Search results

  1. FIKRA MBADALA

    MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

    siasa za ushindani za Chadema na CCM zimechangia sana kuichafua TISS. Hii ni kwa sababu chadema hawataki kukubari kwamba wanashindana kisiasa bali kuna mkono wa TISS unaowafanya wasiingie Ikulu. Fikra hii hata kama sio kweli inaaminika sana miongoni mwa wafuasi wa chadema na ndio wepesi...
  2. FIKRA MBADALA

    Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    CHADEMA nao wana usalama wa taifa wao wangepata wapi habari nyeti hizo. Ni usalama wa viongozi wa chadema
  3. FIKRA MBADALA

    Majibu ya Jack Zoka yana utata!

    Nikikutukana mods wataniban dhamira yako ni kumlisha maneno yako Jack Zoka ili aonekane kachemka,
  4. FIKRA MBADALA

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    NI upepo tu unapita hakuna kitu kama kuteka Ulimboka kabadilisha makazi kuhofia usalama wake
  5. FIKRA MBADALA

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Kumteka mtu sio siri na sidhani serikali inaweza kumteka kipindi hiki kigumu tuwe makini na taarifa za aina hii
  6. FIKRA MBADALA

    Mauaji ya watanzania wenzetu yanafanywa na nani?

    Chadema wamo pia katika mauaji
  7. FIKRA MBADALA

    Majibu ya IKULU dhidi ya Tanzania Daima kuhusu ndege ya Rais na safari ya Davos

    Wala haishangazi gazeti la Tanzania daima ni la chadema na hapa Jf wanachadema unategemea majibu ya Ikulu yatapongezwa?
  8. FIKRA MBADALA

    Majibu ya IKULU dhidi ya Tanzania Daima kuhusu ndege ya Rais na safari ya Davos

    mijitu minginemnaleta uchadema - uccm kwa kila jambo uko wapi ubaya wa majibu ya Ikulu
  9. FIKRA MBADALA

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    hata marekani si CIA peke yake kuna vyombo vya ulinzi kadhaa ni makosa kuiachia TISS kwamba itafanya maajabu bila vyombo vingine. tukumbuke TISS sio Jeshi la polisi, sio Uhamiaji, si TRA si BOT bila ushirikiano na kuwajibika kwa kila taasisi ni sawa na kukosa mwelekeo. wahalifu wanatucheka...
  10. FIKRA MBADALA

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Tazama nguvu za Rostam zimeanza kuiogofya jamiiforums kwa story za kutunga. Hakika ndio maana mnasema RA ana akili kumbe sisi ndio hatuna akili. bado hamjaona thread imezama zaidi kwa RA ili tutambue nguvu yake, na kisha tumwogope.
  11. FIKRA MBADALA

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    thread inaonyesha kwamba Rostam Aziz yuko kwenye mtandao wa RO na Apson wa kumng'oa JK katika part I yake kwa maana hiyo Rostam ni agent wa TISS kama kweli yuko kwenye mtandao mmoja na viongozi wakuu hao wa TISS lakini part II inasema Rostam tena ni agent wa CIA. CIA na TISS ni partinners...
  12. FIKRA MBADALA

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    kumbe ni rahisi hivyo kuwa CIA agent? I can't believe Rostam huu ni uongo mwingine wa mwaka huu wa kututumia vitisho kutoka kwa RA. hatutarudi nyuma mapambano bado yanaendelea.
  13. FIKRA MBADALA

    Kikwete amekwama mara 7

    natamani kukuchapa viboko 12 ukamwonyeshe yule unayelala naye kitanda kimoja. Ukamwambie umepigwa kwa sababu ya kejeri zako kwa mkuu wa nchi. waliokutuma wanaitamani Ikulu kawaambie watabweka sana Jk ndiye huyo Rais wao.
  14. FIKRA MBADALA

    Kikwete amekwama mara 7

    wewe mwenyewe ni TISS kwa ajili ya ulinzi wa nchi yako ukisubiri TISS walioajiriwa rasmi kuna siku utajuta pale utakapokuwa umeuzwa kwa senti tano. Ulinzi wa nchi ni wa kila mmoja wetu.
  15. FIKRA MBADALA

    Kikwete amekwama mara 7

    si Jk tu kashindwa hata Dr Slaa na Mbowe, Mrema, Mbatia woooote ni kapu moja
  16. FIKRA MBADALA

    Kwa hili, Hongera Mh. Rais Dr Jakaya Kikwete!

    mwaka mzima Jk kanyoshewa kidole kwenye jukwaa hili sasa ni mwisho wa mwaka 2011 hebu tukumbuke na mazuri yake kuna ubaya gani?
  17. FIKRA MBADALA

    Mabere Nyaucho Marando katupwa wapi?

    Sijamsikia bingwa wa sheria mabere marando yuko wapi? pamoja na Fredie Mpendazoe, na Acardo Ntagazwa au wamewa-shibuda. hata katika kamati ya kwenda kumuona Rais wamewekwa pembeni. Vivyo hivyo, nilitegemea Kitila Mkumbo angekuwa miongoni mwa wanakamati saba walioteuliwa kumuona Rais kwani ni...
  18. FIKRA MBADALA

    Kikwete awaambia UVCCM 'msitutishe'; ahoji walikopata fedha

    kwenye cha waliofukuzwa ni pamoja na Rais Aboud Jumbe, maalim seif shariff Hamad, oscar kambona, lakini serikalini inayoongozwa na ccm waliofukuzwa ni wengi zaidi, kama Lowassa, Mbilinyi, Iddi simba, msabaha, karamagi na wengine
  19. FIKRA MBADALA

    Nani anabisha kuwa Kikwete na CCM yake si 'dhaifu'?

    chadema ni kama hamna akili mnasema ccm wote sio wasafi lakini mnaandika barua ya kuzungumza na wachafu. Jk alishasema msimamo wake mnakwenda kuonana naye kwa lipi jipya?
  20. FIKRA MBADALA

    Nani anabisha kuwa Kikwete na CCM yake si 'dhaifu'?

    kama ana udhaifu huo mmeomba kwenda Ikulu kutafuta nini basi mtakuwa wanafiki wakubwa kuliko JK. Mnakwenda kujadili maslahi gani ya taifa na JK? Bora tu mungeendelea na maandamano yenu.
Back
Top Bottom