Search results

  1. mohammedzahor

    Tundu Lissu na Kiinimacho cha Muungano

    Wapendwa. Kufikiri ni kazi muhimu ya binaadamu. Tatizo au tofauti iliyopo ni kujiuliza kichwa kinafikiri kuelekea wapi, jee kwa manufaa ya mtu na kundi lake au nchi na watu wake na maendeleo ya miaka mingi ijayo. Kwa masna hiyo nadhani watu wajikite kufikiri kwa faida ya zanzibar ya kesho mana...
  2. mohammedzahor

    CCM lazima ife ili Watanzania waendelee

    jitahidi kueneza sumu, ila angalia isije kukudhuru mwenyewe, mana waswahili walisema 'chanda chema.......
  3. mohammedzahor

    ZANZIBAR: Ukusanyaji wa maoni ya katiba CCM na CUF kupambana kama ni UChaguzi ni sawa ?

    jitihada za kulinda amani na kila mtu kupata nafasi ya kushiriki kutoa maoni yake bila kubugudhiwa ziendelee, ila kwa maoni yangu huku siko wenzetu waliko, bali hoja hapa ni kuvuruga na kutumia kigezo cha 'sisi wazanzibari,wao watanganyika' nakumbuka nilisema asili haipotei, na wenzetu kwenye...
  4. mohammedzahor

    Maalim Seif Sharif chonde chonde acha uhuni

    nini yalikuwa matarajio na mategemeo yako kwenye hili. kuna njia nyengine yoyote nzuri wanaweza pita zaidi ya hii. huu ni utaratibu uliozoeleka na kama wasemavyo, Asili haipotei.
  5. mohammedzahor

    tujikumbushe matukio na mijadala iliyoigusa taifa 2012, je 2013 itakuwaje?

    Kiongozi unisamehe ila huna hoja hapa. jitahidi tu kuendelea kujitafutia umaarufu usio na mashiko, aidha ongeza idadi ya nyuzi zisizo na maono pamoja na kuendelea kujishushia heshima mbele ya wana jamii wenzako. Hongera na pole sana.
  6. mohammedzahor

    Baada ya kuvuliwa Uwaziri Mansoor amefanya hivi,,

    waungwana, nadhani ni vyema Mheshimiwa aachwe ili atumie nafasi yake vizuri, uhuru alionao ni vyema tukapata kujuwa hasa huyu ni mtu wa aina gani, we need to see thetrue colour of Ndugu yetu. alipokuwa waziri hatutkuweza kupata his true colour mana alikuwa nafanya kazi ya shemegi, pamoja na...
  7. mohammedzahor

    Kwanini wanzanzibari tunanyanyaswa kwenye nchi yetu

    Hakuna mtu anaehitaji kuinyanyasa Zanzibar, ila ni nafsizetu dhaifu na kuto kuona mbali.
  8. mohammedzahor

    Mama Kilango jiandae mwisho wako ni 2015

    waungwana ukwli na ushabiki ni vitu viwili tofauti, hivi huyu muungwana ni kweli haone yaliyofanyika au ndio siasa, mana mama najitahidi sana na watu kule wanridhika na utendaji wake, sasa kama lipo la ziada mtuambi tu, ila hili la kuchapa kazi kwa kweli mama wa watu anajitahidi, mimi nadhani...
  9. mohammedzahor

    Spika, Katibu wa Bunge wampuuza Mnyika kuhusu uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    nadhani tafsiri tena upya article 50 kama ilivyo na wala sio kwa tafsiri yako kiongozi.halafu tujuze ambao tumekimbiaa umande hapa kama umekengeuka kidogo kwenye maana/tafsiri halisi ya hicho kifungu.
  10. mohammedzahor

    Kwanini baadhi ya wazanzibari hawaupendi muungano??

    nadhani ndugu zangu wa Zanzibari wakae tena chini na kwa umakin zaidi bila ya jazba, waangalie zaidi tatioz la zanzibar, sio muungano, na wakija na ukwlei nadhani tuliowengi tutawasikiliza na kuungana nao, ila kwa sasa ni khadithi za esopo,
  11. mohammedzahor

    You are Right BASHE

    Ndugu zangu Wanachadema, hivi lipi jema? Bashe amewapa HONGERA yet mnamrukia na Kama angesema mmetumia vitisho na kuwalazimisha watu hasa wanawake na wazee Ili wawape kura Kama ilivyokuwa kule musoma mngesemaje? Mimi nadhani utamaduni wa kukubali matokeo unajengeka na mtu unapopwe HONGERA...
  12. mohammedzahor

    Nimependa picha hii je wewe?

    Well spoken
  13. mohammedzahor

    ukitaka kujua CCM wanambinu chafu,soma,hii

    Hii mbona ni ishra ya kukubali matokeo. Sasa kinachlalamikiwa ni nini? Si tusubiri mchezo tuone
  14. mohammedzahor

    Ni lazima CCM ing'oke 2015!

    mawazo ni mawazo, ila hii haikukaa sawa, bado naomba kusema kwamba ni mwendawazimu pekee aneweza kutia mkon kwenye moto. hivyo pamoja na mawazo yako mkuu ila hii kama uko ndotoni vile. ziko njia nyingi na za kupambana kisiasa, ila hii sio moja wapo, mana kwa wazo hili wewe huna tofauti na...
  15. mohammedzahor

    CCM haitakufa na itaongoza milele: Nape Nnauye

    Wakuu pamoja na kupotea, mimi nadhani na ndio imani yangu, Nape ameongea sawa na kwamba kwa kuwa CCM sio mtu ni taasisi, na moja ya sifa ya taasisi ni succession and continuity, ccm ya Mwalimu sio hii kwa maana ya uongozi na viongozi, lakini nia, imani na malengo yake na kwa mujibu wa katiba...
  16. mohammedzahor

    Hivi mtu anayeipenda CCM anakuwa na Akili ya namna gani?

    ok, hivi kama mtu akisema mtu kama CDM lazima awe mwehu itakuwa amekosea???? mana huwezi kujaribu kutia mkono kwenye moto, na kwa kawaida chadema ni moto na ni mwendawazimu pekee anaeweza kutia mkono kwenye moto mana hajui madhara yake. ni vyema basi mtoe ulinganisho wa nini CCM imefanya kwa...
  17. mohammedzahor

    Msafara wa Makamu wa Rais Mbeya....

    naomba wale waliobahatika kuwepo tunduma waweke habari kwa ukamilifu, mana mbeya siyo tunduma tu, pia nadhani kiongozi aliongea vyema na vijana walimsikiliza vizuri, wakuu tunasoma kwamba vijana walikuwa na hasira za kutunduliwa bendera zao pale wala siyo kwamba walikuwa na hasira na dr. Bilal...
  18. mohammedzahor

    Kinana alipowafunga midomo wapambe wa Lowassa!

    mkuu mawazo ni mawazo, acha kiongozi afunguke, ni vyema watz wengine wakaelewa nini mawazo yake na waamuzi watakuwa wenyewe kama tunatafuta shekhe au padri au kiongozi wa Taifa. acheni afunguke.
Back
Top Bottom