Search results

  1. CHIKITO

    Wana Jamiiforums, nauza Smartphones

    Simu zinapatikana hapa kwangu kwa bei nafuu, hata mwenye bajeti ndogo anaweza jipatia smartphone yake nicheki olx: collamrisho zoomtanzania, na instagram @goodkidstore. Namba yangu hii hapa: 0714203090. Napatikana jijini Mwanza shipping nafanya pia. Nione whatsapp kwa picha na biashara.
  2. CHIKITO

    Nauza smartphone kali na za uhakika kwa bei nafuu

    Nipo mwanza mjini ila na watu wangu pia dar es salaam kama ni muhitaj tuwasiliane kwa 0714203099
  3. CHIKITO

    Kuna mtu ana swali

    Samahani, kama umeamua kutamfuta mke kwenye social network bora ni wapi? Facebook? Twitter? Ama jamii forum?
  4. CHIKITO

    Je hili linawezekana katika siasa yetu.

    Kutokana na watu wengi kutokua na imani na wanasiasa pamoja nakile wanachokifanya jE? Inawezekana pale Rais anapopatikana pamoja na wabunge kuwa kuna maandikishano ya mkataba utakao husu utekelezaji wa sera mbali mbali walizotuhaidi mkataba huu usimamiwe na wanasheria wakubwa naitaji kufahamu...
  5. CHIKITO

    Hivi kwanini wasanii wetu wabongo ni kama wake wenza

    Hii inatokana na tabia zao ambazo ni binafsi naita ni ushamba,ujinga,kutokujitambua Haiwezekani msanii mkubwa kama ALLY KIBA ANasema yeye collabo na diamond na ommy dimpoz ni kama kudeki bahari hizi za wapi jamani.
Back
Top Bottom