Search results

  1. C

    The revolutionary Newbie Club learning system

    This information will totally transform the way you use your PC and the Internet. The Website is different. The Free Tutorials are different. And your way of life will be different from the moment you enter this remarkable site. Get over NOW and watch the magic happen i have not seen something...
  2. C

    Who influenced Nyerere: His Ujamaa Philosophy and Azimio Principles?

    Ujamaa wa Nyerere ni mchanganyiko wa mambo huwezi kuupeleka China au Urusi kwa vile mambo kule yalikuwa ni ya kutumia nguvu dini zilikuwa haziruhusiwi, yeye alikuwa anatumia ushawishi. Naweza kusema kwamba alipata influence ya Mahtama Gandhi kwenye kupigania uhuru. Na mimi niwaulize swali...
  3. C

    Makala- Mbinu za biashara

    TARATIBU ZA KISHERIA ZA KUFUATA ILI KUANZISHA BIASHARA Baada ya kufanya utafiti na kupanga mipango ya kuanzisha biashara unatakiwa kwanza kuangalia taratibu za kisheria ambazo unatakiwa kuzifuata na kuzitekeleza. Kama biashara yako ni ndogo anza kama mtu binafsi. Faida ya kuanza biashara kama...
  4. C

    Makala- Mbinu za biashara

    Makala- Mbinu za biashara 2 NAMNA YA KUANZISHA BIASHARA. Ukitaka kufanya biashara yoyote ile unatakiwa kufanya utafiti. Kutokufanya utafiti ni chanzo cha biashara nyingi kuharibika. Lazima ujiulize kwamba unataka kufanya biashara gani? Usiseme unataka kufanya biashara yoyote ile kwani...
  5. C

    Makala- Mbinu za biashara

    Ndugu wapendwa kuanzia sasa nitakuwa nikiwatumia makala za kuwaelimisha juu ya ujasiriamali ifuatayo ni makala ya kwanza. SIRI YA UTAJIRI Watu wengi wanajiuliza, "Siri ya utajiri ni nini?" Jee ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri? Siri kubwa ya utajiri ni kujifunza elimu ya...
Back
Top Bottom