Search results

  1. W

    Tujadili 50/50 ndani ya JWTZ

    50*50 TPDF!? You must be kidding.... Tuache siasa kwenye mambo nyeti. Wanawake tangu kale hatuwategemei kuwepo mstari wa mbele kwenye mapambano. Ni nature tu! Basi!
  2. W

    Viwanja Mkuranga.Kibaha

    Eti viwanja Mkuranga.Kibaha.Mlandizi Sh ngapi. Nna mil.1 inaniumiza kichwa!
  3. W

    Sehemu zenye 'gambling machines'

    Kuna zile kwenye bar sizioni
  4. W

    Nauza kiwanja changu Kigamboni

    Nikiwa na mil. 1 naweza kupata wapi kiwanja hapa Dar?
  5. W

    Sehemu zenye 'gambling machines'

    Naomba wadau nifahamisheni sehemu zenye 'gambling machines' Naupenda sana mchezo huo ila sijui wapi kuna kamari hiyo.
  6. W

    Jaji Warioba: Siioni Katiba Mpya

    Warioba sasa atulie. Amebwata mno! Katiba tayari atake asitake
  7. W

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Zuzu!! Pole I pity u
  8. W

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Khakha huyu jamaa kumbe jinga kabisa. Aokote haohao Watanzania hawahongeki!
  9. W

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Zuzu!! Pole I pity u
  10. W

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Hongera sana mwandishi wa Mwananchi kwa kutufafanulia kuhusu picha ile. Mimi sikuelewa logic ya kuitoa! Mwakani CCM isifanye kosa, E.N.Lowassa HAFAI!
  11. W

    Lowassa, mazoezi ya picha ya nini na unamuonesha nani?

    Huyu bwana ameiharibu tasnia ya habari. Kwa sababu ya uroho wake na kutojiamini amewanunua karibu wahariri wote. Pc kubwa ya waandishi 'matajiri' ni 'wake' wa Ngoyai! Lowasa ni dude la kuogopwa kama ukoma hafai!
  12. W

    Kwa uandishi huu, maendeleo ya soka tutasubiri sana

    Yanga chali. Jaja akosa penati asingizi uwanja mbovu. Kelele zaisha mjini.
  13. W

    Kula kwa mamantilie ni risk

    Msiharibie akina mama food vendors biashara zao. Acha ubishoo akina mama hao wanasomesha watoto wao kwa biashara hizo. Cha muhimu ni usafi. Period.
  14. W

    Mwandishi wa habari wa ITV/ Radio 1 azimia kwa kipigo cha polisi

    Chadema wataendelea kupoteza mvuto miongoni mwa waungwana kama wataendelea kuhubiri fujo na misuli kwa polisi. Kitabaki kushabikiwa na wahuni, wezi na wanywa viroba! Kitendo chochote cha kubishana na dola hakikubaliki kwa mtu yeyote hata ukiwa 'mwandishi wa habari'
  15. W

    Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Scotland

    Matokeo ya kura Scotland yanawafunga mdomo wale wanaohubiri Zbz kujitenga. Wananchi wawe macho na watu wanaoeneza ubaguzi kwani Tz bara na Zb ni ndugu. Viongozi kama yule aliyemwita Keissy 'mwarabu' hafai hata kuwa katibu kata. Ni ujinga kumhukumu mtu kwa rangi, dini, eneo au haiba yake. Hongera...
  16. W

    Madanguro ya mchana Dar

    Tyta. Kama huna jibu nyamaza. Ni kweli yote niliyoandika ni upuuzi. Msitilie maanani saaanaa! Hata hizo baa sizijui. Ni ujuha na utani tu.
  17. W

    Madanguro ya mchana Dar

    Wapi kuna madanguro yanayofunguliwa mchana jijini Dar. Yenye bei rahisi nataka kufanya research!! Leo!!j
  18. W

    Chuo kikuu chenye ada rahisi Tanzania

    Asante Rama. Lakini ni changamoto gani z kusoma Out?
  19. W

    Chuo kikuu chenye ada rahisi Tanzania

    Hivi ni kweli kwamba Chuo kikuu huria ndiko ada nafuu? Je ada Sh.ngapi kwa mwaka? Hivi mwisho wa reg. kwa foundation course lini?
  20. W

    Naomba msaada jinsi ya Kuomba kusoma degree ukiwa na certificate

    Inauma mimi nimesoma diploma ya journalism toka 'London School of Journalism' kwa njia ya masafa. Nimetumia miezi.9 kumaliza lakini NACTE wamei.grade kama 'certificate' chuo gani watanipokea hapa bongo. I'm confused!
Back
Top Bottom