Search results

  1. dist111

    Kama Mwendokasi Ungekuwa wangu, Hivi ndivo ningeuendesja mradi huo.

    Tahadhari: Mawazo haya yanatikana na Imani yangubkubwa katika: 1. Biashara shindani, Yaani bila ushindani, biashara lazima itadorora. 2. Jamii imegawanyika kwenye matabaka mbalimbali, mfano wafanyabiashara, wafanyakazi, n.k. Nikimaanisha mfanyakazi hataweza kurndesha biashara na kinyume chake...
  2. dist111

    Msaada Tutani: Nahitaji Paving grid

    Habari Wataalamu, Naomba contacts za kiwanda cha kutengeneza paving grids, Hizi ni badala ya pavements na zinafaa Sana sehemu yenye majimaji au udongo unaokaa na maji, Zitasaidia kuondoa usumbufu kwa sehemu ninapokaa, mwenye contacts anisaidie, Nikiziangalia ni rahisi kutengenezeka, lakini...
  3. dist111

    Napata wapi mbuzi hapa Arusha?

    Salam kwa wana JF! Nimepata ugeni wa dharura, na nishazoea kuchoma mbuzi kwa ugeni wa namna hii, sasa soko langu la kikatiti ni mpaka jumanne, Naomba msaa wa anayejua soko/mnada mwigine (hapa Arusha mjini) kwa jumamosi au jumapili, ntashukuru kwa maelekezo husika Thanks in advance
  4. dist111

    Natafuta fundi wa biodigester (Mashimo ya Choo)

    Hello wadau, Nahitaji fundi wa mashimo ya choo kwa sehem zenye maji maji sana. Nadhani wanayaita biodegester. Kama kuna fundi yupo Arusha naomba anipm. Itapendeza akintumia sample picha ya kazi alizowaho fanya (Ikiwa zaidi ya moja itapendeza). Thanks
  5. dist111

    Msaada: Xiaomi/Oppo zinapatikana wapi?

    Wakuu naombeni msaada wa maelekezo ya duka ninaloweza pata Xiaomi/Oppo za kijanja za 400-600 elf. Maduka mazuri yaliyopo Kariakoo ndo yatanifaa maana nitakuwa mitaa hiyo tomorrow morning. Msaada wenu utazingatiwa sana. Natanguliza shukran
  6. dist111

    Ni muda sasa kuondoa posho za vikao na per diem

    Mimi kama mfanyakazi wa serikali naliandika hili nikiwa na huzuni kubwa. Hii ni kwa sababu posho za vikao na per diem zimekuwa sehem kuubwa sana za mapato yangu. Lakini recently, nineanza kufanya kazi na wenzetu wazungu na naona utaratibu wao wa kulipana ni mzuri zaidi wa hui wa kwetu. Ni bora...
  7. dist111

    Aisee! Kumbe ndom inanuka namna hii!

    Aisee, sikuwa najua umuhim wa kuoga baada ya kupiga gemu, leo ninepanda gari na maza ananuka ndom mwanzo mwiso, sijui ni sababu ya jua kali au yule maza alizidisha kipimo, ila almost abiria woote walifungua madirisha baada ya mama wa watu kuingia kwenye gari, japo gari ilikuwa na aisii ila watu...
  8. dist111

    Jinsi ya kulipia faini ya traffic

    Wakuu msaada tutani, Namba maelekezo ya jinsi ya kulipia trafick fines, maana wamenikamata na zile karatasi yao sinayo kwa ss, na leo ndo inaturn kwenye interest yao. Shukran za dhati zinatangulizwa. UPDATE ----------- Problem solved
  9. dist111

    Spare parts za Honda Crossroad

    Salama wana GT Kuna jamaa anataka kununua family car, na baada ya search ya muda mreefu amepata Honda Crossroad ila hana uhakika na upatikanaji wa spare parts, so anaomba ushauri kwenye spare parts za hiyo gari.
  10. dist111

    Architecture Anahitajika- Arusha

    Kama title inavosomeka, Architecture aloyeko Arusha, anayeweza kunchorea raman ya residential house anahotajika. PM for contacts Updates Post imefungwa, ashapatikana tayar
  11. dist111

