Search results

  1. M

    Nataka Kufanya Biashara Na Jordan Express Company

    Waliniagizia gari fuso kwa bei mzuri wanachagua magiri mazuri wanamtu wao yuko Japan anachagua magari mazuri sana,Niliwaunganisha na jamaa yangu gari baada ya kufika likaibiwa redio bandarini sikujua mwisho ulikuaje ila wako vizuri.
  2. M

    Jordan express co ltd pungozo la bei kwa magari yafuatayo.

    je nikita uniagizie kama hilo jumla bei gani?
  3. M

    Jordan express co ltd pungozo la bei kwa magari yafuatayo.

    ID 2012 bei ya mwisho kabisaaaaaa ningapi?
  4. M

    Jordan express co ltd pungozo la bei kwa magari yafuatayo.

    Naomba email yako pomoja na Skype ID tuongee vizuri kisha nitakuja kuwatembele hapo ofisi kwenu nipaone asante.
  5. M

    Jordan express co ltd pungozo la bei kwa magari yafuatayo.

    Mkuu naomba msaada nimependa trailer lenye kumbukumbu namba 000025 nimekosa sehemu ya kutuma ujumbe kupita kwenye website yenu naomba unipe hesabu kwa Tsh cost zote beigani mpaka hapa na malipo yanakuaje?
Back
Top Bottom