Search results

  1. lenpel

    Kama Mkristu Mkatoliki Naomba Unishauri!

    Tumsifu Yesu Kristu, Haina shida, parokia yoyote ambayo ulibatizwa rekodi halisi za watu waliobatizwa hapo miaka yote hiyo parokia ipo hai zinakuwepo. Cha kufanya, tafuta parokia uliyobatizwa, mwaka na mwezi uliobatizwa, majina ya wazazi wako na mtu aliyekusimamia ubatizo pamoja na majina yako...
  2. lenpel

    Howo Vs Scania

    Hakuna Jimbo la Detroit unazingua...
  3. lenpel

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    nisaidie link niniunge huku tafadhali
  4. lenpel

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Uwanja wa Michezo Mpya unaojengwa kwa msaada wa mfalme wa Morocco Mtukufu Mohammed VI
  5. lenpel

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    lazima tutaheshimiana tu...na bado Kigali-Isaka hapo October. Na pia bado phase III na Phase four na five (Makutupora-Tabora, Tabora-Isaka na Isaka-Mwanza.
  6. lenpel

    Hivi inawezekana msichana akaacha tabia ya kusagana?

    Yani Mungu anijalie nipate mtu mwenye hii quality kati ya nyingi nzuri...its so loving n romantic
  7. lenpel

    Hivi inawezekana msichana akaacha tabia ya kusagana?

    I like ppo like u, wakweli na wanajieleza wanavyofeel
  8. lenpel

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Bosi hii yako kama app umeitoa wapi ili na mm niinstall...unaweza nielekeza namna ya kuipata!?
  9. lenpel

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Uzalishwaji wa umeme kwa taifa saizi unasimama katika Megawati 1732 wakati mahitaji au demand ni 1500. Mradi wa kizalisha umeme uliopo Kinyerezi, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam kwa kutumia gesi kutoka Madimba, Mtwara unazalisha/utazalisha kama ifuatavyo:- 1. Awamu ya kwanza. Awamu hii...
  10. lenpel

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Cross sectional structure of our Tz SGR...and its content!!!
  11. lenpel

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    huku tunazindua tu...na hivi mwakani Bwawa la umeme katika Massive Rufiji and Kilombero river litaanza kujengwa 2100 MW...ukiongeza na gas kwa kumaliza Kinyerezi yote hadi Phase four...mbna treni itatambaa hadi mwanza, kigoma na Rwanda bila shida
  12. lenpel

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ya broker yupi ndugu, nielekeze nielewe...samahn kwa usumbufu
  13. lenpel

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ndo tumeanza hivyo tangu mei vijana...#train+255 lipo on pace ya hatari...
  14. lenpel

    House4Sale House for sale Location goba price Tsh. 200.000.000/= million Call+255717097905

    Bosi hii nyumba nishaiona Instagram inatangazwa...itakuwa ndo ww labda
  15. lenpel

    Nauza hii Prado 1KZ nashida ya pesa.

    Kwa hiyo gari mm ningeichukua...sema basi tu pesa haijanitembelea muda mrefu...ningeichukua kwakweli...anyway kisicho ridhiki...hakiliki
  16. lenpel

    What do you miss about your ex?

    Kwann ulale na exwako wakati unamdate mtu mwengine!?
Back
Top Bottom