Search results

  1. H

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Kwa mtu anayefuatilia kitimu timu cha kashfa ya Richmond, hakuna shaka kuwa ameishaona kuwa dalili zote zinaielekea serikali ya Jakaya Kikwete maarufu kama kasi mpya, nguvu na ari mpya. Hakuna ubishi kuwa sasa kasi mpya,nguvu mpya na ari mpya tuliyoahidiwa haina maana nyingine bali kuelekea...
  2. H

    Lazima tuwekane sawa kuhusu UKIMWI

    SERIKALI imepiga marufuku wahubiri wa dini na waganga wa jadi wanaojitangaza kuwa wana uwezo wa kutibu ugonjwa wa UKIMWI, kwani kufanya hivyo ni kuendelea kuchochea maambukizi ya ugonjwa huo ambao hadi sasa hauna tiba wala chanjo. Akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy...
  3. H

    The Only Thing We Have to Fear is Fear itself

    You Know what Mugongo Mugongo? Najua kinachokuleta hapa sio forum wala kuchangia bali ni kwasababu MBOWE ame-register hapa. Na soon hapo kazini kwako waliopewa arlet kwamba mbowe karegister, wewe ndio ukajisajili UWONGO? na ukapewa kazi ya kudefend MBOWE & CHADEMA. Najua bosi wako hapo...
  4. H

    Serikali yawatelekeza wanafunzi 29 Ukraine

    Vyanzo vikuu vya malalamiko hayo; 1. Ufinyu wa kiwango cha mkopo unaotolewa na kutumwa katika thamani ya T.Shs mil. 3 2. Ucheleweshwaji na Utuumaji nusu nusu wa kiwango hicho kwa wakati muafaka ndani ya kipindi cha mwaka wa masomo kulingana na Sheria na taratibu za VYUO. Ni aibu na fedheha...
  5. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Nashukuru Ndg. Admin kwa kuirudisha
  6. H

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Kwa Barua hii, sisi wakaazi wa Kurasini tunakuomba Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano mambo yafuatayo: 1.Rasimisha makaazi yasiyopimwa ya Kurasini kwa sisi wakaazi wa Kurasini kama ulivyotuahidi. Tuko tayari kurudisha pesa zozote za 'fidia' tulizolipwa. 2.Ikiwa wataalam wako...
  7. H

    Huyu ndiye ‘the real’ Kikwete!

    Barua ya Wakazi wa Kurasini kwa Mheshimiwa Jakaya Kikwete, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Aione Mheshimiwa Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) Mheshimiwa, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania uliahidi (wakati wa awamu ya tatu) kuwa wananchi...
  8. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Fikiraduni Why not talk about Mengi? Is he a share holder of JamboForums.com too?? Jasusi, Samahani, nilikosea
  9. H

    Mengi vs Manji: Ukweli ni upi?

    Reginald Abraham Mengi, industrialist and media tycoon, twice nominated the second most respected Chief Executive Officer (CEO) in East Africa -in 2001 and 2002- is owner and Executive Chairman of Tanzania's IPP Media Group and one of Africa's leading and most influential businessmen. A...
Back
Top Bottom