Search results

  1. swtney

    Kutokua na wivu

    Ushasema mchepuko. Wivu wa nn kwa mchepuko wakat ni mtu Wa kupita tu. Wa ukweli kamtuliza ndani kwake
  2. swtney

    huwa na serious relationship na waume za watu kuliko bachelors

    kasema ukweli si.wivu..maternit leave gn inaanza mtu ana ujauzito miez minne...mmh jipange
  3. swtney

    huwa na serious relationship na waume za watu kuliko bachelors

    spare tair..utatumika mpaka kiote kutu..nyooo et mzuri..wazur wapo wametulia na ndoa zao..kaz kuharibu ndoa za watu..pepo w
  4. swtney

    Kwa wanaume wenzangu juu ya wanawake.

    yeah demu wako ndo yuko ivyo...si wanawake wote..for me naongoza kwa kusave kuliko ata mme wangu nawaza future na familia yangu..nu plan tu ya maisha
  5. swtney

    Nafasi za kazi utumishi

    mbona deadline tarehe 9 march..inakuaje apo?
  6. swtney

    Jinsi ya kumkamata anaye-cheat kwa kutumia simu...

    ni ya kulipia.. sijaona njia rahis ya kulipia..naona kuna Visa,mastercard,discovery JCB. KIBONGO KIBONGO...tunafanyeje ili kudownload..na tulipie
  7. swtney

    Mke wangu kaniletea shoga yake nitembee naye!

    sidhani kama ni kweli...umetunga hii story..hakuna mwanamke mjinga kiasi icho..
Back
Top Bottom