Search results

  1. Kaveli

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    'SISTER SISTER' by GK ft Pauline Zongo... hivi huu wimbo uliwahi kupata tuzo yoyote kwenye Tanzania music awards? -Kaveli-
  2. Kaveli

    Mjini mipango: Wasanii wengi waliounda kundi la East coast wanaishi vizuri hadi sasa, kongole kwao kwa mikakati ya kimaendeleo

    Sister Sister. Nitakufaje. Kazi bora kabisa za muda wote from GK ft. Pauline Zongo. Bongo Flava ya miaka Ile ilikuwa tamu sana. Muziki wa sasa hauna 'brain' wala ladha. What went wrong kwenye tasnia hii bongo? Long live GK, Pauline Zongo, na wana ECT wote mlioko hai todate. Mlitoa...
  3. Kaveli

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Kwamba umesanuka chap hako kamtego 😄. Wacha nifanye reshuffle of my strategies. Next time around lazima unase. 😎 Yes rafiki, kwakweli it has been a while without retouching our base. Unaadimika sana hapa na kuleeee 🤫. Mie pia am doing fine and healthy. Many thanks to the almighty. -Kaveli-
  4. Kaveli

    Ujumbe kwa wazee wa kupiga deki

    Walamba ndimu FC. 😎 -Kaveli-
  5. Kaveli

    To you Ephen

    Kwamba vijana wanakosa skills za namna ya 'kuiomba' ? Wanataka muwaonee huruma? Nawewe pia ni kama niliona uzi humu kijana analilia 'utelezi' wako. 😎 -Kaveli-
  6. Kaveli

    To you Ephen

    Uduwanzi sana mkuu. Don't trust everything you read on internet. 😎 -Kaveli-
  7. Kaveli

    Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Mkuu, shukrani sana kwa kufahamisha hili. -Kaveli-
  8. Kaveli

    To you Ephen

    Title: Mwandikiwa ni Ephen. End Signature: Mwandishi ni Ephen. -Kaveli-
  9. Kaveli

    Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    1.0 Kwahiyo kwa uwepo wa YouTube, jukwaa hili ni useless kwa watumiaji? 2.0 Badala ya kuchamba wima, kwanini usiweke hapa hizo YouTube link tutorials tuzione na ziwe msaada kwa wasomaji wengine pia? 3.0 Kwa karne hii ya 21 unashangaa nini 'mwanaJF' ku-prioritize 'JF' badala ya YouTube, kwenye...
  10. Kaveli

    Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  11. Kaveli

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Jadda Pinket mzee wa ligi..... samaleko mkuu 😎 -Kaveli-
  12. Kaveli

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Mkumbushe kuwa hata 'honorary PhD' nayo pia inaitwa ni 'PhD'. Hata hivyo, siyo kila mwenye Doctorate PhD ana mafanikio (kifikra au kiuchumi). 😎 -Kaveli-
  13. Kaveli

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Hobbies/preferences VS Financial capacity. Nadhani kuna watu wana uwezo mkubwa kipesa to afford such stuffs, lakini hawana hobby navyo ama sio preference kwenye maisha yao. -Kaveli-
  14. Kaveli

    Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Penati ya mwisho. 😎 Ngoja tupambane vijana. Tutatoboa tu. -Kaveli-
  15. Kaveli

    Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Mleta mada, tafuta nyuzi humu za mkuu wa kuitwa Meneja Wa Makampuni , anazo nyuzi humu very informative kwenye issues za full funded scholarships worldwide. -Kaveli-
  16. Kaveli

    Wanaume mpewe nini mtulie?

    "Mwanaume ni kama panya. Kila mara hutamani shimo jipya" Kuna mwamba mmoja aliwahi sikika kwenye kilinge cha Kahawa, wananzengo wote wakaunga mkono hoja. 😎 -Kaveli-
  17. Kaveli

    Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    'body to body' inakuaje hii mkuu Homegirl? 😎 -Kaveli-
Back
Top Bottom