Search results

  1. socrates

    Aicc Watinga Kwenye Ufisadi

    kama hakupandisha bei atakula wapi? Jua hela za Sulivan zilkuwa mara moja tu.
  2. socrates

    Aicc Watinga Kwenye Ufisadi

    Hizo Euros 1,272,904 ni kwa ajili ya viti,carpet, na vifaa vya sauti tu. Gharama kamili ni Tsh 4.5 billion. Huwezi kuamini hadi leo kuna viongozi wanafanya vitu kama vile nchi imeshakuwa Somalia. Inawezekaneje mtu mmoja kujiamulia kutumia fedha ya Umma bila kufuata taratibu? Taarifa za...
  3. socrates

    Aicc Watinga Kwenye Ufisadi

    Nilivyopata habari hii nilidhani ni udaku lakini baada ya kutemebelea Arusha hivi majuzi kwa lengo la kubook mktano kwenya ukumbi wa Simba Uliokarabatiwa nilishangaa na kuamini ni kweli. Nimepata data kidogo tu za kuanzia . Katika kukarabati ukumbi wa AICC kwa ajili ya Sulivan , kiongozi wa...
  4. socrates

    Elections 2010 Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

    Bora hao mpresida wajue kwamba tunatafuta mishahara yao bado. Hata hivyo najua ni kuubwaa saanaaaaaaaaaa. Sujui kwa nini wafanye tena business hujo ikulu na kujichotea mathusand of million dollars
  5. socrates

    Wizi wa Kampuni za Simu na vinywaji Tanzania

    " A peacock who sits on his tail is just another turkey" Tatizo ni sisi wenyewe pia. Tunakubali kila uchafu. Hamna kupinga . Wenzetu wanagomea bei na wanafaulu. Tunauwezo wa kugomea ongezeko la bei .Mfano tukiamua kuzima simu zetu zote kwa siku mbili tu wataimba wimbo waupendao. We have...
  6. socrates

    Ze Comedy wana haki kuhamia TBC-Serikali

    Na hao COSOTA jamani nisaidieni hapa. Mbona wanatuma invoice kwenye mabaa, hotel, clubs , groceries n.k yaani sehemu za starehe wakidai ni mirahaba ya kuangalia TV na kusikiliza muziki. Criteria gani wanatumia kucharge hiyo mirahaba? Maana unaletwa tu invoice ya 350,000.00 amabayo haina...
  7. socrates

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Huo ni ukweli. Sio kwa sababu wako Wachaga wengi kwenye hiyo ofisi bali Wachaga wanajua rohoni mwao kuwa hawapendwi simply kwa sababu ni Wachaga. Wengi wameacha majina halisi ya ukoo ili kuwafix wasiojua. Ajabu ni kuwa nilikutana na Mhindi mmoja Director wa Kampuni kubwa, ya magari...
  8. socrates

    Maajabu haya Wasabato Wenye Imani Kali

    Kudhani hivyo ni upungufu unaobebwa na imani kali. Kwa nini wasingejiandaa kabla. Hawaoni hata wenzao waislam wanajiandaa japo hukesha uwanja wa ndege? hebu warudishe ujinga huko walikotoka ebo.
  9. socrates

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    mmh. Hili ni kweli. Ni puuzi moja la kichaga. Alimwiingiza Kaaya wa AICC kwenye cheo kwa rushwa. Tuanaendelea kummulika Kaaya .Tunajua ufisadi aliofanya lakini tusubiri kwanza data .
  10. socrates

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    ''Anger is a condition in which the tongue works faster than the mind'' Huyu Mbunge alikuwa na hasira kweli. Hata hivyo hajajiuliza anayepanga na kupitisha policy za hiyo Tanroads ni nani. Mishahara na maslahi ya shirika kama Tanroads sio specific kwa mtu bali kwa nafasi.Mrema alikuta haya...
  11. socrates

    Waziri atumia madaraka vibaya

    Kwa hiyo mwandishi anataka sisi tubuni ni nani? Hii sio habari maana haijakamilika. If you can,t disclose him you are like him. 'The witness of a rat is another rat'
  12. socrates

    Ujue ufisadi huu POLISI

    Mkuu jiunge na bank za sasa . Hizo za zamani achana nazo tu.
  13. socrates

    Dr.Slaa ajiandikisha rasmi kuwa member JF.

    Welcome great man. They say 'It takes both sunshine and rain to make a rainbow' Lets all fight for the nation.Mkubwa ,mdogo, excluding mafisadi wote. They have no right to torture us like this.
  14. socrates

    Dowans: Another Richmond in making?

    Hodi janvin wakulu. wanesema 'if God cooks no smoke'
Back
Top Bottom