Search results

  1. MSARO

    Bei za tiles (Marumaru) kwa Mwanza

    Boss vp ulipata namba zao unisaidie na mimi
  2. MSARO

    Ajira za M.A Kiswahili

    Wabongo kiswahili tunazidiwa na Kenya tena mbali wenyewe wanavyuo karibu 10 na zaidi vinavyotoa kuanzia M.A na PhD
  3. MSARO

    Wanusurika kufa kwa kula chapati 30 na vikombe vya chai

    Chapati 19 huyo ni binadamu wa kawaida kweli.Ama kweli kifo kinatafutwa
  4. MSARO

    Jamani naombeni anayejua maana ya mofolojia arudhi anisaidie AU lawigodwin@yahoo.com TUMA

    Nimekwama great thinkers wenzangu naomba mwenye uelewa wa mojolojia arudhi anisaidie au anitumie kwenye email yangu ya lawigodwin@yahoo.com
  5. MSARO

    Sintaksia finyizi

    Ustadhi Mtu samahani naomba unielezee kwa upana zaidi maana ya sintaksia finyizi pamoja na malengo yake vilevile kama kuna chanzo kizuri ambacho naweza kusoma nijulishe ili niweze kuandaa wasilisho; email lawigodwin@yahoo.com phone 0725537036 au 0786012901(Tanzania) asante
  6. MSARO

    CHADEMA yagaragazwa vibaya Iramba,CCM yachukua vijiji vyote

    Hivi ni kweli chadema hawakushinda kiti hata kimoja kwa Mwigulu?
  7. MSARO

    Naomba lugha inayofaa kumuomba wife tunda, napata shda sana kuomba

    Dawa ni kulala uchi halafu unaitunisha mapajani yeye mwenyewe atajua
  8. MSARO

    Mabomu yanalindima mjini Mtwara wananchi wamechachamaa

    Serikali iwekeze hukohuko mtwara ili wananchi wa huko wanufaike na pia ni njia nzuri ya kutawanya maendeleo katika mikoa yote si lazima kila kitu kipatikane dar ndio maana msongamano unakuwa mkubwa dar hii ina maana hata mbuga ya serengeti kama wangeweza ingeamishiwa dar na milima kilimanjaro je...
  9. MSARO

    Hivi kwa nini vodacom mnatufanya kama watoto wadogo?

    voda hawana jipya ni bora waseme hawezi biashara:A S angry:
  10. MSARO

    Makahaba Wagonganisha Ma RPC Dar

    Ni kweli kenyera hana sheria ya kuwapeleka mahakamani
  11. MSARO

    CHADEMA, mchukueni HAMADI RASHID

    Haina haja ya kumuomba mtu ajiunge na chama atawasumbua sana yeye mwenyewe aridhike na sera za chama aingie mwenyewe kwa kuomba na sio kumwita.
  12. MSARO

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Mi nafikiri Zito ni bora na yeye apewe nafasi ili tumpe kura. Zito ni chaguo la watanzania.
Back
Top Bottom