Search results

  1. Vicent daudi

    Tecno p5 inahitajika

    Nahtaji simu tajwa hapo juu bajeti yangu ni 130.
  2. Vicent daudi

    nokia lumia 520 inauzwa

    Nauza nokia lumia 520 bei 220k iko kwenye hali nzuri sana Niko dsm 0766430471
  3. Vicent daudi

    CCM taabani dhidi ya nguvu ya umma

    Chama cha mapinduzi kimegeukiwa na wananchi dhidi ya ubabe kwa wananchi wake pale wanapokosa hoja au kuonekana hawana future ya Tanzania ya baadae na wapinzani kuongoza kwa kila hoja na ccm kujikuta kutaka kuzuia ruzuku kwa vyama vya upinzani kutumia polisi kuzuia wapinzani kuzuia tbc kuonesha...
  4. Vicent daudi

    Penzi la simu baada ya kuonana akanikataa but sasa hv anataka tena

    Nilikuwa na mchumba wangu ambae tulijuana baada ya mm kuweka no. Zangu natafuta rafiki kwenye tv. Ndipo nilipopata wengi na mmoja wao ni huyu niliendelea nae tulikuwa tukiongea kwa cm na sms kwa miaka miwili yeye akiwa moro nami dar but wakati huo alikuwa anasoma moshi, tuliendelea na siku 1...
  5. Vicent daudi

    Hellow

    Hod hodi humu ndani
Back
Top Bottom