Search results

  1. A

    Ni nini faida za kupiga Chabo

    Ngoja na mimi niazishe hiyo business, mbona ntawapata wengi!
  2. A

    Zain kunatisha!

    Ungetafsiri pia kwa lugha ya taifa kwa manufaa ya wateja na kilichoandikwa humo.
  3. A

    Tarehe/siku nzuri kwa mimba kuweza kutungwa

    Hongera sana kwa mleta mada, jamani nimepitia hoja zote na nimekutana na hoja kama mbili zenye matatizo kama yangu. Ningependa kupata masaada maana nimekuwa nijaribu sasa ni kama 6 months ku concieve na nimeshindwa kabisa na nipo kwenye ndoa ni one year sasa. Ila huko nyuma kabla ya huyu bwana...
  4. A

    Mfanyakazi mmoja kati ya watatu huangalia ngono ofisini wakati wa kazi

    Hii inadhihirisha jinsi gani NGONO ilivyotawala fikra za binadamu. Je ni asilimia ngapi pia kati ya wanawake na wanaume hufanya hivyo! ningependa itwaje pia.
  5. A

    Kuna ubaya kumpa penzi mama mkwe?

    Mjomba acha kabisa hayo mambo aise. Hivi wewe ukija sikia wife wako kaliwa na baba mkwe(baba yako mzazi) utajisikiaje! bas,kaa mbali sana na huyo mama. Katika maisha penda kutenda mambo utakayopenda kutendewa. Kila la heri ndugu.
  6. A

    Simu na Mahusiano

    Kivipi wakati siziapply tena bali ni yeye ndo mwenye tatizo. Kwa hio mtu akipitia mambo fulani basi huko mbeleni yatamtafuna! hebu nifafanulie hapo ndugu mpendwa.
  7. A

    Hapo Mwanzo Palikuwa Na Nini?!...science Vs divinity

    Jamani hii ndo lugha gani! Mbona mmetuacha kwenye mataa au ndo kunena huko kwamba Mungu yupo?
  8. A

    Simu na Mahusiano

    So na yangu pia network ikiwa inasumbua niende nikapokee pembeni. au sio! Tit for tat! lol
  9. A

    hajielewi

    Jamani za leo, kwa kweli topic yako imenigusa sana Nyamayao, tena kabla sijasahau mbona PM yangu hujanijibu shostiiii! Sasa mwenzangu kuhusu huyo dada na maongezi yako inaonekana kabisa anajiweza kimaisha. Jamani mapenzi hayalazimishwi na kila shetani na mbuyu wake, ushauri wangu ni bora...
  10. A

    Nani mvumilivu kati ya mwanaume na mwanamkeke?

    Tena unapokuwa na shida kipoozeo ndo mda wake muafaka... maana nadhani kisingekuwa hicho kipoozeo asingeweza kuvumilia hio miezi mitatu. Tena ntakuja chumbani kwako(PM) unipe stori zaidi na kuelimishana zaidi. Tusiwape wanaume uhondo...!
  11. A

    Simu na Mahusiano

    Mbona limekugusa mbuuuu! ndo hivyo tena mwaya arubaini zake zilimfika.
  12. A

    Nani mvumilivu kati ya mwanaume na mwanamkeke?

    Ni kweli kabisa, wanawake wengi huwa wavumilivu sana, na uvumilivu huo naweza kusema hujengwa kuzuia aibu (ndoa imemshinda) katika jamii. Tumeumbwa na moyo ya kujali sana tofauti na hawa wenzetu. Ila pia wanaume hudhani pale mnapoombana msamaha yakaisha huisha, No, ili nayeye moyo wake utulie...
  13. A

    Simu na Mahusiano

    Duh naona palikuwa patamu, ndo maana kwenye mada yangu nilisema sipendi kufikia huko...nilitaka tuu kumuelimisha na huko kutokupokea simu kwake kunaponikwaza. Maana ukimchunguza bata sana hutamla. I think mpaka hapa nimeelimika sana na hizi simu. Asanteni sana.
  14. A

    Simu na Mahusiano

    Ok, kama uko na huyo mume (kama statu tuu) yani unaona kabisa hana feelings na wewe kabisa hapo pia ni ignore!
  15. A

    Simu na Mahusiano

    Shosti, sasa nikiwa mbogo ntawapata na hao mashoga! Cha msingi mimi naona ni heri niendelee kuwa kivyangu vyangu au nitafute mashoga walioko kwenye ndoa zao pia. Au sio! Maana thio thiri mimi toka nyumbani sipendi mashoga na nikiwa naye si shey naye mambo yangu ya ndani. Au vipi shosti belinda!
  16. A

    Simu na Mahusiano

    Mbuu ndugu yangu, asante kwa ushauri. Ila methali yako au niseme msemo wako sijui, wala sijauelewa kakangu. Hebu nifafanulie mweee!
  17. A

    Madaktari saidia ushauri hapa please

    Pole kaka, ila hii nso naisikia kwako mwanamke kuwa mkali wakati wa ovulation period! maana mimi kwa kipindi hiko kwa kweli huwa mpole sana na kutamani niingiliwe na mwenzangu ili muwashawasha ushuke. Je, umejaribu kuomba kujigjig mda huo na reaction yake ilikuwaje?
  18. A

    Simu na Mahusiano

    Kwa mtindo huu kweli kuna uaminifu hapa! maana matendo yako ndio yatanipelekea mimi kujenga uaminifu kwako kumbuka hili pia. au sio my dear unasemaje.
  19. A

    Simu na Mahusiano

    Kwa vile ameonyesha tabia yake ya simu kuwa hiyo kwa maana hiyo na mimi nifanye hivyo pia! au hapa inakuwaje sasa. Maana kwa upande wangu sijawahi kumuonyesha nyendo hizo hata siku moja.
  20. A

    Simu na Mahusiano

    Asante shosti, yawezekana na mimi nilijibwetesha sana kwa kuwa ndoa bado changa mwaka na nusu tuu na kuwa mtiifu ki hivyo mpaka kumpelekea na yeye kujisahau. Huku nilipo norway kwa kweli bado nimgeni sijapata mashoga bado.
Back
Top Bottom