Anachohubiri ni ulaghai wa kiwango cha PHD kwa sababu hata kwenye chama chake hiyo haki,usawa na uhuru havipo.
Chama chake kianze kutekeleza hiyo slogan kwa vitendo.
Kwa Afrika na waafrica, silaha hii ni maarufu sana japokuwa imekuwa ikitumika kati ya mtu na mtu au kaya na kaya.
Magonjwa kama ukoma na mengineyo yaliaminika kutumika kama adhabu kwa wahalifu wa makosa mbalimbali katika jamii.
Ukitaka kujua madhara na athari ya silaha ya magonjwa, angalia...
Mkanganyiko wa Msajili umepelekea Naibu Katibu Mkuu Utumishi kutoa maelekezo ya kuwataka waajiri kuwaandikia barua watumishi hao kurejea kazini haraka iwezekanavyo. Huu ni ushahidi tosha kuwa kuna tatizo katika ofisi ya Msajili wa Hazina.
NB:
Mada hii haina mvuto kwa wapenda matusi aka...
Kama tunavyojua, mwaka huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu na katika mchakato huo, Watanzania wote huwa na haki sawa ya kushiriki katika uchaguzi huo kwa kuchagua au kuomba kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali zinazogombewa.
Katika Uchaguzi wa mwaka huu, kumetokea kuvunjwa kwa rekodi ya kujitokeza...
Ngoja waje wajuvi wa mambo. Ila ninachokijua ni kuwa, Ikulu ndio sehemu ya mwisho yenye kubeba mustakabali mzima wa nchi. Siyo pa spoti spoti. Ukiwa pale, hulali, huli wala kunywa vizuri tofauti na sehemu nyingine ambako level ya responsibility inakuwa tofauti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo Mfuko mpya haujafanyiwa actuarial evaluation kwa sababu hata merging haijakamilika. Merging inakamilika February 2019 ambapo handing over itakuwa complete na endapo itaonekana kuwa muda hautoshi, Waziri mwenye dhamana anaweza kuongeza muda wa makabidhiano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moshi pamoja na Kilimanjaro kwa ujumla wake naifahamu kuliko hata waliozaliwa huko ukiwemo wewe.
Nina alama ya kudumu niliyoacha Moshi pamoja na Kilimanjaro kwa ujumla wake. We nenda ukafungue page ya Mambe Kimambi uone leo amewaagiza kufanya nini.
Mimi sio size yako.
Kwa Moshi bado sana kuwa Jiji kwa sababu za Kihistoria, Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa.
Kihistoria, Mji wa Moshi haukujengwa na wenyeji. Kwa hiyo Wachaga hawana sense of responsibility and ownership na Mji wa Moshi.
Kiuchumi, Mji wa Moshi na Kilimanjaro kwa ujumla wake hauna rasilimali wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.