Search results

  1. Pascal Ndege

    Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  2. Pascal Ndege

    Nasumbuliwa na tatizo la genital warts

    Huo ni ugonjwa wa zinaa pambana hauponi ni kama vita Mimi nilikuwa kila Dawa
  3. Pascal Ndege

    AirBnB zaruhusiwa kurekodi na kuzuia vitambulisho vya Wageni kwa Muda kutokana na kuzidi kwa Mauaji

    Huko Kenya bwana Mauwaji ya Dada zetu yameongezeka katika nyumba za Airbnb. Bila majibu ya nini hasa kinachowakuta hawa mabinti wadogo. Kuna maneno wanasema wadada wa Kenya huchangamkia vijana wa kinajeria sana. Hivyo kwa namna mambo yanavyoenda inaonekana ni wao. R. I. P DADA ZETU HUKO KENYA.
  4. Pascal Ndege

    Selfie kwenye Miradi: Mimi nimechoka kupata taarifa miradi kila siku tunatumiwa video na ahadi ya kukamilika miaka inasonga mimi nimechoka sijui nyie?

    Jana nimeona Train ikipita huko ulaya wakasema ni ya kwetu. Inafanyiwa majaribio. Lakini hata bwawa la mwalimu nyerere imefikia tujumlishe ahadi na promise na idadi ya viongozi waliyoshiriki kupiga picha kwenye Miradi. Yaani utasikia hili kesho lile lakini mradi hufanyikazi. Ni bora wanyamazee...
  5. Pascal Ndege

    Kushika mimba Tanzania isiwe hofu kupoteza ya maisha.

    Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia. Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
  6. Pascal Ndege

    Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Wote ni waarabu ngoja wapasuane sisi wakrito Tupo pembeni vita haituhusu.
  7. Pascal Ndege

    Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Wayahudi walitawanyika kila sehemu. Hata ethiopia walipelekwa. Wayahudi nao ni pasua kichwa tena. Ndio maana hakuna mtu aliwataka ulaya.
  8. Pascal Ndege

    Tabia za Wapalestina za mauaji, utekaji, ubakaji wa mahujaji zilichochea mpango wa kuundwa taifa la Israel 1948

    Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita. Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili na kukua na kusambaa. Miaka 700 baadae uislam ukashamili na vita ikapigwa sana na sheria ngumu...
  9. Pascal Ndege

    Tanesco Haina Hela: Kama call center ya Tanesco ya million 30 iligharimu Tanesco billion 6.1,trillion 2 kwenye miundombinu guzo za zege.

    Kuna Mikataba mingi ambayo Tanesco imeingia toka alipo teuliwa Maharage Chande haikulenga kabisa uzalishaji wa umeme. Ililenga matumizi na matanuzi na miundombinu. Kwahiyo kutuaminisha kuwa mabwawa hayana maji kwa Mvua hizi hakuna mtu atawaamini. Mimi kwa miaka mitatu nimemfuatilia sana vyombo...
  10. Pascal Ndege

    CCM inavunja sheria ya vyama vya siasa ibara ya 6(2) kuhusu umri mtu wa kuwa mwanachma wa chama cha siasa.

    Leo nimeamka nimekuta mitandao ijmejaa picha ya chipukizi wa CCM je ni wameamua kuvuluga sheria au ni ubabe ubabe Chadema nao Waanzishe chipkizi? Chipkizi wanasema si wanachama. Ni kigezo Dani kinatumika kuwachambua watoto na kwasajiri katika harakati za kisiasa. Kama siyo mbona Sasa...
  11. Pascal Ndege

    BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Nimepata business name kwa ndani ya week Moja. Nilivyoandika hapa siku hiyo hiyo yakafanyiwa kazi.
Back
Top Bottom