Search results

  1. Victoire

    Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

    Mabeyo alitakiwa awe Rais kwa kweli.
  2. Victoire

    Africa: Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa nchi zenye watu wenye furaha zaidi

    DRC,Nigeria hiki chanzo hakika ni wabongo tena machawa wa Samia.
  3. Victoire

    Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

    Haiwezi tokea,na ubunge anaanzia wapi kuuacha?
  4. Victoire

    John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

    Muongo mkubwa huyu,kwa nini hakusema kipindi Magufuli akiwa hai.
  5. Victoire

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Uzembe wao,kama walishindwa kuwakamata siku ya paper,imekula kwa msimamizi.
  6. Victoire

    Umri upi ni sahihi kustaafu kazi?

    Umeulizwa wewe.Jakaya anaingiaje hapa ?
  7. Victoire

    Umri upi ni sahihi kustaafu kazi?

    At 45 utakuwa unafanya nini?
  8. Victoire

    Huko Telegram tunaelekea kubaya, Mamlaka ziingilie kati

    Wengine hatupo Telegram, so hebu weka kila kitu,ili solution ipatikane.
  9. Victoire

    Wanawake wamchangia Rais Samia Milioni 120 za Fomu ya Urais. Majaliwa aongoza zoezi, asisitiza Fomu ya Urais 2025 itakuwa Moja tu

    Hii nchi watu hawana akili,wanazo za kuvukia barabara tu. Yaani unatoa maji kisimani na kwenda kumwaga Baharini. Nani kawachawia hawa mama zetu? UNAMCHANGIA MTU ANAEVAA SAA YA MAMILION ,KWA SAA YAKE ANACHUKUA FORM KIBAO YAANI. PUMBAFU ZAO KABISA HAO WAMAMA.
  10. Victoire

    Status za WhatsApp zinatuonesha jinsi tulivyo na tunajichora tu kwa wengine

    Is none of your business. Why uumize kichwa sababu ya status za watu.
  11. Victoire

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Siendi,huo muda sina .Mimi nimesikiliza kipande kilichowekwa hapa.
  12. Victoire

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Ni ngumu sana,kwani mwandiko mtu si anaweza badili .Any kisheria ni haiwezekani kudhibitisha,labda kama msimamizi siku ya mtihani angeshtuka na kumkamata huyo Kulwa/Dotto. Otherwise hakuna case.
  13. Victoire

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Katika sheria lazima kuwe na ushahidi wa bila shaka,kama nilivyokuambia lazima watajitetea.
  14. Victoire

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    This will never happen, watajibu walidanganya ili kuvuta hisia za watu.
Back
Top Bottom