Search results

  1. Kipunguni

    Hivi Rais Karume Ana Aleji na Sherehe Zihusuzo JMT?

    Kama siyo yeye, si aseme basi! Mimi natafuta mchumba.
  2. Kipunguni

    Hivi Rais Karume Ana Aleji na Sherehe Zihusuzo JMT?

    Ila uwongo mbaya, Firstlady1 wewe mzuri; hivi umeolewa? Samahani lakini.
  3. Kipunguni

    Harakati Sasa Basi - Narudi Kubeba Maboksi!

    Mkuu Companero, this is too deep lakini ndiyo ukweli wenyewe.
  4. Kipunguni

    Rais Kikwete's visit to Jamaica

    Rais ataenjoy sana mitaa ya Montego Bay na Ocho Rios ..... ni raha kwa kwenda mbele :)
  5. Kipunguni

    VodaCom Miss Tanzania 2009

    Mwanagu uko sawa, mimi namuaminia Firstlady 1 mwanangu ....... yaani yuko bomba kichizi!
  6. Kipunguni

    Ya SUMATRA na TANESCO: Mwanzo wa JK kupunguziwa Madaraka?

    Mkuu Malafyale, Swali zuri; mimi nadhani hakuna sheria yoyote iliyobadilishwa kuhusu uteuzi wa wakurugenzi wakuu wa mashirika ya umma. Nadhani kinachofanyika sasa ni kupanua wigo na kuwapa nafasi watu wote wenye sifa kuomba kazi, na at the end of the day Rais atapelekewa short list ya majina...
  7. Kipunguni

    Kyela: Random rumblings from an outsider!

    Mkuu Kafiribangi, umevuta ngapi leo????!!!
  8. Kipunguni

    DC Venance Barama amfukuza kazi mtumishi kama mbwa

    Naweza ku-speculate kwamba hilo kosa siyo la kwanza, na inawezekana alishamuonya huko nyuma ...... hivyo leo akaona amfukuze kazi! .... Barama hana mambo ya kuoneana aibu au haya ... ukiharibu unaondoka!
  9. Kipunguni

    Siasa za Mbeya 2005-2010

    Mkuu Nyumbu, Mimi siko upande wowote lakini ninaamini hayo maswali yako yatajibiwa vizuri tu na hawa "wapiganaji" watakapokuwa wanajinadi mbele ya wapiga kura wa Kyela .... hapo ndipo itajulikana Mwakyembe aliahidi nini na amefanya nini; na vivyo wana-Kyela watapata fursa ya kumsikiliza...
  10. Kipunguni

    DC Venance Barama amfukuza kazi mtumishi kama mbwa

    Mkuu, hakuna cha kushangaza hapo .... huyo ndiyo Venance Barama ... ni mmoja kati ya watu makini sana; huwa hataki longolongo!
  11. Kipunguni

    Happy 09/09/09

    moments ago, it was 09:09:09 on 09/09/09 ... thanks MkamaP!
  12. Kipunguni

    Mabalozi wetu ughaibuni

    Ali Karume - Italy
  13. Kipunguni

    Deni la Taifa: Nani atalilipa?

    Hiyo itasaidia sana maendeleo yetu hapa nyumbani; inabidi "tujifunze" kuendesha maisha yetu bila kutegemea misaada!
  14. Kipunguni

    Makamba ataka mwanae amrithi Shelukindo...

    Kwani kuna ubaya January akigombea?
  15. Kipunguni

    Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

    Mkuu, kama ni suala la uzee, mbona Rostam Aziz bado kijana sana!
  16. Kipunguni

    Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

    Mkuu FMES, Shukurani sana! Umeiweka sawa sana hii, na hasa ile kwamba kama George ataamua kuogembea watakaofaidi ni wananchi wa Kyela .... na CCM. Vipi na wewe uko likizo TZ au?
  17. Kipunguni

    Dr. Mwakyembe arejea Bungeni

    Duh, Mkuu Masanilo ya kweli hayo ?!
  18. Kipunguni

    Mitambo ya Dowans imenunuliwa lini na Tanesco?

    Sasa mkuu, hiyo mitambo ya Dowans iko wapi?
  19. Kipunguni

    Lipumba amhusisha JK na Richmond

    Mkuu, Ninaweza kukueleza kwa uhakika kabisa kwamba JK hajawahi kwenda Houston, Texas baada ya kuwa Rais; yaani toka 2005.
Back
Top Bottom