Search results

  1. Come27

    [B]MPANGO WA KUWAPUNGUZA WAAFRIKA KATIKA BALA LA AFRICA

    Tajiri mkubwa duniani alikuwa katika mazungumzo ya kuzungumza kuhusu mpango wa kupunguza idadi ya waafrika. Maana kuna matatizo ya idadi ya waafrika wanaoamia nchi za Ulaya kwa ajili ya kupata makazi na ubora wa maisha, kwa iyo watakuja na mpango unaoitwa New world order, ili kuinusuru ulaya na...
  2. Come27

    Namshukulu Lupita Nyongo

    Katika movie ya Black Panther Lupita Nyongo ameliwakilisha vizuri taifa lake la TANZANIA Nawashukulu watanzania wote kwa kuwakilishwa vizuri na mtanzania mwenzenu LUPITA NYONGO
  3. Come27

    Vitendo vya wizi maeneo ya Mlimani City Dar es Salaam Tanzania

    Habari za siku ya leo, kwanza poleni kwa mapumziko ya weekend, Naomba tujadili vitendo vya wizi maeneo makubwa ya kibiashara kama apa Mlimani City na maeneo ya Magomeni NMB bank. Kumekuwepo na vitendo vya ukiingia bank za hapo Mlimani city kunakuwa na watu wanakufatilia mpaka utakapotoka na...
  4. Come27

    Nataka kujifunza Kichina

    Naulizia kuhusu sehemu wanayofundisha lugha ya kichina kwa apa Dar es salaam Tanzania Nawasilisha.
  5. Come27

    NEMC Kuanza kutaifisha mitambo ya uchimbaji na ubebaji wa mchanga

    #Habari:NEMC kuanza kutaifisha mitambo na malori yatakayobainika kushiriki uchimbaji michanga.Bofya Hapa.->http://bit.ly/2dfrEFd
  6. Come27

    Habari kuhusu Taasisi ya kukusanya Mapato (TRA)

    Naomba serikali ijaribu kutusaidia kuwaondoa vishoka na matapeli wote waliopo katika office za TRA, wamejaa sana kiasi kwamba ukifika pale kidogo ukiulizia office yoyote pale mapokezi anatokea mtu anajifanya kama anataka kukusaidia, sasa apo atakupa michanganuo ya kukupiga pesa Hivi ni kweli...
  7. Come27

    Habari kuhusu Taasisi ya kukusanya Mapato (TRA)

    Naomba serikali ijalibu kutusaidia kuwaondoa vishoka na matapeli wote waliopo waliopo katika office za TRA, wamejaa sana kiasi kwamba ukifika pale kidogo ukiulizia office yoyote pale mapokezi anatokea mtu anajifanya kama anataka kukusaidia, sasa apo atakupa michanganuo ya kukupiga pesa ivi ni...
  8. Come27

    Uzinduzi wa Maonyesho ya picha ya Mwalimu Nyerere

    Katika uzinduzi wa Maonyesho ya picha ya Mwalimu Nyerere yanayofanyika maeneo ya sayansi apa Dar es salaam Tanzania
  9. Come27

    Kwanini Konyagi haipo kwenye soko la hisa?

    Habari za shughuli, kinywaji hiki kinauza sana hapa Tanzania. Lakini mbona katika Soko la hisa hakionekaniki kama wanafanya biashara yenye faida au ndio tabia yetu kufanya biashara bila rekodi au wanafanya hivyo kukwepa kodi. Maana ukipita kila kona kumejaa viroba. Biashara hiyo ipo kila kona...
  10. Come27

    Matangazo ya biashara katika magari ya mwendo kasi

    Habari za shughuli ndugu zanguni Wana JamiiForums, Naulizia haya magari ya mwendo kasi naona yamebandikwa matangazo ya biashara, muhusika wa makusanyo hayo ya Mapato ni nani? Tujulishane wadau wengine atujajua hapo
  11. Come27

    Wapenda nyimbo za Jamuhuri ya Congo

    Salama Wana Jamii forum. Na poleni na msiba wa Papa wemba. Jamani mwenye kujua vibao vizuri vya muziki wa Zaire{Democratic Republic of Congo} na habari za wasanii kama wakina Yondo Sister na wengineo tupeane mastori yao
  12. Come27

    Fixed deposits Vs Shares on Company

    Salama Wana Jamii forum habari za shughuli. Naomba kupewa mchanganuo upi una faida kuweka pesa ktk fixed deposits account au kununua shares ktk makampuni kama Tanzania Cigarette company ipi inafaida nawasilisha maana ktk benki Kuna changamoto zake nataka kujua apo Nawasilisha, nategemea...
  13. Come27

    Matatizo yanayozikumba hizi Suzuki Carry

    Msaada :: Kwanza habari za shughuli ndugu zanguni nataka kusaidiwa izi gari zimekuwa na matatizo mengi ikiwepo ya kuungua Pump. Yaani zinaungua sana ktk Pump
  14. Come27

    Foreign currency account (kufungua akaunti ya pesa za kigeni kwa hapa Tanzania)

    Habari za shughuli ndugu mabibi na mabwana. Nataka nieleweshe nini faida na hasara ya kufungua account za pesa za kigeni, ili kulinda pesa yangu kushuka thamani nataka kujua kodi, kiwango cha kuanzia, kibali cha kufungua na mambo mengine yanayohitajika
  15. Come27

    TANESCO kushusha umeme kumesaidia wateja wa kawaida au bado hali ya umeme ipo pale pale?

    JE UNAFAHAMU KUWA TANESCO IMEPUNGUZA BEI YA UMEME NA KUONDOA TOZO YA KUTOA HUDUMA (SERVICE CHARGE) KWA WATEJA WA T1 KAMA ILIVYOONYWESHWA KWENYE JENDWALI HAPO CHINI KUANZIA TAREHE 1/4/2016. UMEJIPANGAJE KUTUMIA FURSA HII KUKUZA UCHUMI WAKO BINAFSI NA WA TAIFA?
  16. Come27

    Kumuasi mbwa (Castration)

    Kumuasi mbwa (Castration) Kumuasi mbwa (Castration) Naomba mnisaidie kujua kwamba kumuasi mbwa. Anakuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengineo. Nawasilisha. Please mchango wenu. Msitumie lugha ya kuuzi
  17. Come27

    Kumhasi mbwa (Castration)

    Kumfanyia mbwa Castration (kumtoa mbegu) inasaidia mbwa kuwa mkali au ndio atakuwa mpole akiona mbwa wengi. Mwenye kujua na ambaye kashamuona mbwa mwenye kuasiwa anakuwaje? Msaada please
  18. Come27

    Utofauti wa opera na opera min katika android

    Tuelezee utofauti wa kutumia opera vs opera min katika simu ya android
  19. Come27

    Una maoni gani juu kukamatwa kwa shehena ya Mafuta na Sukari Tanzania

    UNAMAONI GANI JUU YA KUKAMATWA KWA SHEHENA YA MAFUTA PAMOJA NA SUKUARI? TOA MAONI JINA NA MAHALI: Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imekamata shehena ya Sukari na Mafuta yenye thamani zaidi ya shilingi milioni mia nne ambazo zinaingianchini kutoka mataifa ya India na Brazil bila kulipa ushuru...
Back
Top Bottom