Wakati wabunge wakiijia juu Wizara ya Elimu na Mafunzo kutokana na kuwepo kwa hali ya kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini, kashfa ya aina yake imeibuka ikihusisha wizara hiyo kumtumia Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal kuwapa zawadi hewa wanafunzi 10 bora wa mwaka jana.
Taarifa zilizozifikia...
Wakati wabunge wakiijia juu Wizara ya Elimu na Mafunzo kutokana na kuwepo kwa hali ya kuporomoka kwa kiwango cha elimu nchini, kashfa ya aina yake imeibuka ikihusisha wizara hiyo kumtumia Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal kuwapa zawadi hewa wanafunzi 10 bora wa mwaka jana.
Taarifa zilizozifikia...
Serikali imetoa mwongozo wa viwango vya ufaulu ambao unaonesha kuwa Kidato cha sita waliomaliza mtihani wao leo tarehe 21/05/2014 watapangiwa matokeo kwa kutumia mfumo wa alama zilizotumika Kidato cha Nne 2014 zenye A, B+ C, D, E na F. Tofauti na miaka iliyopita E itamaanisha kufeli na siyo...
Katika kupitia tovuti ya NECTA nimekutana na huo mwongozo wa viwango vya ufaulu ambao unaoinesha kuwa Kidato cha sita waliomaliza mtihani wao leo watapangiwa matokeo kwa kutumia mfumo wa alama zilizotumika Kidato cha Nne 2014 zenye A, B+ C, D, E na F. Tofauti na miaka iliyopita E itamaanisha...
Nadhani kauli tunayopaswa kuiamini ni ya Naibu Waziri Jenister Mhagama maana Katibu Mkuu wa Elimu Profesa Mchome ni mtu wa kujisemea tu bila kuangalia uhalisia na ndiyo maana mambo yake ya Div V yalitenguliwa bungeni.
Tatizo kubwa ni kuwa viongozi wakuu Wizara ya Elimu sana Shule zao binafsi kwa hiyo wamekuta na huo Mpango kwa maslahi Yao binafsi lakini ukweli ni kuwa hakuna mazingira ya kufanikisha Mpango huo maana ubora wa Shule umetofautiana sana. Kama Wizara Ina hela za kupeleka Provate schools mbona...
Tatizo wabunge wetu tuliowachagua wanashindwa kutuwakilisha kwenye mambo yenye maslahi kwa taifa. Walipaswa kuwa wameshavikataa hivi viwango maana lengo ni kudumaza elimu kwa kuwafurahisha wananchi kuwa watanzania wengi wamefaulu wakati wengine wanamaliza shule bila hata kujua kusoma na kuandika
Kwa maamuzi haya ya kudidimiza elimu, Prof Mchome na Prof Bhalalusesa mtalaaniwa milele, yaani mnashindwa kuweka mikakati ya kuleta maendeleo U-Profesa wemu hapo kwenye grading ndiyo mnaona ni jibu?
Kika kukicha zinaundwa Tume kuhusu masuala ya elimu, je viongozi husika wanasoma taarifa au ni Business as usual.
Hivi Waziri Mkuu alisoma hayo mambo aliyoandika Rakesh wakati anajitoa kwenye Tume yake iliyokuwa inaongozwa na Prof Mchome? Nimepitia barua yake ameweka hoja za msingi ambazo...
uMetiririka visuri, lakini nina wasiwasi juu ya uwezo wao wa kuelewa na kutokana na kutokuwa na uwezo wataendelea kulalamika kama ambavyo mwalimu wako Saidi Mtanda anavyofanya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.