Search results

  1. B

    udsm mgodi umetema

    Main cumpus teyari
  2. B

    Matatizo ya CHADEMA haya hapa

    Weka na matatzo ya magamba ili tufanye comparison
  3. B

    Ufikie wakati CHADEMA tuungane na vyama vingine

    Mleta mada ni kada wa Cdm kweli? . Huwezi kuwapatansha maskini na tajiri wakawa marafiki au unataka kuwafungisha ndoa kama Cuf na Ccm?
  4. B

    Siri yafichuka wizi wa kompyuta polisi

    Polccm wanaish maisha magumu sana jaribuni kuwachunguza hapo mlipo na wanatumika ili kujikwamua kimaisha
  5. B

    Sijawai kupata kusikia ama kushudia ajali kama hii ya leo

    Jamaa unashangaa nini Tanzania wakati nchi yenyewe ni maajab mengine
  6. B

    Mwigulu akiwa na familia yake; kweli uongozi unaanzia nyumbani!

    Kwahyo hata kushikwa masikio nako ni uongozi anaweza kuwa ameshikwa na mkewe wewe unakuja kumpamba hapa ama kweli jukwaa limevamiwa
  7. B

    Ili kuweza kuachana na Adha za Ualimu

    Dawa ya tatizo ni kulitatua siyo kukimbia umeona Kenya wiki inaenda ya tano walimu wamegoma mpaka shule za government zimefungwa kwahyo hata Tanzania walimu wakiamua wanaweza hakuna kisichowezekana chini ya jua
  8. B

    Maaskofu waipinga CHADEMA...

    Watu wengine sijui nini mbona green guard ipo muda mrefu hawakuwahi kusema?tatizo la kuchanganya dini na siasa ni hatari kweli
  9. B

    Lowasa ampongeza JK, Tanzania kufanya vizuri kimataifa

    Mmmmh unafkiri kwanini mzee pale juu picha ya kwanza amenuna?anajua kuwa kuna tatizo naona nywele nyeupe anaanza kumsogelea jamaa ili kuangalia upepo kama atawekwa kwenye majina ya wagombea duh ama kazi kwelikweli
  10. B

    Nyongeza ya mshahara: Siri yafichuka,nini kilifichwa bungeni na waziri wa utumishi wa umma

    Walimu mkiamua mnaweza unakumbuka ile kauli ya kusema 'kama hamtaki basi sina shida ya kura zenu?'
  11. B

    Makamba: Mnyika acha Unafiki, sote tumeshindwa Bungeni!

    Eti Ccm inakataa kodi ya sim card baada ya kuona Cdm wameanza mishemishe duh kweli bila Cdm nchi haiendi
  12. B

    Gonga like kama umekubali huyu mtoto ni mzuri

    uzuri upo machoni pa mtu
  13. B

    Tendwa ni mlezi wa chama gani?

    Mlezi wa Ccm
  14. B

    Hongera vyombo vya habari kwa kupuuza habari za CHADEMA

    Cdm haihitaji kupewa promo mana ni chaguo la watu kwahyo usifikiri Cdm inahitaj kujtangaza watu wanayo kwenye mioyo yao wanasubiri 2015 wajue nini cha kufanya wewe nenda lumumba wambie jamaa wamegoma naomba 3500 badala ya 7 maana upepo mbaya
  15. B

    CHADEMA na ndoto za kumuondoa Meya Arusha!

    Mtu ukiwa kimya muda mrefu ukrudi tunategemea uje na mambo mapya na yenye maana sasa wewe ulikimbia jukwaa umerudi kwa pumba hiyo?duh viongozi wa ccm majanga kama huyu naye ni katibu wa itikadi duu amakweli
  16. B

    Pichani - Madiwani wapya waliochagulia Jumapili Arusha

    Majitu majinga humu sasa wakuipa kura dodoma moro ni nani kama siyo wananchi wenye kutaka mabadiliko?arusha wameonyesha njia na wengne waige mfano huo maeneo waliyoko ili Cdm ipate ushindi kote Changes ni mimi na wewe
Back
Top Bottom