Search results

  1. B

    TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote hadi nyakati za mvua

    TFF hawana mashine za kukaushia maji kwenye viwanja?
  2. B

    Guede anafunga magoli magumu sana

    Kukosa utulivu
  3. B

    Yanga ni mbovu

    Today is 21 st April your prediction for GAMOND was wrong
  4. B

    Gamondi hamna kocha, Yanga ligi hachukui, atapoteza mechi zote kubwa, today I have seen the light

    Smart goal setting requires stratagies to archive your goals, the main goal was to score 3 points not to satisfy your mind set
  5. B

    Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Yanga msimu huu wa 2023/2024

    Swali fikirishi kwa viwango vya FIFA yanga ikoje kwa ubora
  6. B

    Guede anafunga magoli magumu sana

    Self-image
  7. B

    Kama Mamelodi wamecheza na Esparance nusu fainal ya kwanza vipi rufaa ya Yanga?

    YouTube wanawalia bundle lenu tu kwakuwadanganya mengi kwanza walivyo waongo wanaongea wenyewe badala ya kimsikiliza walivyo muwekea Bangor,(headline)
  8. B

    Je, kwa mfano kesho Simba mtafungwa 5 na Yanga mtafanyaje?

    Mpira ni uwanjani siyo mdomoni
  9. B

    lets be real, Mzize is just another Kibu Denis

    Mzize kazi yake ni kuwasumbua mabeki kufunga ni bahati nasibu nadhani kwa unri wk anahitaji uzoefu tu
  10. B

    Self love ndio nini?

    Kujipenda mwenyewe na kuishi kwa furaha badala ya kujitolea kuwapenda wengine na kuyakataa Mambo ambayo hayawezi kukusaidia
  11. B

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Hasa wananchi kwakushindwa kuhoji, na wengi tunatabia ya unyumbu, (human herding behavior), herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, group objectives,(conflict of interest) and fear of leaders, unyumbu ni tabia ya watu...
  12. B

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Ukitaka kula vizuri pika nyumbani mchana kula kwa ushahidi wa tumbo usije ukakosa akili ya kufanya kazi na kujilinda na vidonda vya tumbo
  13. B

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Mimi hapa kingalu sokoni nakula chakula cha buku Bila nyama ukiagiza na nyama roho itakuuma bure maana utauziwa nyama ambayo haijatengenezwa kwa kiwango kinachofaa
Back
Top Bottom