Search results

  1. Bishanga

    KUTOKA KWA KING MSWATI: Kwenu wadadaz wa JF.

    mmmmmmhhhh Arushaone i am watching you! Kuwa kwangu mjumbe wa kamati ya katiba hainizuii kuchunga mali zangu. The secretary embu panda shabiby sasa hivi uje dodoma.
  2. Bishanga

    Nami nataka kulivua pendo la Bishanga

    Mke wangu The secretary una akili sana wewe!
  3. Bishanga

    Nami nataka kulivua pendo la Bishanga

    The secretary nikusikie unsema tena maneno haya! Yaani mimi kukamatwa Pakistan ndo unione sifai? Kumbe mahaba niliyokupa,gari,wazazi wako niliwajengea,wadogo zako nikawapeleka ulaya kusoma,dada yako aliumwa nikampeleka India.....yaani hayo yote ni bure kisa Erickb52? Halafu we nitonye wewe!
  4. Bishanga

    Mpokee kwa amani Marehemu!

    Pole sana Judgement,i can feel your pain. Roho ya marehemu ipumzike mahali pema peponi.Amina.
  5. Bishanga

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Chocs bwanako Erickb52 nimekutana naye mirage guest house kariakoo,hivi alikuaga anaenda wapi?
  6. Bishanga

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    kabebi kangu Husninyo hujambo?
  7. Bishanga

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Chocs za kuachika?
  8. Bishanga

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    The secretary i love you more than ever!
  9. Bishanga

    Salamu zikufikie MADAME "B" Mpenzi wa Moyo wangu tunda tamu lisilokwisha utamu.

    Kiplagat kiplagat kiplagat wewe komandoo wa kichina hivi hujui Madame B aliolewaga? Kalaghabao!
  10. Bishanga

    Breaking news;mzimu wa bishanga waendelea kumuandama baba V

    Zinduna! Subiri nimalizie kifungo pakistan nikirudi kama sijakutundika mimba mimi sio bilionea. Halafu mwambie huyo Judgement akip distance na mke wangu The secretary naona alifikiri nitafia peshawar.
  11. Bishanga

    00:00 pm - ROLL CALL KWA WANA JF WOTE.

    Nasikia harufu ya damu! CC: The secretary cc: sister cc: Erickb52 cc: Judgement......madiba alisamehe wote isipokuwa aliyemlambia mai waif wake....
  12. Bishanga

    Jf raha jamani...!

    Judgement nakutafuta kama mimba ya sisimizi!
  13. Bishanga

    Jf raha jamani...!

    Halafu wee Lady doctor wewe........
  14. Bishanga

    00:00 pm - ROLL CALL KWA WANA JF WOTE.

    Halafu nasikia Judgement anamsarandia mke wangu The secretary......huyo fisadi wa malavidavi mwambie nikitoka uwanja wa mapambano juba atajua mi nnani!
  15. Bishanga

    00:00 pm - ROLL CALL KWA WANA JF WOTE.

    Mmmmmmwwwwaaaaaa!!!! Byeeeeeee!!!!!
  16. Bishanga

    00:00 pm - ROLL CALL KWA WANA JF WOTE.

    Chocs na Erickb52 hamjaachana tu? Hapi nyu yia!
  17. Bishanga

    Miss you jamani

    I mith yu tuu KOKUTONA! Btw mwenzio The secretary kanipiga marufuku kuingia cc kisa wivu.
Back
Top Bottom