Search results

  1. Kang

    Nahitaji wazo la biashara linaweza kulipa

    Una access ya mtaji wa aina yoyote au ni wewe na laptop yako tu?
  2. Kang

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    20-30 labda na kwa shida, tatizo sio router tu bali wifi yenyewe inavyofanya kazi, device kwenye wifi hazitumi data kwa pamoja bali zinapokezana kwa zamu moja baada ya nyingine ili kuepuka mgongano wa mawasiliano, zinatumia CSMA/CA. Katika mpangilio huu wa kuepuka mgongano kama device...
  3. Kang

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Kwa kukadiria unaweza kugawanya, connection yako gawanya kwa idadi ya device ambazo zitakuwa zinafanya kazi kwa wakati mmoja, hayo ni makadirio tu kumbuka sio kila device itakuwa inafanya kazi zinazofanana.
  4. Kang

    Router gani nzuri kwa matumizi ya ofisi yenye watu zaidi ya 500

    Hakuna router inayoweza kubeba device 500 kwa wakati mmoja, hizi za kawaida hata 30-50 ni shida kwa sababu ya wifi inavyofanya kazi na uwezo mdogo wa processing. Kwa watu wengi inabidi ufunge network yenye access point nyingi na zote zinaonekana kama moja, hii itahitaji utaalamu kiasi fulani...
  5. Kang

    Precision ya "Tuma kwenye namba hii" na Apps za Mikopo.

    Moja ya sababu Android wanazidi kuondoa access ya Apps, app haziwezi kusoma SMS unless wapewe special permission na Google, pia storage ile ya zamani ambayo unapata storage yote inaondoka, inabidi uchague unawapa nini
  6. Kang

    Nawezaje kuzuia app ya bank kutokuwa na access kwenye contact zangu?

    Kataa inapoomba hizo permission ila app inaweze ikakataa kufanya kazi bila ya hizo permission, kama wameshanyonya data zako ndo wameshanyonya kuondoa permission au kuuninstall kunaondoa access yao kwenda mbele tu haifuti data walizonyonya. Njia nyingine kama walivyosema ni kuwa na simu ambayo...
  7. Kang

    AzamPesa nimejisali leo tayari napokea simu za matapeli

    Ulijiungaje? Kutakuwa kuna mtu pale ni tapeli.
  8. Kang

    ๐— ๐—˜๐—ง๐—” ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

    Pia nadhani kwa kiasi fulani hawawezi kuwafungia namba kwa kudumu kwa kuwa namba zinakuwa recycled namba unayopata leo ukinunua SIM kuna uwezekano mkubwa ishatumika na mtu mwingine kwa hiyo kama hiyo ban ni ya kudumu itaathiri asiyehusika, nadhani wanaweza kupiga ban miezi kadhaa labda.
  9. Kang

    ๐— ๐—˜๐—ง๐—” ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

    Hawana uwezo wa kuwafungia ni app undawnload kusikoeleweka Meta watafungia nini? Pia META sio kwamba hawana uwezo wa kutengeneza hizo feature ni kwamba hawataki kutokana na malengo yao ya biashara na kama hizo feature ni kweli nzuri na zinawalinda watumiaji wote.
  10. Kang

    wakuu anaweza kunisaidia kunipa taarifa juu ya kifaa hiki

    Kwa kifupi Itabidi ukapate leseni kama unataka kufanya biashara ya kurusha sms.
  11. Kang

    Hii road map ikoje wakuu kwa FULL STACK WEB DEVELOPER?

    Haina makosa kama unataka Python, ila Flask/Django ni kama washindani so hauhitaji zote mbili, ila sio vibaya kujifunza zote. Pia ungeweza kufanya JavaScript/Typescript kwenye backend so inakuwa ni lugha moja mbele na nyuma na imekuwa popular zaidi siku hizi kama hilo ni muhimu.
  12. Kang

    Naomba mwenye uzoefu na iPAD AIR PRO tablet pc Android 13

    Swali lako halijakaa vizuri. iPad product ya Apple wanatumia Operating system yao ya iOS hakuna mwingiliano na Android au Windows. Android operating system ya Google/OpenSource inatumika na kampuni nyingi Samsung, Xiaomi, Tecno etc. Haiingiliani chochote na iOS au Windows. Windows operating...
  13. Kang

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Ni kama 6.5GB-11.5GB kwa saa kutegemea na content yenyewe.
  14. Kang

    Nini maana ya TV yenye 4K UHD

    Kumbuka idadi ya pixels za picha yaani vile viboxi vidogo vinavyounda picha ni ile ile so screen ndogo pixels zinakuwa nyingi katika eneo dogo unapata pixel per inch kubwa picha inaonekana sharp, TV kubwa pixel zinabidi zipanuke zaidi pixel moja inabidi ichukue eneo kubwa zaidi ppi inakuwa...
  15. Kang

    Msaada wa kurekebisha fonts za TV yangu

    Sio kila TV ina uwezo wa kubadili font za subtitle, kuna chance kubwa haiwezekani. Itabidi utafute kifaa kingine kuplay hizo video, hizi Android box unaweza kutumia App za kawaida za Android so unaweza kuweka ambayo ina uwezo huo. Njia nyingine ambayo ni ngumu zaidi na inahitaji kazi ni ku...
  16. Kang

    Msaada: External HDD imegoma kusoma

    Jamaa yako atakuwa ameidondosha ameua.
  17. Kang

    Msaada: Simcard huwa inakula data?

    SIM card haili traffic SIM card ni njia ya kukutambilisha wewe kwa mobile operator wako kwa njia salama ajue kuwa kweni ni wewe na akupe access ya network na account yako. Ni vizuri ungesoma vizuri maneno yaliyoandikwa na ufanye uchunguzi zaidi, kwa mfano ukienda kwenye Mobile data usage...
  18. Kang

    Serverless Service: Hizi huduma ni expensive sana hasa kwa startups

    Kwa personal projects unapoteza hela, tafuta server kama ya DigitalOcean au Hertzner simamisha kila kitu humo humo hakuna cha backup walla redundancy ikipote imepotea. Pia kuna hizi service kama Render, Flyaway etc amazo ni all in one na sio gharama kama hauna watumiaji wengi kwa vile ni pay per...
Back
Top Bottom