Sababu kwa kiasi fulani tunaitegemea kututoa kwenye shimo na kutufikisha mahala, ila tunapenda iwe nadhifu zaidi ili tumaini letu lisiwe bure. Si TLP kwasababu hatuitumaini.
Uchaguzi wa ngazi ya taifa ndani ya CHADEMA umeshabisha hodi. Hodi hiyo watoa paruwanja vijana 10,000 wa CHADEMA hadi sasa wameshasaini waraka wa kumtaka Mbowe agombee uenyekiti wa CHADEMA. Aidha vijana hao wanataka kuchanga fedha kwa ajili ya kumchukulia fomu bwana Mbowe.
Hili si jambo zuri kwa...
MOSI.
Kwenye 3 yako na ndipo ilipo hoja yangu. Kwanini wasema serikali isitumie njia za kimafia?? wataka kutuaminisha kuwa serikali ndiyo imefanya hayo kwa Mdude?? Hoja yako ya hiyo ya kudhani serikali ina mkono wake ndiyo msingi wa UZI wangu.
Nimefafanuwa vizuri, tusikimbilie serikali ikiwa...
Katika hoja yangu nimetoa indhari, ya kwamba tusikimbilie serikali au vyombo vya dola kuvituhumu kwa utekaji huu.
Kikwete aliyeitwa Mzukule ni Mwenyekiti mstaafu wa CCM, chama ambacho kina mamilioni ya wanachama. Alikuwa Rais kwa awamu mbili na alichaguliwa kwa mamilioni ya kura, ana watoto...
Rejea hoja yangu ya msingi, nimesema upo uwezekano huo na ndio maana nikasema jeshi la polis wachunguze hivi vikosi vya vyama kama vile green guard na red brigade, huenda kwa namna moja au nyingine wakawa wanahusika.
Si dawa yake lakini haimaanishi kuwa watu wenye kujichukulia sheria mkononi hawapo na kwa msingi huo kwanini tusiwaepuke hao watu kwa kuacha kutukana badala yake tujadili masuala?? mfano suala la gharama kubwa katika msafara wa Rais hivi hatuwezi kweli kulijadili pasina kutumia neno Jini...
Na mimi nimetahadharisha tu. Huko kutekwa na utesaji ni ajabu sana kuisingizia POLIS au TISS, ikiwa CCM ina mamilioni ya wanachama na Magufuli kapigiwa kura na mamilioni ya watu, sasa jiulize watu hawa wote wanaridhika na matusi ya Mdude kwa mwenyekiti wao au kwa mtu waliyemchagua kuwa Rais...
Na ndipo nikasema, Kikwete kuna watu wengi wanampenda hata sasa, alkadhalika na Magufuli wapo watu wengi wanampenda. Sasa hawa watu kweli wote wanavumilia matusi haya kwa wapendwa wao?? Kwanini tunakimbilia kuishutumu TISS na Polis tu bila kuwaza uwezekano wa kuwapo wafuasi, wapenzi na mashabiki...
Huenda zimeponza, na huenda wafuasi wa watu aliowatukana wameshindwa kumvumilia, na ndipo nikasema tukosoane kwa lugha ya hishima hata kama ikiwa kali.
Dhahiri katiba yatupa haki ya kukosoa, kuhoji na hata kupinga mawazo ya kiongozi yeyote ila haitupi uhuru wa kumtukana, kumkashifu na kutumia lugha ambayo ni dhahiri ya kuudhi.
Tunapopinga vitendo vya utekaji, pia tupinge vitendo vya kutumia lugha za kuudhi dhidi ya wenzetu. Maana kukosoana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.