Search results

  1. DaudiAiko

    Kama watanzania, tusikubali kurubuniwa na vyama vya siasa au wanasiasa. Chambua kila suala kwa kina na bila upendeleo

    Wanabodi, Jamii yoyote inaweza kulaaniwa na Mwenyezi Mungu au kulogwa na ibilisi. Mapenzi yangu kwa watanzania yanaweza yakawa yamezidi hata katika kipindi ambacho ishara zote zimeshindwa kuni pumbaza, hata katika kipindi ambacho matukio yanazidi kuthibitisha kwamba imani bila hatua thabiti ni...
  2. DaudiAiko

    Huu ndio ukweli kuhusu mkataba wa DP world na serikali unaofichwa na viongozi wengi. Tumekukosea nini Mungu sisi watanzania?

    Wanabodi, Teknolojia niliyotumia haikuni wezesha kuchapisha mada yangu kwenye mfumo wa kawaida wa Jamiiforums. Pakua document ya pdf niliyo ambatanisha ili kuweza kushiriki katika kujadili mkataba kati ya DP world na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nawatakia nanenane njema
  3. DaudiAiko

    Makubaliano kati ya Serikali na DP world yangeweza kufanywa kwa kutumia njia mbadala

    Wanabodi, Suala lililozua gumzo mitaani ni muswada uliojadiliwa bungeni ambao ukitiwa saini na Rais Samia, utaipa hisa kampuni ya DP world ya Dubai kwenye bandari ya Dar Es Salaam kwa dhumuni la kutatua tatizo la urasimu kwanye bandari hii. Kwanza kabisa, ni vyema kufahamu kwamba kampuni ya DP...
  4. DaudiAiko

    Muswada wa Sheria ya Usalama wa Taifa hauzingatii hatari ya kuwapa watu wengi wasioweza kusimamiwa kinga dhidi ya makosa jinai

    Wanabodi, Kilicho fanyika kinyamela hivi karibuni kinahusu bunge la Tanzania kupitisha muswaada utakao wafanya watumishi wa idara ya usalama wa taifa wasi shitakiwe kwa kosa lolote la jinai. Muswaada huu ulipitishwa kwa malengo ya kuwalinda watumishi hawa katika shughuli zao za kila siku ambazo...
  5. DaudiAiko

    Nakala ya kwanza ya mabadiliko kwenye katiba ya Tanzania ya mwaka 1977

    - The foundations of the constitution, point number two states that: and whereas those principles can only be realised in a democratic society in which the executive is accountable to the legislature and judiciary: (For the executive to be accountable to the judiciary, everyone in the...
  6. DaudiAiko

    Mazoea ya Rais kugawa hela zake kiholela

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mnapojibu kwa kusema kazi iendelee basi kweli mnapeperusha bendera ya Tanzania kwenye jua kali katika msimu huu wa kiangazi. Kwa mtoto aliyelilia wembe, pochi na Rais Samia ipo tayari kucheua na kumliwaza mtoto huyu. Kama...
  7. DaudiAiko

    Je, taasisi nyeti za serikali zina uwezo wa kumudu mabadiliko yoyote ya uongozi yanayofanywa na wananchi?

    Wanabodi, Kiongozi siku zote hawezi kutekeleza majukumu yake au ilani yake bila kushirikiana na taasisi mbalimbali serikalini. Hii ina maanisha kwamba mbunge yeyote lazima ashirikiane na madiwani waliopo jimboni mwake, pamoja na viongozi wengine ambao wapo chini yake ili kutekeleza majukumu...
  8. DaudiAiko

    Vyombo vya habari vinavyo milikiwa na watu binafsi viangaliwe kwa makini

    Wanabodi, Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wote walio husika katika kuhakikisha kwamba vyombo vya habari vinachukua nafasi kubwa katika suala zima la kuwa elimisha wananchi kuhusu masuala mengi tofauti tofauti. Serikali ya Tanzania inajivunia kwa ongezeko kubwa la vyombo...
  9. DaudiAiko

    Tanzania tegemezi sio Tanzania imara

    Wanabodi, Walio ughaibuni wana msemo mmoja ambao nita unukuu kwa Kiingereza, "If you want anything done right, do it yourself". Uchambuzi mfupi wa msemo huu unaweza kuashiria mambo mengi lakini chenye umuhimu kabisa ni kwamba katika juhudi zote za kuishi vizuri na wanao tuzunguka, fahamu kwamba...
  10. DaudiAiko

