Search results

  1. kidde I'm

    Boom kupandishwa kutoka sh.7500/= mpaka 9750/=

    Mmmm!!!....soma kijana hizo ni ndoto.
  2. kidde I'm

    CCM walaani vikali vurugu zilizotokea Mtwara .

    2015....hapatatosha....kazi ipo.....
  3. kidde I'm

    Juma Nature naye mbioni Kujiunga na CHADEMA

    Hahahahaaaaaa....acheni kijana akasaidiane na mh. sugu....
  4. kidde I'm

    Waziri Muhongo azomewa!

    Slaa kaingiaje tena hapo jamani.....vilaza bana utawajua tuu......!
  5. kidde I'm

    Uchafu wa Waziri Ghasia na dharau zake kwa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kifua cha JK

    Duuu kweli mkuu.....nimekubali uko juu kifasihi.....tupambane paka dk ya mwisho.
  6. kidde I'm

    Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

    Nakuelewa mkuu.......
  7. kidde I'm

    Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

    Tell him!!!!.....
  8. kidde I'm

    Mke wa mshikaji wangu aniduwaza!

    Kweli kaka!!!....
  9. kidde I'm

    Afisa Elimu kujiteua mfanyakazi bora

    hahahahahahaaaa,....!!!!! tena inapaswa akamatwe....paka jina lake lipatikane
  10. kidde I'm

    Ni Wimbo au Nyimbo?

    upo juu nimekuelewa ndugu!!!!!! wewe ni mwalimu, kuna kitu nimejifunza!!!!!!!!!!!
  11. kidde I'm

    Kiswahili kinaliangamiza taifa

    kweli kabisa kaka jidu(kama sijakosea) cha msingi ni kuwa na msimamo, haina maana kuwa kiingereza tukiache la hasha!! tujifunze kama lugha ya pili lakini si ifanye tupuuze lugha yetu!!! mfano tanzania ni nchi tajiri sana kwa madini,na mali asili nyigine, madini kama tanzanite huwezi yapata...
  12. kidde I'm

    Matumizi ya maneno "hayati" na "marehemu"

    maelezo ya juu ni sahihi ila ya mwisho si sahihi, kwani umejidunisha mtoto wa mbwa hawezi kuandika wala kutoa hoja!!! Wewe si mtoto wa mbwa!!!! Je ni sahihi?
  13. kidde I'm

    Kipi Choo?

    unafahamu maana ya neno tafsida? Kama hapana, tafuta kamusi ya kiswahili, utapata majibu mazuri humo!!!!! Kwa nini choo si kinyesi au mavi....!!
  14. kidde I'm

    Ukitaka kujuwa kuwa kiswahili hakijitoshelezi sikiliza 'Clouds FM'

    Duuuuuuuuu!!!!!!!!!! NIMESIKITIKA SANA KUSIKIA ETI KISWAHILI LUGHA YENYE THAMANI KUBWA, LUGHA AMBAYO ILITUMIWA NA BAADHI YA WAASISI KAMA MWL. JK NYERERE KUTUUNGANISHA NA KUWA HAPA TULIPO LEO ETI HAIJITOSHELEZI!!!! HUU NI UTATA WA KUTUPOTOSHA KAA CHINI NA UFIKIRI MCHANGO WA KISWAHILI!!!!! LUGHA...
  15. kidde I'm

    Ukitaka kujuwa kuwa kiswahili hakijitoshelezi sikiliza 'Clouds FM'

    yapo maneno mazuri ya kiswahili kama vile RONGOYA TABORA, RONGOYA MAWINGU n.k inapendeza sana tujivunie lugha yetu wadau, hata waingereza walitumia nguvu sana kuisambaza lugha yao ya kiingereza mfano walipo ingia afrika ya kusini walilazimisha wazawa kuizungumza lugha hiyo ya kiingereza.hivyo...
  16. kidde I'm

    Aliye Juu Mngoje Chini ! ??

    safi huo ni mtazamo wako mzuri sana, lakini tambua kuwa hiyo ni methali na methali huwa na lugha ficho iliyobeba hekima ndani yake katika lugha ya kiswahili kuna maana mbali mbali kwa baadhi ya maneno au sentensi kuna maana ya msingi na ile ambayo mzungumzaji huibaini, maana halisi ya aliyejuu...
  17. kidde I'm

    mtihani wa kiswahili

    nafasi ya misimu katka kiswahili sanifu a. kuongeza msamiati b. kuficha siri mf. kwa wazungumzaji wawili c.hutambulsha kundi la watu kijiografia viambishi a. kuonesha nafsi mbali mbali b. kuonesha umoja na wingi c. kuonesha ngeli katika sentensi...
  18. kidde I'm

    Ukitaka kujuwa kuwa kiswahili hakijitoshelezi sikiliza 'Clouds FM'

    kukwepeka inawezekana tena vizuri sana, cha msingi ni serikali yetu kuwa komavu hasa katika kipengele cha kutoa maamuzi, najua inashindikana kwa sababu jamii yetu bado changa, tunaishi kwa misaada mingi toka nje hivyo tu kama television na remoti.
Back
Top Bottom