Kutaja majina ya watu pasipo na vithibitisho ni kosa kisheria, so watoa maoni inabidi tuwe na uwakika wa kina kwa kila jambo tunalolisema, kwa upande wangu nadhani rosemarie anailaumu serilali yetu kwasababu ya kutokuweka ulinzi zaidi sehemu ambaxo madawa hayo yanapita mfano airport na...
Nanunua mafla za gari ndogo, kwa ambao hawazijui, mafla zinakaa kwenye bomba linalotoa moshi wa gari ziko kama kamtungi kadogo ndani zina ungaunga.nazinunua kati ya Tsh.30,000-50,000,kwa kila moja. tafadhali kama unazo wasiliana na mimi kwa namba 0713251003 muda wowote haraka iwezekanavyo. mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.