Search results

  1. m.agape

    Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    GOD BLESS YOU. HILI SOMO NIMELITAFUTA BILA MAFANIKIO. ASANTE SANA. UMENIONGEZEA MAARIFA. NGOJA NIKIMBIE CHAP NIKAWEKEZE
  2. m.agape

    Hati fungani za NMB

    Habari wanajamvi. Penye wengi hapakosi neno. Nimepata hiyo meseji hapo chini kutoka NMB. NAOMBA YEYOTE ANAEJUA KUHUSU HATI FUNGANI, ANIPE DARASA KIDOGO. Ndugu Mteja, faidika na gawio la 9.5% kila baada ya miezi 3 kwa kununua hati fungani (Jamii Bond) kupitia benki ya NMB. Dirisha litafungwa...
  3. m.agape

    Jengea tofali imara za Mwamba za Holili Rombo Kilimanjaro

    Hizi tofali mnazo hapo saba saba au mpaka msafirishe?
  4. m.agape

    Virutubisho muhimu kwa ukuaji Bora wa Ubongo wa Mtoto

    Dagaa mwanangu zinamletea alegy anatoka vipele mno
  5. m.agape

    Serikali fanyieni kazi Matapeli Wengine hawa hapa. Wanajitangaza bila woga kabisa. Nchi imekuwa kama haina mwenyewe

    Matapeli wakubwa Hawa. NARUDIA USITHUBUTU KUWEKEZA HUKO, UTAPIGWA NA KITU KIZITO.
  6. m.agape

    Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

    Kulikuwa na CHAMPION INVESTMENT ya Mwanza huko.
  7. m.agape

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kuna tetesi kuwa kuunganishiwa umeme kuanzia tarehe 10/9/2022 bei itakuwa 800,000/=. Kuna ukweli wowote?
  8. m.agape

    Ndugu yangu nimemtafutia kazi mshahara laki 3, anaikwepa, nimefowadiwa meseji zake anadai ninamnyanyasa. Nifanye nini?

    Hiyo 50000 unayompa kila wiki inampa kiburi. Kata kabisa hiyo pesa na mpe nauli arudi alikotoka. Huo ni mzigo usiobebeka.
  9. m.agape

    Fahamu Kuhusu Human Cloning

    Kuna Mwana jf mmoja aliwahi Sema hata Diamond sio halisi, ni cloned, akasema angeleta chapisho lake. ILa sikumbuki anatuma ID gani. Je, is Diamond cloned?
  10. m.agape

    Siri niliyoipata katika kufunga siku 21 kila mwanzo wa mwaka

    Kuna kitu hapa cha kujifunza.
  11. m.agape

    Rais Samia vifaa vya ujenzi vinapaa sana, Waziri wako hafai anakudanganya

    Kweli kabisa. Kuna mfumuko wa bei duniani kote. Sio hapa Tanzania tu
  12. m.agape

    Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

    Nitarudi Tena hapa. Hakika duniani Kuna mengi Sent from my INE-LX1 using JamiiForums mobile app
  13. m.agape

    Unawezaje kutambua kuwa ni mchawi?

    Natamani hii Mada iendelee nizidi kujifunza. Kuna nguvu fulani ninayo huwa nashindwa kuielezea kinaga ubaga. Naweza Pata wazo au jambo yaani linakuja ghafla, kama ni kitu kibaya nikakikemea huwa hakitokei, ila nikipuuza huwa kinatokea. Jambo hili huwa linabitatiza Sana kwa kweli. NA pia kama ni...
  14. m.agape

    Anayejua sehemu wanapokopesha kwa dhamana ya vitu vya thamani

    Nimewahi kusikia platinum credit wanakopesha kwa dhamana ya Gari. Jaribu na huko mkuu
  15. m.agape

    NSSF mmetunyoosha

    Kuna dogo alienda matenity. Baada ya hapo kazi ikawa imeisha, yaani ule mradi ulifungwa. Sasa ni mwaka mmoja hana kazi, je anaweza kwenda NSSF kudai haki zake? Naomba ushauri na maoni yenu tafadhali. Alikuwa ni nurse kwenye miradi ya Ukimwi alifanya kazi nia Jphego
  16. m.agape

    Biashara gani ya mtaji mdogo inafaa kwa wageni Kariakoo?

    Kuanzia milioni kuendelea, na kodi inalipwa ya mwaka.
Back
Top Bottom