    Utata: Uvamizi wa clouds FM

    Niende moja kwa moja kwenye mada, Kuna habari chungu nzima zinazoelezea jinsi RC wa Dar es Salaam alivovamia Clouds Media lakini habari hii ina ushahidi kidogo sana, ushahidi mkubwa ni mahojiano ya Bw Ruge na waandishi wake wa habari, na clip fupi inayomuonyesha RC akiingia na kutoka ofisin...
  12. dist111

    Most dangerous Special Forces (Kumbe waTz tumoo)

    Katika Africa, Tanzania ndo nchi pekee iliyokuwa listed hapa! Big up saana JWTZ source: Most Dangerous Special Forces Of The World. See How Your Countrys' Army Looks Today
  13. dist111

    Huu utakuwa ugonjwa gani?!

    Naamini almighty amewapa afya, na wale wauguao mungu awaponye! Niende kwenye shida yangu straight, Ni week ss sijakutana namwanamke ila kuna mabadiliko yanantisha kidogo hasa niendapo haja ndogo. Ni siku 3 zimepita tangu nikojoe damu, damu ilitoka mwishoni kbs wakati wa kukojoa na ilikuwa...
  14. dist111

    Ushauri na msaada wa mawazo unahitajika kukomesha uonevu huu wa polisi

    Niende kwenye mada straight Kunna mkuu mpya wa upelelezi amepamgiwa katika wilaya yetu(jina kapuni kwa ss) Kwa sasa n kamatakamata kila leo hasa kwa wauza mirungi bangi na madawa ya kulevya(kwa uchache) Katika kamatakamata hiyo wanaingiaga wahusika sahihi na wengine wanabambikiziwa, shida...
  15. dist111

    Msaada: Mtoto kuchelewa sana kuongea

    Heshima zenu wakuu Nina jamaa yangu siyo member wa JF anahiyo shida, mtoto wake alianzaga kuongea alivofikisha mwaka na nusu then akaugua kifua akaacha kabisa kuongea, Mpaka sasa anamiaka mitatu anaongea neno mojamoja sana, anauwezo wa kuiga maneno watu wakiongea lakini kuyarudia mwenyewe...
  16. dist111

    Short Course in Petroleum and Gases

    SERIKALI YA CHINA INAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA WAAJIRIWA KWENYE SKETA YA MAFUTA & GESI ASILIA. Seminar on the Utilization and Development of Petroleum and Gas for Tanzania 2016 will be held from 30th May to 19th June in China. We are inviting 28 candidates. All participation costs will be...
  17. dist111

    Mwenye ujuzi na Toyota Belta

    Naamini hapa ntapata wataalam wazuri wa magari, Nahitaji gari kwa ajili ya tax na kuwapeleka watoto shule, angalau nipunguze gharama ya school bus kidogo Katika pita pita beforward na tradecarview nimeiona hii Toyota Belta, Hasa hii ya 1300cc naamini itakuwa na engine yenye nguvu zaidi na...
  18. dist111

    Mchimba Kisima anahitajika (Arusha)

    Salama waungwana, Kama kichwa cha habari kisemavyo, kuna kazi ya kuchimba kisima, kwa yeyote mwenye kufanya kazi tajwa tafadhali ani-PM kwa mawasiliano zaidi.
  19. dist111

    Msaaada! Ufanunuzi wa Viapo wa Makatibu na Manaibu Katibu wakuu wa Wizara

    NAtumai mu wazima na Mungu amewabiriki afya na amani katika mwaka 2016! Leo tarehe 1/1/2016 Makatibu wakuu wameapa viapo vya utendaji kazi wao, ila nikisikiliza viapo vyao sehemu ya tatu ambayo wanatakiwa kutunza siri za serikali na baraza la maraisi nimeona wakisema wanaweza kutoa siri hizo...
  20. dist111

    Ni wakati wa UKAWA kuanza kujipanga ss!

    Uchaguzi ushakwisha, ila kila nikiangalia mitandao sion namna ya UKAWA wanavojipanga, Pamoja na mengi yaliyotokea katika uchaguzi huu, ila seems wananchi na nchi inasonga mbele. na ukizangatia kuna majimbo na sera nyingi zilizotumika kuuufikisha upinzani hapa ulipo bado wana kazi kubwa zaidi ya...
Back
Top Bottom