Search results

  1. Kishaini

    Picha za Kikwete akiwa daraja la mto Kilombero

    Ikiwa hivi tunaweza kujkuta tabata wakati tulitakwa kwenda magomeni :)
  2. Kishaini

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Watu waliokuwa wamevamia au kuishi eneo la mradi wameanza kuvunjiwa!
  3. Kishaini

    Rutabanzibwa amtunishia msuli Waziri Huvisa

    Ni sawa kwake kukiri wizarani kuna rushwa. Aneainisha tatizo. Tunachotaka kusikkia anafanya nini kuondoa tatizo hilo.
  4. Kishaini

    Wanauchumi mliyobobea Mnieleze sababu 10 kwanini kwanini uchumi wa Tanzania una legalega

    Nafikiri ndioto yako ni ndoto ya kila mtanzania mwenye maoenzi mema na nchi yake. Tatizo la tanzania yetu hasa wachumi wetu wanataka kumchicha the goose that is laying the golden egg. Wakifikiri kwamba wataweza kupata mayayi mengi ya dhahabu kwa wakati mmoja. Ukiangalia mapambano ya nchi hizo...
  5. Kishaini

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    kama tukiwa majumbani na offisini tunapata picha toka ikulu kwanini hao wamarekani wasifanye wanalofanya kumlinda Raisi wao.
  6. Kishaini

    Wise Quotes by Mwalimu Nyerere: And not so Wise by Others...

    "If a door is shut, attempts should be made to open it; if it is ajar, it should be pushed until it is wide open. In neither case should the door be blown up at the expense of those inside." Julius Kambarage Nyerere, from his Stability and Change in Africa speech given to the University of...
  7. Kishaini

    TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

    RIP Nyaga, You left a legacy in the short time you were with us. We are reminded that our life here is just temporary
  8. Kishaini

    Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

    it just mean 'Please delete your statement because you can not put an end under the peace in the country" from goggle translate
  9. Kishaini

    Ccomputer table inauzwa

    100,000 nitakupa
  10. Kishaini

    Mbunge: TZ sio Mali ya CCM

    This is a bold statement! HI NDIYO KUJIVUA gAMBA?
  11. Kishaini

    Maalim Seif, Hamad Rashid uso kwa uso leo

    Ukomavu wa kisiasa kwa manufaa ya wanachi ndio tunalosubiri katika hili.
  12. Kishaini

    Big Brother Africa Starts this way......!!!!

    kazi kweli kweli, nona na Bhoke kainngia nasubiri kuona itakuwa kazi kweli
  13. Kishaini

    Big Brother Africa Starts this way......!!!!

    looks like there are two entries from Tanzania :eyeroll1:
  14. Kishaini

    Bhoke na kurudi kwake kutoka BBA

    Naangalia hapa anaitwa Lotus! Au jina lake lingeine ni Bhoke? Well labda wapo wawili toka TZ maana kuna nchi mbili sasa wameingiza watu wawili Botwana na Uganda! will keep posting :A S 39:
  15. Kishaini

    Elections 2010 Majibu ya NEC kwa waandishi wa habari

    My take ni kwamba walikuwa wanatueleza jinsi uchakachawaji ulivyoleta taabu kwenye systeem, kuifanya iwe down. Nahisi hawakuwa wamelijua hilo. Majibu ya kwamba tanzania ni nchi kubwa kwangu halina maana, kwasababu ni jambo linalojulikan na walitakiwa wawe wameplan for it. Sikuona jibu lolote la...
  16. Kishaini

    Hivi wakiongea mpaka wainue vichwa?

    Anaweka Ugoro puani apate stimu ya kuendelea :doh:
  17. Kishaini

    Elections 2010 Breaking News: CCM wanamuandaa KINANA kuwa spika wa bunge

    URAIA WAKE UPO SAWA? MNAKUMBUA SAKATA YA KUWACHI UBUNGE WA ARUSHA? :nono::doh::tape:
Back
Top Bottom