Search results

  1. BadoNipo

    TANESCO kimewaka, jenereta lalipuka Ubungo!

    nchi ya wenyewe hii, tutakoma na hili giza.
  2. BadoNipo

    Nina miaka 30 bado bikira, naomba ushauri

    mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
  3. BadoNipo

    Elections 2010 Wana kyela WHAT THEY PROMISE IS WHAT THEY DELIVER NO JOKES

    hongera sana mh. Mwakyembe. Jemedari wa wana kyela. Nenda kafanye kazi kwa bidii zaidi na kwa bahati nzuri vimeongezeka vichwa vikali zaidi toka chadema hope mtashirikiana vyema.
  4. BadoNipo

    Kumlinganisha Mrema wa 1995 na Dr Slaa wa 2010 ni sawa na nuru ya Mwezi vs ya Jua

    Jamani tumwache mze.e wa watu akapunzike kdg huko maana alikuwa na hari mbaya 7ana. Wawaa mrema
  5. BadoNipo

    ANGALISHO:Watumiaji wa VODACOM

    lakini wamesema kuwa kuanzia saa kumi na moja hadi saa tatu ndo haipo hiyo huduma ya sh 1 kwa sekunde.
  6. BadoNipo

    Kulikoni ITV kutotangaza habari za Simba SC?

    Mhh kazi ipo.
  7. BadoNipo

    Mihadhara ya namna hii ni sahihi...?

    waache wazidi kumtangaza Yesu kwani kwa jinsi wanavyomuhubiri na watu wengi wanakuwa wanataka kumjua huyu yesu ni nani hasa. so wanamtangaza bila wao kujijua.
  8. BadoNipo

    Jina la mtoto...

    Aitwe MwaJ haina neno jamani.
  9. BadoNipo

    Jamani Hapa Mapenzi yapo?

    Imekula kwako dada, pole sana kwa hilo. ndo mambo ya mjini hayo. hata kama mlipima HIV hukupaswa kujiachia hivihivi bila kinga. hakuna ndoa hapo.
  10. BadoNipo

    Naskia BSS bila kura ingekuwa catastrophy!!

    Ni ya kweli kabisa Firstlady, ndo maana siku ile Master jay alisikitika sana kuona kelvin ana kura ndogo sana, kila mara alikuwa anatikisa kichwa.
  11. BadoNipo

    Hodi hodi wana jamii forums

    ha ha ha, kazi kweli kweli
  12. BadoNipo

    Hodi hodi wana jamii forums

    Karibu sana Monica.
  13. BadoNipo

    Mshindi wa BSS 2009 ni Kelvin; halina ubishi!

    and the winner is Beatrice
  14. BadoNipo

    All The Women In UR Life - Jamani Hamchoki nyie??

    Ni kweli kabisa Veracity, wanaume tumezidi sana, hatupitwi na kitu.sijui tunaelekea wapi. kuna jamaa mmoja anafanyakazi shirika fulani ambalo linajihushisha na mambo ya ukimwi ni mchafu hadi basi, mke wake amemuacha mkoa mwingine, basi yeye kazi yake ni kila siku kubadilisha ma barmaid hadi...
  15. BadoNipo

    Kitchen Party: Yatokanayo...

    kwa mtazamo wangu naona kitchen party aisaidii chochote zaidi ya kuharibu.
  16. BadoNipo

    TBL na Serengeti Bia

    Kwa kweli TBL wanachofanya sio haki kabisa, wanaweweseka baada ya kuona serengeti bia wapo juu na bia yao ni nzuri sana. pia wamejaribu kuiga Vilta Malta kwani wao kabla walikuwa na malta guiness lakini ilikuwa mbaya sana now wamebadili kuiga Vilta malta. TBL wajue kuwa biashara ni ushindani...
  17. BadoNipo

    Male circumcision can help reduce HIV infection in men by up to 60%

    The First National Training of Male Circumcision Providers is being held at the Primary Health Care Institute in Iringa Town. Since 2006, the Ministry of Health and Social Welfare has been studying the benefits of male circumcision and this training is a major step towards improved male...
  18. BadoNipo

    Kingunge amechanganyikiwa?

    Kweli mzee anazeeka vibaya sana, eti anasema dini inaleta ubinafsi anavyodai yeye eti kwa sababu kila mtu ana dini yake so muda wa kwenda kusali/kuswali ukifika kila mtu anaenda kwenye dhehebu lake. kweli kazi ipo.
  19. BadoNipo

    AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

    Baadhi ya vyuo ambavyo unaweza kujiunga navyo ukiwa umesoma NCC EDUCATION University of Gloucestershire University of Warwick Anglia Ruskin University Oxford Brookes University London Metropolitan University University of Abertay, Dundee University of Gloucestershire University of...
  20. BadoNipo

    AY arudi shule; kujiunga na chuo fake?

    ha ha ha ha kazi kweli kweli. hongera yako yoyo
Back
Top Bottom