Search results

  1. acanthocyte

    Naomba kujua kuhusu kauli ya Rais

    Wana JamiiForums salam. Bila kupoteza muda naomba ufafanuzi kusuhu hii tafsiri kwamba Rais wa nchi akitamka kitu chochote inakuwa sheria au utekelezaji unaanza Mara moja bila kujali kama amekiuka katiba ya nchi au sheria zilizopo. Sasa katiba yetu inasemaje juu ya matamshi ya Rais kuwa...
  2. acanthocyte

    Inawezekana kupenda tena baada ya kuumizwa?

    Wanajamiiforum salam... Naomba mniambie kama inawezekana kupenda tena baada ya kuumizwa na mpenzi wako wa siku nyingi. Mpenzi mliepitia nae raha na shida kwa miaka mitano. Kuna watu wanasema mtu anapenda mara moja tu katika maisha yake na wengine wanasema unaweza penda tena zaidi ya yule wa...
  3. acanthocyte

    Msaada jaman : Najisikia vibaya

    Heshima kwenu wanajamiiforum. Awali ya yote naomba nianze kwa kudeclare kuwa ni mara yangu ya kwanza kuweka bandiko humu. nimekua nikifuatilia mijadala kwa muda mrefu kama Guest na sio mwanachama hivyo nikaona heri nijiunge tu ili niweze kufaidi na kujifunza mambo mengi kupitia JF. Mimi tatizo...
Back
Top Bottom