    Siasa safi Tanzania, Inawezekana

    Wanabodi, Naomba tutazame kidogo nakala niliyo chapisha mara ya mwisho inayohusu mbinu kuu inayotumiwa na chama tawala (CCM) kubaki madarakani. Lazima tukubaliane kwamba kama CCM ina ushawishi mkubwa kwenye sekta nyeti nchini, basi suala zima la kuwa na siasa za ushindani na ambazo wahusika...
  11. DaudiAiko

    Katiba Mpya na Tume Huru siyo Mkombozi katika suala zima la kuwa na Siasa za Ushindani

    Wanabodi, Mfumo wa vyama vingi ulianzishwa Tanzania kwa madhumuni ya kuruhusu vyama mbadala kushiriki katika kila chaguzi na kuenzi suala zima la demokrasia kwa kuwa wezesha wananchi kuchagua viongozi wao baada ya kusikiliza na kuelewa sera tofauti tofauti. Demokrasia zilizo komaa huwezesha...
  12. DaudiAiko

    DOKEZO Ukweli kuhusu changamoto zinazosababisha Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) kuanguka

    Wanabodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu jinsi ya kutatua tatizo la shirika la bima ya afya Tanzania NHIF kufilisika lakini je tuna taarifa za kutosha zinazoweza kutuwezesha kufanya maamuzi sahihi?. Bima ya afya kwa wote ni sera nzuri itakayo wawezesha watanzania kupata huduma bora kila wanapo ugua...
  13. DaudiAiko

    Ukweli kuhusu Demokrasia nchini Tanzania

    Wanabodi, Kwanza kabisa napenda kuipongeza serikali ya Rais Samia kwa juhudi zote zilizofanyika kuleta maendeleo Kigoma na Tanzania nzima kwa ujumla. Maoni yangu hayata egemea upande wowote bali ni uchambuzi mfupi kuhusu misingi ya demokrasia. Ili demokrasia idumu kuna mambo fulani ambayo...
  14. DaudiAiko

    Viongozi bora huandaliwa hata kama hawana vipaji vya kuzaliwa. Tuzingatie haya katika kuhakikisha uongozi bora kwenye sekta zote

    Wanabodi, Tumeshuhudia vitendo vingi haswa katika bara la Afrika ambavyo kwetu vimekuwa vya kawaida. Vitendo hivi vinaonekana vya ajabu haswa kwa wenzetu ambao wapo bara zingine. Suala hili ni zito lakini bado halijapata ufafanuzi wa kutosha. Uongozi, uongozi uongozi, ni jambo lipi linaweza...
  15. DaudiAiko

    Uongozi wa Rais Samia haufai. Serikali ya Rais Samia inatupeleka pabaya

    Wanabodi, Ninapo sema shangwe na vigelegele kwa miradi ya kimkakati ya maendeleo ya serikali ya awamu sita nina maanisha shule, vituo vya afya, stendi mbalimbali, miradi ya maji na mengine yote ambayo umeisha yasikia na kujionea. Ninapo zomea upande wa pili nina maanisha gharama kubwa...
  16. DaudiAiko

    Gharama za miradi ya maendeleo nchini haziendani na uhalisia wa nyakati za sasa

    Wanabodi, Miradi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inafanywa kwa dhumuni la kuwasaidia wananchi na kutuvusha kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi kuelekea kwenye hali nzuri zaidi. Siku zote, serikali hukusudia mema kwa wananchi wake na kwasababu hiyo ni vyema kuipongeza serikali ya...
  17. DaudiAiko

    Serikali ya Rais Samia haikufuata utaratibu uliopo kikatiba katika maamuzi wa kuwatoza wananchi tozo kwenye miamala ya kielektroniki

    Wanabodi, Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
  18. DaudiAiko

    Je, shirika la TANESCO linapata faida inayo iwezesha kujiendesha?

    Wanabodi, Hizi ndiyo gharama halisi za kuunganishiwa umeme kwenye nyumba yako na TANESCO. Je haya yote ni ya kweli? na kama ni ya kweli, je shirika hili linapata faida ya kuiwezesha kujiendesha?
  19. DaudiAiko

    Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  20. DaudiAiko

    Serikali ya Rais Samia sio rafiki kwa wenye maoni mbadala kuhusu uendeshaji wa nchi, tunaelekea pabaya

    Wanabodi, Kwanza kabisa napenda kutoa pongezi kwa jitihada zote za Rais Samia kukemea vitendo vyote vinavyo chochea uonevu wa kisiasa na vilevile jitihada zake kukemea vitendo vyote vya kihalifu aki amini kwamba amani na utulivu ndio mtaji wa kupiga hatua katika nyadhifa zote. Kabla sijatupiwa...
Back
Top Bottom