Search results

  1. M

    Upinzani wanakwepa ukweli kwa kujificha nyuma ya propaganda ya kuibiwa kura

    habari wanabodi,Napenda nirudie tena kauli yangu sijawahi kushuhudia upinzani wa hovyo duniani kama upinzani wa Tanzania.Upinzani wa Tanzania ni upinzani ambao hawapendi ukweli pili hawapendi kufikiria kwanini watanzania hawawakubali wamekosea wapi au wamejikwaa wapi hali inayopelekea kushindwa...
  2. M

    Wananchi tukipiga kura turudi majumbani tusidanganywe kulinda kura

    Habari wanabodi,Ni jukumu la wananchi kupiga kura lakini sio jukumu na kinyume cha sheria kukaa karibu na vituo vya kupiga kura kwa kigezo cha kulinda kura ningependa kuwakumbusha na kuwaasa wananchi wenzangu wa kinondoni na siha kuepuka kila ulaghai unaofanywa na dj na kikundi chake cha wahuni...
  3. M

    Makamanda hali ngumu, wajiandaa kutembelea propaganda yao ya kuibiwa kura

    Habari wakuu nimefatilia kwa karibu hali ya kisiasa na kampeni za majimbo ya siha na kinondoni kwa kifupi upinzani ule wa 2015 sijauona kabisa leo ninachoshuhudia ni uchovu mkubwa wa fikra na mawazo unaooneshwa na wanaojiita makamanda huku wagombea wao hawana utashi na uwezo mkubwa wa kuongelea...
Back
Top Bottom