Search results

  1. M

    IGP afunguka kwa wanaochezea amani

    Mbona amechelewa sana
  2. M

    Huyu demu simuelewi

    "Great thinker" wa siku hizi??
  3. M

    Ushawahi kuwaza kuhusu hili?????????????

    mshaambiwa tu milioni 45, mwataka nini tena?
  4. M

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    wanadaiwa na RICHMOND
  5. M

    Nape: CHADEMA yafilisika Kisera

    Hivi huyu hayumo kwenye orodha ya kwenda JKT??? kama hayumo kwenye list nilitamani kweli awepo tena batch hii ya kwanza. Angalau akikaa wiki tatu anaweza kurudi kichwani zikiwemo kidogo.
  6. M

    Mtoto MCHANGA AOKOTWA LEO -Kimara/Baruti

    Hivi we mama uliyetupa huyo mtoto roho haikuumi? Siku akiwa maarufu ndio unajitokeza eti mi ndio mama yako?? kudadeki nakutoa nduki. Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema naamini atamkuza tu.
  7. M

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Siasa mbaya sana, imeshamuharibu mpaka Profesa Muhongo?? kazi ipo!
  8. M

    TANESCO, Mgao wa Umeme waanza kinyemela?

    Anajibu majibu mepesi utadhani yupo chumbani kwake, amekera!
  9. M

    Polisi waikimbia masasi baada ya kukosa posho.

    Nakumbuka wakati wa uchaguzi wa 2010 askari waliokuwa wanalinda kura kituo cha loyola, Mnyika aliwaambia kuwa anajua kuwa wanalinda maslahi ya wakubwa lakini atakaposhinda na kuwa ubunge atahakikisha anapiginia haki zao Hebu kama askari mpo humu mkumbusheni ahadi yake.
  10. M

    Ningekuwa na gari ningetoa funguo...

    Tupo milioni 45, hivyo kazi ni kwako!!!
  11. M

    Watu na serekali

    Tu hodari wakubwa wa kulalamika, lakini inapofikia kipindi cha kufanya mabadiliko sijui tunakuwa usingizini? nakumbuka "wafanyakazi tuliambiwa na JK sihitaji kura zenu" tulifanya maamuzi gani kwenye chumba cha kupigia kura??
  12. M

    JKT batch ya kwanza hiyo.

    masikini wee mdogo wangu huyu anaenda kukutana kambini na Mwigulu Mchemba kha!
  13. M

    King'amuzi cha StarTimes: Dawa yake hii hapa

    Heri yenu nyie mie kwenye DSTV, TBCCM haitoi sauti kabisa. kama kuna mtaalamu aje anambie nifanyaje??
  14. M

    Lowassa bado kama mbuni... hajajua au hajali tatizo hasa la Utawala wa CCM

    Siasa ya Tanzania inahitaji busara sana kuitafakari!!
  15. M

    mafuta ya ubuyu!!!!

    Huwa nakunywa haya mafuta ila kazi kweli kweli kuyameza, mbona nakunywa haya mafuta lakini sipungui uzito??
  16. M

    Nampenda MADAM B. Napenda awe mke wangu

    Madame B siku imenza vyema leo, njoo utoe majibu.
  17. M

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Kajaribu kujifunza elimu zote unazoweza kuziishi.
  18. M

    Madaktari wa Muhimbili: This is unprofessional....!

    Imenikuta juzi pale Regency Hospital namweleza daktari jinsi navyoumwa, mwisho akaishia kuandika kwenye file yangu eti "nilikuwa na hamu ya kutalii hospitali" kha! nimegundua hiyo baada ya kwenda kwa dr mwingine alipoamua kufanya marejeo.
  19. M

    Warioba: Mimi na Salim urais basi

    JF tumekuwa wavivu wa kufikiri kiasi hiki?? sio haja ya kuunda tume ya matokeo ya form kama hali yenyewe ndio hii.
Back
Top Bottom