Search results

  1. L

    Sauti inayodaiwa ni ya Membe na Katibu Kata kijiji cha Rondo video clip yao yavuja

    Mbona ni maongezi ya kawaida sana haya,hayana madhara yoyote kwake,labda kama kuna mengine.
  2. L

    Simbachawene anarudije kwenye Baraza la Mawaziri?

    Nafikiri yupo kwenye usajili wa watu ambao watamsaidia kwenye uchaguzi ujao maana hawa waliomsaidia 2015 wamekengeuka.Huku ndiyo kuchanganyikiwa kwenyewe unamrudishaje mtu kwenye baraza wakati tuhuma zake ulizitoa mwenyewe?tena za uhujumu uchumi?
  3. L

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Dogo Zitto Network imekata kabisaa ña,hapo ndo. Anazidi kujivuruga ,haya yangekuwepo wasingeyasahau kwenye andiko lao la mkakati wa,mabadiliko 2013.mi nangoja kesho mahakani
  4. L

    Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Hivi kuna mwanasiasa mwenye haiba ya mwigulu ña Nchimbi anayeweza kukubali kuwa amefanya madudu haya hadharani?hata Kama ni kweli?mangapi yanaushahidi ña wanayagomea sembuse hili?anyway tumekusikia
  5. L

    Mkopo wa haraka

    unatoa mpaka shilingi ngapi?na inachukua muda gani kuprocess mpaka kupewa?
  6. L

    Nani mwanasiasa bora wa mwaka 2013?

    Tundu lisu
  7. L

    La Zitto Kuvuliwa Nyadhifa CHADEMA: Mhe. Zitto, Please! Play It Cool!-Usijibizane Mitandaoni!.

    Lemutuz bana hahhaaaa eti na wewe kimekuuma,mwenzio amepewa siku 14 ajieleze, wewe unamshauri ajieleze kabla hata masaa 24 hayajapita tena jamiiforum,tweeter na fb?unafikiri chadema wanamasihara tena naye?hata Zito mwenyewe anajua hapa hakuna masihara tena.kama CCM wangekuwa serious hata kwa...
  8. L

    Maswali kwa polisi na madaktari kuhusu mlipuko Arusha

    kwa suala la police hilo halina mjadala kwa sababu siyo mara yao ya kwanza kuhujumu mikusanyiko ya chadema si tu isiyo halali hata ile ambayo ni halali.kwa madaktari inawezekana ni taharuki tu akili zao hazikujiandaa kupokea tukio kama lile kwa muda ule.siyo rahisi jambo kubwa kama hili likawa...
  9. L

    Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

    mbona wamegonga pabaya?watapatikana tu watajulikana tu kwakifupi hapo ndo wameharibu kabisaaaaa.watatajwa si tu kwa majina yao hata kwa historia zao.haraka za nini?itajulikana tu subirini
  10. L

    Kazi ya Mungu tuu, ndio kazi iliokamilika

    Mh Naibu katibu mkuu wa ccm (bara)ulicho kiandika na kuwaasa watanzania wenzako kwenye post yako ni sahihi kabisaaaaa na niukweli mtupu,lakini unatupa shida kuuamini na kuchukua kwasababu wewe mwenyewe si mfuasi wa hicho unachokisema.kwa mtazamo huo sisi tunao amini unajutia nafsi yako na...
  11. L

    CUF: Profesa Lipumba ndiye rais wetu ajaye

    watu wengine nadhani wanazeeka vibaya,mara Zanzibar iwe huru sijui nani kawaambia inatawaliwa?,iwe na mamlaka yake kamili,okey hatukatai sasa kama hiyo ndo sera yake huku Tanganyika anatafuta nini?huyu maalim Seif haeleweki njaa zinamsumbua.aache kuwasumbua wazanzibar bure wakati anacho wapikia...
  12. L

    Gazeti la Majira: CUF walaani Udini unaodaiwa kuenezwa na Mwenyekiti wake

    Tuongeeeee tunayoweza kuongea,tubishane,tuelimishane,tuteteee,lakini ukweli ni kwamba prof amechemka.inawezekana kabisa wapo wanaochemka kama yeye wa imani nyingine lakini hakuwezi kumnusuru Prof lipumba na kuchemka kwake.kiukwelii pamoja na kwamba alikuwa anaongea na watu wa imani yake,ni haki...
  13. L

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA - Iringa

    Mimi leo usiku nimeota Adulrahamani Kinana ambaye ni katibu mkuu au mtendaji mkuu wa ccm anakwapua pembe za ndovu akitumia kampuni yake. Sasa sijui kama Msigwa naye alimaanisha Kinana au La. Ni ndoto tu lakini. Aweda zipo ndoto za ukweli ila kuthibitisha cha ndotoni ndiyo kazi sasa
  14. L

    Kesi ya Lwakatare CHADEMA ombeni waangalizi wa kimataifa kufuatilia kesi hiyo live.

    hawa jamaa wameamua kutupotezea muda kwa malengo yaoyasiyokuwa na tija kwa taifa,chakushangaza ndiyo chama kilichopo madarakani.ila makamanda kazeni buti hii ni ishara kuwa ukombozi umekaribia
  15. L

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    jamani hizo xxxxxx ziliwekwa baadaye kwa sababu ya ethic ya uandishi tu but wakati wanapost kulikuwa na namba zote bila chenga
  16. L

    Namba ya Simu ya Zitto katika TAMKO kuhusu kesi ya Lwakatare

    bado narudia kuwa hili gemu si lakitoto waliocheza ni watu wazima wanaojua la kufanya wapi,wakati gani na kwa nani Zitto wakati anajibu tuhuma za barua yake kuvuja mtandaoni alisema wazi kuwa msimamo wa chama ndiyo msimamo wake na alikubali wazi kuwa baada ya kikao cha kamati kuu ameungana na...
  17. L

    Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

    hili gemu si la kitoto linachezwa na watu waliokomaa na wanaojua nini wanafanya na kwa maslahi ya nani.Mungu awalinde chadema kwasababu kazi mnayo pekeyenu,wala taaluma zenu haviwezi pekee kuwavusha kwenye hizi zengwe.
  18. L

    Hussein Bashe: Ninaamini Mitazamo na Fikra za Lowassa!

    naunga mkono hoja Mh Ben.
  19. L

    Magari ya Serikali kuonekana kwenye kumbi za starehe nyakati za Usiku

    hahaaaaaa sikuhizi hakuna wakukemea tena maana aliyekuwa anakemea sikuhizi na yeye ni wakukemewa kwahiyo imekula kwetu labda kama tutafanya mabadiliko2015 tupate watu wengine wacha Mungu na wenye huruma na kodi za walalahoi.pole mleta mada kwa kunusurika ila siku nyingine uwe mwangalifu zaidi...
Back
Top Bottom