Search results

  1. M

    Maajabu haya Wasabato Wenye Imani Kali

    yani hawa wafanyiwe utaaratibu haraka kama waliweza kuishi porini wakimsubiri Mungu basi watafanya mambo ya ajabu sana hapo air port, waondolewe kwani ni dhahiri hazijatimia vichwani mwao mapepo yamewazidi kupita kiasi hawa ndio wanasababisha air port kunakua na harufu mbaya, lazima...
  2. M

    Azam Marine Wanatumaliza Na Nauli Holela

    mfano Ijumaa iliopita na jumamosi ndio hasa bei ilikua ya ajabu kisa abiria wengi kwakua wanaenda 77 kiukweli hakuna chombo cha kusimamia hizi bei za usafiri wa aina hii kila boat ina bei yake zenye bei ya chini abiria wanajazwa mpaka wanasimama bado na AC hazifanyi kazi si kuuana huku...
  3. M

    Azam Marine Wanatumaliza Na Nauli Holela

    nimewafanisha wewe, Lowasa, Chenge na Rostam kwakua wote ni ndugu wa familia moja inayokua kwa kasi ya FISADI family na si kwarandi wala kabira. kama hukukurupuka kusoma ungeona nimesema bei imepanda kila mtu anajua lakini kuileta humu ni ili kila mtu ajue na kuchangia kwa anachokijua juu ya...
  4. M

    Azam Marine Wanatumaliza Na Nauli Holela

    wewe hili jina halikufai wewe si fairplay kama unavyojiita nakuomba ubadiri jina, tunapolalamokia mafisadi na huu pia ni ufisadi na simaanishi kua mimi nashindwa kulipa hiyo nauli tuelewe kua Tanzania inaidadi kubwa ya walala hoi iyo usipinge na kama wewe nimmoja wa mafisadi wasiojali wenzao...
  5. M

    Azam Marine Wanatumaliza Na Nauli Holela

    Habari ya wiki endi ndefu wa ndugu wa familia ya Jamii forum, nina imani wote mpo salama. Napenda kuwakilisha hii habari ili mlifahamu ili na kulichambua kwa umoja wetu. Usafili wa Boat ni muhimu hasa kwa wenzetu wa Unguja, pemba na sehemu nyingine zote zinazofikikika kirahisi na usafiri wa...
  6. M

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    naipenda sana CHADEMA lakini sasa naona wameanza kuharibu kiukweli kama swala ni marafiki na maongezi mbona mbowe washkaji au niite marafiki zake wengi ni wana CCM tena wale ambao huwezi kuwanunua hata kwa kiasi gani cha pesa hili halionekani na wanajuaje kama yupo pale kwakukimaliza chama na si...
  7. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii tunausbiri hili ndio la maana dini mambo gani, watu wako busy na UFISADI saangapi ataswali au kwenda kanisani
  8. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    MJJ aliposema kuhusu dini nilistuka kwanza lakini baada ya kusoma hayo majina sioni cha ajabu kabisa, kwanza upande wa bara waislamu ni walewale wa siku zote, na huko ZNZ alitaka nani awe kama sio hao ni kweli kabisa ZNZ more than 98% ni waislam ni ngumu kupata wahusika sawa katika dini2...
  9. M

    Rita Mlaki hatarini kusimamishwa udiwani Dar

    huyu mama anadharau sana, kawe hawamtaki wameshamshtukia na porojo zake zisizo nafaida kwao, aachane na ubunge arudi kwenye maplastick aliosomea.
  10. M

    Ajali ya School Bus

    OMG jamani pole kwa wazazi wa watoto hao na familia ya dereva pia, jamani inauma kupoteza watoto. Mungu tusaidie na majanga ya ajali
  11. M

    MIKE TYSON's kids dont look too bad

    very true that was his job we dont have to hate him for that, the family is waaaaaaw!!!!! guys you can merry them with no problem as long as you will love and sherrish them
  12. M

    Obituary: Zambia's Levy Mwanawasa

    Mungu amlaze mahali pema Levy. Mwanawasa
  13. M

    Hotuba Ya Mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe Kuhusu Miundombinu Bungeni

    kwakweli naomba wote muitikie hiki nisemacho tena kwa sauti kubwa UPINZANI OYEEEEEEEEEE!!!!!! HII HOTUBA IMEKAMILIKA NA VILIVYOONGEWA VYOTE NI VYA MUHIMU KWA NCHI NA MSLAHI YA WATZ KWA UJUMLA KWANINI WATU HATUONI JAMANI? HIVI NDIO VICHWA VINAVYOTAKIWA KUTUONGOZA. NDIO MAANA IKIFIKA ZAMU YA...
  14. M

    Dr.Slaa ajiandikisha rasmi kuwa member JF.

    karibu sana mpiganaji wetu, huku tunao wengi tu wanatuchora lakini poa tu mradi ujumbe uwafikie na wajue nini hatutaki na nini tunataka ili nchi isimame.
  15. M

    Et tu Brute? Wajueni Ma-Yuda Iskariote wenu!

    kwakweli huyu fisadi mtoto anatania au anaota kidogo simulewi hebu arudie tena anachosema huenda nikamuelewa
  16. M

    Et tu Brute? Wajueni Ma-Yuda Iskariote wenu!

    Ritha Mlaki na kuwalaghai walala hoi wa Kawe kwa mapilau na kuwatukana wakazi O'bay, Masaki kwa kuwaambia hajali hata wasipompigia kura kwani huko eneo la nyumba la ukubwa wa heka moja wapiga kura hawazidi3 hivyo hawamtishi kitu kawe inamtosha kwani eneo la heka moja kuna wapiga kura zaidi ya 40
  17. M

    Msichana aliyeingiliwa na mbwa Shinyanga ameharibiwa

    kweli kabisa hawa mbwa wamefundishwa na binadamu kufanya hivyo na watakua niwenye mbwa hivyo wanapaswa kufunguliwa mashitaka wenye mbwa na walinzi wote kwani wanajua uovu huu na huyu atakua sio mtoto wa kwanza kufanyiwa hivi, hao walinzi wakibanwa watasema ukweli wote.
  18. M

    Meremeta & TANGOLD Revealed!

    Pinda kusoma amesoma ila huwa wanadhani wabunge wote pale hua wanasinzia na kuwa mbali kiakili wakitafakari ulafi na marupurupu yao wakayafanyie nini baada ya bunge kumalizika, kuna watu wapo makini na kila point utakayoongea mfano kina Slaa,Zitto na wengineo, hakuna kulala Zitto kaza buti mwaga...
  19. M

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    Originally Posted by naimaomari Hapana ... hawakupakaziwa ... hawa watu walicheza mkanda wa mambo hayo na watoto .. mkanda ukauzwa nje ya nchi .. some foreign ambassodor to tanzania had gone back home on an errand ... akaufuma huu mkanda ambayo aliletewa akaambia see what is happening in...
  20. M

    Kesi ya Babu Seya na wanae - Ukweli ni upi haswa?

    tuandamane usemayo ni kweli lakini turudi nyuma kwanini mwalimu hakufungwa na yeye ni chanzo ya yote yale kama yeye alikua anawapeleka watoto kwenda kufanyiwa hicho kitendo nadhani yeye alikua ndio mtuhumiwa wa kwanza akifuatiwa na watendaji, swala mwalimu ndio kila mtu linamuweka njia panda...
Back
Top Bottom