Search results

  1. R

    Safari za nje za Mhe. Rais Kikwete 2010 - 2015

    Cha kusikitisha ni kuwa ameunganisha saafairi katika nchi nne kwa kipindi cha wiki mbili bila kutulia nyumbani licha ya matatizo kibao tuliyonayo. tarehe 10-13 alikuwa nchini Afrika ya Kusini na alirudi nyumbani na kuunganisha kwenda Uswizi. alitoka uswizi akaruka Tanzania akaenda shelisheli na...
  2. R

    Hatari ya vurugu inatoka kwa watawala, Slaa asiwape kisingizio

    Hatari ya vurugu inatoka kwa watawala, Slaa asiwape kisingizio Jenerali Ulimwengu Juni 8, 2011 KATIKA kipindi hiki tunapoikazania Serikali ya Rais Jakaya Kikwete isifanye mchezo na suala la Katiba, tunalo jukumu la kutuliza akili zetu na kupima kwa kina kila tunachokisema na kukiandika...
  3. R

    Muungwana Safarini Tena!

    Ukijua gharama za safari utazimia. Kuna jamaa yangu anafanya protocol department pale mambo ya nje aliwahi kuniambia kuwa kuna wakati muungwana alitumia zaidi ya sh. Billioni mbili katika safari moja ya us. Upo hao?
  4. R

    JK si alisema zilizorudishwa ni 69 billioni?

    KUSEMA KWELI TUNA BUNGE KILAZA. SIJUI BUNGE LILIKUBALI VIPI KUPITISHA BILL.53 WAKATI MHE. RAIS KATIKA HOTUBA YAKE KWA TAIFA YA MWEZI OKTOBA 2008 ALISEMA ZILIKUWA ZIMEKUSANYA BILL. 69 NA USHEE. HIVI NDIVYO ALIVYOSEMA "Nilielezea pia kwamba baada ya tarehe 31 Oktoba, 2008, kwa wale ambao watakuwa...
Back
Top Bottom