu za kuwaendeleza waandishi wetu ndani ya vyombo vya habari husika. Hilo inawezekana linafanyika kwa vyombo vingi...
  10. C

    Govt declares war on fake certificate holders

    Nadhani juhudi za kudhibiti vyeti bandia ziende sambamba na mabadiliko ya kiutendaji ya wahadhiri wa vyuo vyetu vya TZ. Wakati vyuo ya wenzetu wanafunzi wanapewa kila msaada ili wamalize vizuri kwa wakati, Bongo mara nyingi ni kinyume chake. Kuna kisa cha bwana mmoja aliyekuwa akicheleweshewa...
  11. C

    Lessons From Ngapulila

    A big fan of bongoland music as you are, I should ask you to carefully listen to another song with a similar theme, from Wagosi wa Kaya. I think it goes by the name 'Passport'. In this track you will notice a despair of someone who is eager to go to Europe, only he cannot manage to pay bribe to...
  12. C

    Teofilo Kisanji University

    Mapinduzi ya elimu mahali popote yanatafriwa kwa kuwepo kwa hamasa ya wananchi kuanzisha na kusimamia taasisi za elimu. Sasa hivi Tanzania inafanya mapinduzi ya elimu. Nasema mapinduzi kwa sababu huko nyuma msisitizo wa elimu ulikuwa katika kiwango cha elimu ya msingi. Ndivyo wanasiasa wetu...
Back
Top Bottom