Search results

  1. G

    Dk. Mwakyembe mambo mazito: Ripoti ya ugonjwa wake yaivuruga Serikali: Pinda

    Anatia haruma nimemuona juzi kwenye TV naona kafunika hadi mikono yaani anaonekana uso na shingo tu, hata hiyo shingo yenyewe nyeusi kweli
  2. G

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante sana umetusaidia wengi
  3. G

    Wanaume tuache ulalamishi

    Wanawake tuna vifua vya kuweza kutunza siri pia tunaweza kuvumilia
  4. G

    Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    Lol huyo mwanamke hafai hata kwenye jamii
  5. G

    Atorokwa na MKE siku moja baada ya harusi!!! Toa maoni

    Labda nikuulize swali moja, je huyo binti alilazimishwa kuolewa?
  6. G

    Umeme wakatika Mwananyamala Hospital, Vilio vyatanda wodini!

    Labda history majumbani kwao maana sisi wengine tangu wametutangazia hivyo ndio makali yameongezeka siku zingine wanakata asubuhi mpaka saa tano usiku
  7. G

    Uchakachuaji wa wazi kwenye picha ya meli iliyozama zanzibar

    Hizo ndio picha za meli ya ukweli kabla haijazama sasa angalia mwenyewe tofauti
  8. G

    Ngeleja acha kutufanya watanzania wapumbavu.

    Ngeleja ananitia kichefuchefu maana kweli anatufanya wapumbavu kutudanganya makali yanapungua ilihali ndio yakaongezeka mara dufu haujui muda gani umeme upo. Anatutia hasara sana hasa kwa wanaotafuta kipato kidogo kwa kutumia umeme, kama hakuna umeme hauna pesa ya kula nyumbani
  9. G

    Power supply

    Hana jipya atekeleze tu hatutaki hadithi zake
  10. G

    Naunga mkono tarehe 3/10/2011, KUVAA NGUO NYEUSI

    Haya itabidi siku hiyo nivae tena, maana mwenzenu nimechoka kweli kweli na hii nchi umefika wakati wa kufanya maamuzi wala tusiogope maana tunapelekeshwa ovyo na wachache
  11. G

    Naunga mkono tarehe 3/10/2011, KUVAA NGUO NYEUSI

    Labda niulize kwanini wamechagua tarehe 3? Mi naona mbali sana maana sasahivi hali inazidi kuwa tete hali ni mbaya zaidi kwanini tusiamue hata kesho? Mi nimeanza leo kabisa kuvaa nyeusi maana nyumbani kwangu walinirudishia umeme masaa 4 tu tena usiku wakati nimelala halafu wakauchukua tena. Wiki...
  12. G

    Ajali ya Meli Zanzibar: Baharia asimulia...

    Usipende kulaumu tu, vifo vimetokea usiku wa kuamkia jumamosi na Vodacom miss Tanzania ilikuwa usiku wa kuamkia jumapili
  13. G

    Ajali ya Meli Zanzibar: Baharia asimulia...

    Hao watoto waliovishwa maboya kama hawajui kuogelea inakuwa ni ngumu kujiokoa, maana wamekaa majini masaa mengi sana. Ila kama wangeokolewa mapema idadi ya waliokufa ingepungua
  14. G

    Diwani Vs Spika wa Bunge nani atashinda?

    Ni sababu za kiusalama, mi nafikiri angekwenda kukaa kwa wakubwa wenzake huko kuliko na usalama kuliko kutufungia njia wananchi wa kawaida kisa usalama wake.
  15. G

    Kwanini Wazanzibar watuite Machogo(Chogo), ni Haki kweli?

    Mbona wao wamejaa bara na hatuwafukuzi?
  16. G

    Haah kwa mashine hii kazi kwenu kinadada

    Mwanaume inaonekana amemchoka kweli mwenzake
  17. G

    Wakina mama na watoto wao wa Kiume!

    Inaudhi kweli ila uvumilivu na busara ndio vinatakiwa hapo la sivyo ndoa haitadumu
  18. G

    Wakina mama na watoto wao wa Kiume!

    Kinachotokea ni kwamba wamama huwa wanawapenda sana watoto wao wa kiume. Na siku zote mtoto kwa mama hakui. Sasa labda kabla yule kijana hajaoa alikuwa anapeleka msaada mkubwa kwa familia yake (wazazi na ndugu zake) lakini tangu ameoa na yeye anatengeneza kwake matumizi kwa wazazi yatapungua...
  19. G

    Umewahi kukutwa na hali kama hii??

    Hii hali humkutaki kila binadamu kwa wakati fulani. Kuna mama mmoja anaitwa Sadaka Gandhi kuna siku nilimsikia anaongelea haya mambo kwenye TV? namtafuta sana. Je kuna mtu yeyote anafahamu anapatikana wapi? LD Mungu ndiye suluhisho la yote. Hata kama leo uko ok kuna wakati hii hali inaweza...
Back
Top Bottom