Search results

  1. BadoNipo

    Male circumcision can help reduce HIV infection in men by up to 60%

    The First National Training of Male Circumcision Providers is being held at the Primary Health Care Institute in Iringa Town. Since 2006, the Ministry of Health and Social Welfare has been studying the benefits of male circumcision and this training is a major step towards improved male...
  2. BadoNipo

    Wale wa Lutengano High School 1993 - 1998

    Wale waliosoma lutengano High school mpo? siwasikii kabisa. hebu tujikumbushe kidogo jamani. Mnakumbuka ile milima ya kuelekea ushirika??????
  3. BadoNipo

    Tahadhari - Makampuni ya matangazo.

    Tahadhari kwa wananchi wote wanaofanya biashara na wanataka kujitangaza kwa kupitia mabango. Hivi karibuni kumeibuka makampuni mengi ambayo yanajishugulisha na biashara ya mabango. kumbe kuna mengine ambayo hayajasajiriwa na Brela. mfano ni hii kampuni ya brooklyn Media, Hii imetokea ambapo...
  4. BadoNipo

    Mtoto apata HIV baada ya kula Nanasi

    It's in Nigeria - Lagos A 10 year old boy, had eaten pineapple about 15 days back, and fell sick, from the day he had eaten. Later when he had his Health check done.... doctors diagnosed that he had AIDS. His parents couldn't believe it... Then the entire family under went a checkup... none of...
  5. BadoNipo

    Big Scandals By Mr R. J. Sabodo

    BIG SCANDALS – STOP (AND PONDER) Source: The Gurdian! Mr R. J. Sabodo I am shocked by the amount of money Cell phone companies rob from us daily with full official endorsement and clean payments. Mobile phone subscribers are now more than 15 million. We a number three in...
  6. BadoNipo

    Rukia Bruno hatunae tena

    Source - Michuzi-blog.com MNENGUAJI maarufu wa Bendi ya FM Academia, Rukia Bruno amefariki jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam . Balozi Credo aliyejitambulisha kama kaka wa Mwanamuziki Nyoshi el Saadat ambaye mkewe amefariki, amsema shemeji yake alikuwa...
  7. BadoNipo

    The Silence Is Killing Me

    Jamani wanaJF tumsaidie binti huyu, mawazo yenu ni muhimu sana kwake. 'I have been in my relationship with this man for eight months, and I am in love with him. But, my question or concern is when I say to him, "I love you." There is nothing -- just silence. I don't care if he doesn't say it...
  8. BadoNipo

    Wafanyakazi wa Shoprite Wagoma

    Wafanyakazi wa Shoprite - Kamata leo asubuhi wamegoma kufanya kazi wakishinikiza uongozi kuwaongezea mshahara na pia wanalalamikia uongozi mbovu uliopo madarakani. hadi hivi sasa bado wapo mbele ya supermaket wakiwa na mabango huku wakiimba nyimbo mbalimbali.
  9. BadoNipo

    Tell dem da trut

    A small girl walks-in while her father is dressing in the bedroom. She looks at his privates and points at his person and asks "Dad what's that thing between your legs?" Dad replies "I don't know". She goes to kitchen and finds her mum "Mum what is that long thing between dad's legs?" The...
  10. BadoNipo

    Makato ya PPF kwa Wafanyakazi.

    Kunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000 ili kila mwezi mwajiri na mwajiriwa wanachangia elfu kumi kila mmoja. huu si utapeli jamani? Huu...
  11. BadoNipo

    Obama says New Yorker insulted Muslim Americans

    This illustration provided by The New Yorker magazine, the cover of the July 21, 2008 issue by artist Barry Blitt, shows Democratic presidential candidate Barack Obama dressed as a Muslim and his wife as a terrorist. The magazine says the cover is meant to satirize the use of scare tactics and...
  12. BadoNipo

    The Commedy production ndani ya Bunge

    Kundi la Ze Comedy lililojipatia umaarufu nchini kwa maigizo yao, jana lilikuwa miongoni mwa wageni waliofika kujionea vikao vya Bunge vinavyoendeshwa mjini hapa. Wasanii hao walitambulishwa kwa wabunge baada ya kipindi cha maswali na majibu asubuhi. Naibu Spika Anne Makinda, wakati...
  13. BadoNipo

    Swahili Translation

    1. Madirisha Elfu Mbili Mtumishi (Windows 2000 Server) 2. Madirisha Elfu Mbili Mtaalamu (Windows 2000 Professional) 3. Jedwali Changamfu (Active Directory) 4. Mtazamo (MS Outlook) 5. Mtazamo Ulioharakishwa (Outlook Express) 6a. Mtambo wako unakimbia nje ya kumbukumbu dhanifu (Your system is...
  14. BadoNipo

    All my dreams came true when I married a poor man!

    Girls hear, from the time they are young, “It’s as easy to love a rich man as it is to love a poor one” and “it’s better to marry a rich man". Well, ladies, I did something different, I married a poor man and made him feel rich! We married on 14th July, 07 after knowing one another for 1...
  15. BadoNipo

    Research shows fat men have bad sperm

    Too many fatty foods are dangerous not only to men's waistlines, but to their sperm production. In research presented Wednesday at a meeting of the European Society of Human Reproduction and Embryology, scientists found that obese men have worse sperm than normal-weight men. "There is a...
  16. BadoNipo

    Star Tv Na Futuhi

    Jamani kweli The Commedy ilikuwa inatamaniwa na watu wengi sana. nimeshangaa sana jana kuona Star TV nao wameanzisha kipindi kinaitwa FUTUHI ni cha kichekesho kama cha the commedy yaani wamekopi kila kitu. lakini hata hawachekeshi sana zaidi na kuboa tu. Wameniboa sana imeonyesha ni jinsi...
  17. BadoNipo

    Makwaiya wa kuhenga umetufunua wengine

    janal nilikuwa naangalia Channel ten kipindi cha ' Je Tutafika' ambacho kinaendeshwa na Mzee Makwaiya wa kuhenga. alikuwa ameenda nchi ambayo inaitwa Sumaliland, yaani sijawahi hata siku moja katika maisha yangu kusikia nchi inayoitwa kwa jina hilo zaidi ya kujua kuwa kuna nchi inayoitwa...
Back
Top Bottom