Search results

  1. N

    Kamari kila kona ya nchi, Wachina wanapata wapi vibali?

    Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa. Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza...
  2. N

    Kwanini Kagera? Kunahitajika suluhisho la Kisiasa au Kisayansi?

    Ni swala la kuhuzunisha kuona kila janga linawaangukia wana Kagera. Mv Bukoba, Karena. Tetemeko Kagera, Ndege Kagera. Inamfanya mtu kujiuliza: je, tatizo ni nini? Au Serikali inangalie kama ni kitu scientific na Kagera kinachoipelekea mkoa huu kuwa na majanga makubwa ya kitaifa.
  3. N

    Wenye CCM Wasiogopwe

    Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu. Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu. Hivi karibuni, Nape Nnauyr alisema wqzi kwamba chama kimerudi kwa wenyewe. Hao wenyewe ni wakina nani? Nadhani...
  4. N

    Chinese Vs. Tanzanians. Kuna Tatizo Serikali Inalifumbia Macho

    Ndugu zangu, kuna tatizo kubwa humu nchini ya ki usalama linaloendelea dhidi ya watanzania linalosababishwa na Wachina. Katika Miradi mikubwa inayotekelezwa na Wachina kuna sehemu ndogo za Mradi ambazo zingetekelezwa na Watanzania, lakini tatizo ni kwamba, hakuna kampuni ya Kichina inayoweza...
  5. N

    Wanaombeza Rais Samia watashangazwa na yajayo

    Kuna mambo mengi sana yamefanyika ambayo ni ya kushtusha na yote yametendwa bila idhini ya mama. Nina wahakikishieni kwamba, msishangae ukimya wa mama. Siku chache mtashangaa vigogo watakavyodondoshwa kama magunia ya mchanga. Mwenye madaraka ni mwenye madaraka Mama inabidi avunje baraza la...
  6. N

    Je, ndege za ATCL ni mitumba?

    Ninavyoandika hivi, ndege ya ATCL Airbus 220 imeharibika Mwanza tangu saa 1 Asubuhi na abiria wote wamekwama. Hizi ndege ambazo zinadaiwa kuwa mpya zimekuwa zikiharibika kila mara, na hiyo inapelekea kuhoji ubora wa hizi ndege. Kama ni mpya, kwa nini ziharibike kila mara? Nimeondoka na...
  7. N

    Hali ya kisiasa kijamii na kiuchumi inaelekea kuwa ngumu sana

    Kwa yanayojiri nchini Tanzania kwa sasa inahashiria ugumu wa maisha mbele yetu. Hali ya kisiasa kiuchumi na kijamii inaelekea kuwa ngumu sana hapo mbeleni. Wiki jana USA imewapiga ban viongozi wa Tanzania, ina maana shuguli nyingi zitakwama kwani kitovu cha uchumi wa dunia ni Marekani. Leo...
  8. N

    Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

    Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani. Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola. Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na...
  9. N

    2021 ndege zetu zitaruka au zitaegeshwa?...?

    Kwa hali hii ya sasa, inabidi tuwe wakweli na nafsi zetu napia tutafakari mambo kwa undani. Kwa hali ya kisiasa iliyopo, ni dhahiri kwamba kuna mambo yamejificha nje ya pazia. Uwezekano wa vikwazo ni mkubwa sana. Ni swala la muda tu Ikitokea nchi tumewekewa vikwazo, ina maana kuna baadhi ya...
  10. N

    Karasha ya Wachina wafunga milango Singida

    Karasha ya kokoto ya Wachina hapa Singida hatimaye wamefunga kazi zao Ijumaa iliyopita wakidai kushindwa kutokana na kodi kubwa pamoja na tozo mbali mbali. Raia hao wa Kichina, waliajiri Watanzania 47 ambao wanarudi mtaani. Tukumbuke karasha ilikuwa inatoa ajira nyingine kwa waendesha malori...
  11. N

    Hussen Msomali: Untouchable Mafia

    Kuna huyu Msomali anaitwa Hussen, nadhani ndio mmiliki wa Sanitas Hospital Mikocheni. Huu jamaa anajiita Mafia, ukimchezea unatoweka. Aliwahi kuitwa TRA akagoma na ilibidi boss wa TRA kinondoni aje kukutana naye Huyu jamaa alijenga ukuta wa Hospital chini ya Viwango Hakuna nondo hata moja...
  12. N

    Tanzania na TRA wametufikisha hapa. Aibu

    Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi. Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
  13. N

    Uchaguzi 2020 Bashiru na Polepole Heshima yenu ni Kujiuzulu

    Popole na Bashiru mmeifikisha CCM pabaya mno. Aibu hii siyo ya kawaida. Katika watu kumi mtaani 9 wanapanga kumpigia Lissu Kura. Mmemdanganya mwenyekiti kwa miaka na mazao ya uuongo wenu ni dhahiri kutokana na mafanikio ya kutisha ya Lissu. Mmeifikisha CCM pabaya na chuki mliyojenga imo mioyoni...
  14. N

    Uchaguzi 2020 Dar: CCM yapata aibu kubwa TPDC Mikocheni

    Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000 Mwezi uliopota, wafanyakazi wote wanaoishi kwenye nyumba za TPDC na wakazi wa Mikocheni wallabies wafike bila...
  15. N

    Uchaguzi 2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

    Mimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba. Tuko wengi. Rafiki...
  16. N

    Uchaguzi 2020 Polisi Mbarali wavamia msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA na kulipua mabomu

    Polisi wa kituo kidocho cha Mbarali Mr. Antipas Temu akiwa na Gari aina ya Nissan T809 AVW amevamia msafara wa mgombea Ubunge wa Chadema na kuanza kulipua mabomu. Kabla ya kuanza kurusha mabomu, Bw. Temu alijificha kichakani, naa Baada ya kitendo hicho, na kuona wananchi wananchi wanaanza...
  17. N

    CHADEMA mnatuangusha, mnashindwaje ‘Live Streaming’ hata YouTube? This is unacceptable

    Muda huu naangalia ACT-Wazalendo wako kila sehemu Live YouTube. CHADEMA hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same. Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura. CHADEMA ni chama kikubwa, badilikeni...
  18. N

    2020 Lazima Nipige Kura Upinzani

    Ingawa nina kadi ya CCM na MwanCCM damu, nakiri kwamba mwaka huu tofauti na miaka mingine, lazima nimpigie Kura Tundu Lissu. Rais tuliyemchagua ameniangusha na sitaki tena kufanya kosa. Lazima nitumie haki yangu kuchagua kiongozi asiyebagua watu kutokana na matabaka yao. Naandika huu uzi...
  19. N

    Chadema, Bila Ujasiri Kuingia Ikulu Ibakie Ndoto

    Hadi sasa, binadamu yeyote angeshasema basi inatosha. Leo Mnalia mitandaoni na Press Conference za Hovyo. Heche, Mnyika, Sugu, Msigwa et al.....mnategemewa sana, ila nanyi mmeonyesha ni wale wale. Hii haivumiliki, mstari mwekundu umevukwa. Enough is enough. Mass action ndio dawa. Esther...
  20. N

    Air Tanzania Haiwezi Kuendelea Ikiendelea na Siasa

    Tuko Airport tangu saa 12 Asubuhi ndege yetu ilikuwa niondoke saa 3 kwenda Mwanza, lakini hadi sasa hakuna maelezo yoyote watu wamekaa kwenye ndege. Huku wafanyakazi (ground crew) wamelizingira ndege. Ndio madhara ya kuendesha Shirika kisiasa.
Back
Top Bottom