Search results

  1. D

    Mazingaombwe ni fani kama Siasa?

    Mkuu MKJJ- Mtu yeyote anayetaja SERA zake kuwa nizile za CCM ambao ndizo zimepelekea nchi kufikia ilipo ni wa kuogopwa tu. Inajulikana wazi kwamba sera zilizotufikisha tulipo haziwezi na hazitaweza kututoa! Period. Angejitokeza mkweli akazinadi SERA zake kwetu tukazitafakari na kutofautisha na...
  2. D

    President Buhari: US and other countries to help Nigeria search for stolen money

    .... wezi wa mali ya umma ni pamoja na wasiorudisha mikopo ya elimu ya juu. Kama umo humo anza kurudisha sasa !!:decision::decision:
  3. D

    Dar es Salaam to get modern Urban Metro Rail system soon, with help from India

    ... Germany mi broda! Kama ni issues za South-South cooperation si tuuziane tu korosho, curry powder nk? Haya mengine ya teknolojia tuwafikirie waliobobea katika masuala husika na sio INNOVATORS!
  4. D

    Upepo umegeuka, sasa ni Makongoro Nyerere!

    Ukabila, ukabila, Ubaguzi! Mahitaji ya UONGOZI ya Tanzania ya leo ni zaidi ya vigezo vya zamani zile miaka ya SITINI! Pamoja na busara na hekima za Mwalimu (RIP) tuchanganye na zetu pia jamani. Haya ya ushabiki yasiwaponze mlale mlango nje. Atapenyeza mpuuzi ndani ya nyumba na baada ya hapo ni...
  5. D

    Swali la Ugomvi kwa Watangaza Nia: Mafanikio Yote Mliyotuhubiria Leo Yamepeperuka?

    Picha haiko sawa? Baada ya kupigika na kudanganywa sana, hususan baadhi yetu, itawezekanaje wote tudanganyike? Yaani, Watanzania wote tudanganyike mda wote? Nasema hivi kwa vile maigizo yanayoendelea ni kama pre-emptive efforts za ku-dilute agenda ya wapinzani kwa kutumia lugha ya...
  6. D

    Mgombea urais: Huyu ndiye anayeungwa mkono na chama cha CCM

    ... unanikumbusha vituko vya chapombe mwingine Boris Yeltsin hususan siku ile alipomhenyesha mwenyeji wake uwanjani Dublin, Ireland kwa masaa hadi pombe ilipoisha kichwani ndo akaweza kushuka toka kwenye dege. mambo ya vodka hayo toka Moscow hadi Dublin. Unaposhangaa ya Mako, kumbuka ya Yeltsin!
  7. D

    Dr. Mwelecele (aka Mwele) Malecela amechukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    ... list ya ma-Rais watarajiwa: 1: Dr Mwinyi 2: Mako 3: ...... 4: .... . i: Riz1 i+1: Halfani i+2: ..... . . j: Le mutuz! . .
  8. D

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Ndo maana Mwalimu (RIP) alituasa, MGOMBEA WA NAMNA HII AOGOPWE KAMA UKOMA!! Neno limetimia. Huyu bana akipita nahamia ROMBO
  9. D

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Mojawapo ya kamba walizofungwa jirani zetu wa Kenya katika kampeni za uchaguzi mkuu uliompa Uhuru kiti cha urais ni pamoja na wapiga kura kuaminishwa ati wamchague Rais mwenye mihela yake ili nchi iondokane na tatizo la ufisadi uliokithiri. Kinyume na matarajio yao, tatizo la ufisadi limebaki...
  10. D

    Ufisadi: Samaki huoza kuanzia kichwani

    Mojawapo ya kamba walizofungwa jirani zetu wa Kenya katika kampeni za uchaguzi mkuu uliompa Uhuru kiti cha urais ni pamoja na wapiga kura kuaminishwa ati wamchague Rais mwenye mihela yake ili nchi iondokane na tatizo la ufisadi uliokithiri. Kinyume na matarajio yao, tatizo la ufisadi limebaki...
  11. D

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    ... siasa za maji taka enzi hizo au leo hii maji yale yametakasika ?
  12. D

    Kikwete siyo safi! - yes I said it!

    ufisadi, ufisadi, ufisadi
  13. D

    Urais 2015: Nilichokisema jana kuhusiana na kauli ya Lowassa

    RockSpider Dataz ndo hizo. Watu wengine hawaachi utoto wa kujitekenya na kucheka wenyewe. MD, MBA...
  14. D

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Ee bana eh, sheria mpya ya habari na matumizi ya takwimu haimbani?? Ngoma inogile!!! Rais htatoka kaskazini, hata mjomba angu anjua nani atakua Rais 2015! Nchi ya majungu sana, uzaireshaji umefanikiwa sana.
  15. D

    Hili limeshakuwa tatizo: Dola sasa ni zaidi ya TZS 2,350/= Kikwete, Ndulu, Wizara wapo kimya!

    The buck is getting stronger. You may wish to google on: Kenya Leads East Africa Currencies in Weekly Drop Against Dollar
  16. D

    Ufisadi wa zaidi ya Sh. bilioni 600, Watanzania tupo kimya tu?

    Rejea makala ya Jenerali Ulimwengu, "kwa nini tunaizairesha nchi"
  17. D

    Jenerali Ulimwengu: Hata kwenye upuuzi tuko dhaifu!

    .... habari ya leo wajameni, maana hata kwenye upuuzi, tupo dhaifu
  18. D

    Rais Kikwete amesema hatakubali misaada yenye masharti kuyumbisha nchi

    .... na siku si nyingi kuna mkutanao kule kwa OBAMA kuhusu Open Govermnent Partineship –OGP. Si aende tu asemee huko wamsikie.
  19. D

    Mulugo Karudia Tena Madudu yake!

    ... usisahau na hii, Tanzania was FOUND????. Naibu Waziri, tena Wizara ya ELIMU. halafu mnamwonea sana huyu. Imagine bi Ghasiye anazungumza hii lugha ya watu kjujibu swali kiingereza, na hapo pembeni yupo Bi. Sembe akimsahihisha. Very original comedy! I love is my country. Na hapo muulizaji...
Back
Top Bottom