Search results

  1. akilimtindi

    Mateso ya Absalom Kibanda yasitutishe, yatutie nguvu za kupambana kwa umakini zaidi

    Ndugu zanguni Wana-JF, nawapeni pole sana kwa majanga yanayowaandama wapenda haki wa nchi hii na wale wote wanaofanya bidii kuuweka uovu wa nchi hii wazi mbele ya wale wasiojua kinachoendelea. Binafsi napenda kutoa pole kwa familia ya Kibanda pamoja na familia za wengine wote waliowahi...
  2. akilimtindi

    Tugome au Tuandamane Ijumaa tarehe 28/04/2012. It's worth it..!

    Kwa haya yote yaliyotokea tangu jana sidhani kama kuna mwenye furaha ya kweli moyoni mwake leo, labda watu kama Maige, Nundu, Maige, Ngeleja na wengineo ambao waliponea tundu la simba siku ya jana. Kwa wengine wote wenye uchungu na Taifa hili naamini leo hawana raha kabisa na kwa vyovyote...
  3. akilimtindi

    Hasira hazijatosha, haiwezekani JK adharau na sisi tukae kimya..!

    Nahisi hasira za Wadanganyika hazijatosha kabisa, nilihisi zimefikia kiasi cha kufanya jambo lakini kwa hili nimegundua bado kabisa. Nasema hivi kwasababu sikutegemea kabisa kwa ufuska wote huu uliofanywa na Serikali hii kwa rasilimali za Taifa hili na uliosemwa wazi na wabunge JK akalikalia...
  4. akilimtindi

    JK angepewa Nchi mwaka 1995 tungekuwa wapi?

    Wakuu samahanini sijatokea kwa siku kadhaa lakini naomba nitokee kwa haka ka-swali kangu, nimekauliza kwa kuwa kuna watu wengi humu naona sasa wanamtetea JK kwamba ni safi sana sasa. Mimi naona Mkapa alijitahidi sana alipopokea nchi maana ilimbidi kwanza kuweka utaratibu kwenye mstari maana...
  5. akilimtindi

    Mkuchika na Pumba Zake: Aifananisha Timu ya Sudani na Idd Amin..!

    Wakuu Samahanini nilipotea kwa muda kwenye kutafuta katika hali yetu ya kawaida. Nimerudi na naomba mniruhusu kuendelea kuchangia, yangu leo machache. Hivi ni kweli huyu ajulikanaye kama Mheshimiwa Captain Kamanda Mkuchika ndiye Waziri wetu wa Habari tunayemtegemea? Nimemshangaa kwa muda maana...
  6. akilimtindi

    Mkuchika na Pumba Zake: Aifananisha Timu ya Sudani na Idd Amin..!

    Wakuu Samahanini nilipotea kwa muda kwenye kutafuta katika hali yetu ya kawaida. Nimerudi na naomba mniruhusu kuendelea kuchangia, yangu leo machache. Hivi ni kweli huyu ajulikanaye kama Mheshimiwa Captain Kamanda Mkuchika ndiye Waziri wetu wa Habari tunayemtegemea? Nimemshangaa kwa muda maana...
  7. akilimtindi

    Tuwashauri Waalimu na Wastaafu East Africa warudishe Kadi za CCM

    Nimerudi tena baada ya kutoka kwa muda waungwana wa jumuiya hii. Naombeni kuja na hoja yangu ambayo nadhani kwa mawazo yangu mtindi inaweza kuleta mabadiliko makubwa ama inaweza kuwatia hamasa viongozi. Kwa muda sasa kumekuwa na mabishano makubwa na kutokuelewana kwa sehemu kubwa kati ya...
  8. akilimtindi

    Nani bora, JK au Mkapa aliyekoroma tukakaa kimya?

    Nani bora kati ya JK au Mkapa aliyekoroma tukanyamaza ingawa "underground" alifanya ubaradhuli? Nauliza hivi kwasababu JK kama ni rubani basi keshatoka nje ya ndege na sisi hatuna habari. Kama yupo bado kwenye ndege yetu basi tusijiaminishe na safari yetu maana rubani wetu anashinda chooni...
  9. akilimtindi

    Je, yawezekana kuanzisha polisi jamii isiyo na mahusiano na serikali?

    Nimetatizika sana kuhusu mamlaka ya polisi wetu n uwajibikaji wao, naomba wanasheria watushauri kidogo sehemu hii. Je, kuna uwezekano wowote wa kuanzisha kitengo cha polisi jamii kitachofanya kazi huenda kama ya kuwahoji watuhumiwa na kuleta habari zisizokinzana kwa umma kuhusu matukio? Je...
Back
Top Bottom